Benki ya Dunia yasitisha kufadhili mradi wa REGROW. Mradi huo unahusishwa na ukiukaji wa Haki za Binadamu nchini Tanzania

Wamewaone TU,,mbona hukonhakuna shida kabisa,,Mbona wakati wajiwe alikataa fedha za elimu za masharti ya ushoga
kama alikataa wangemfanya Nini? ukikubali ndiyo unafanyiwa hivi,RIP mwamba MAGU.
 
Wamewaone TU,,mbona hukonhakuna shida kabisa,,Mbona wakati wajiwe alikataa fedha za elimu za masharti ya ushoga
kama alikataa wangemfanya Nini? ukikubali ndiyo unafanyiwa hivi,RIP mwamba MAGU.
 
watu weus mmelaaniwa , nyinyi ndo wakusanya mapato ya kwenye hizo maliasili ila mkitaka kupalinda au kupaendelza bas mnataka pesa za walipa kodi za ulaya zije kama msaada kujenga nchi yenu na huko ndo mmewekeza macho yenu kuliko kulinda makusanyo ya ndani yasiishie mifukoni mwa watu , hata hii habar ni aibu kuendelea kuwepo
 
Tanzania Government STOP the GENOCIDE of the MAASAI PEOPLE.
 
mnatakiwa kupunguziwa pia hadi dawa za kufubaza miukimwi yenu hiyo sambamba na kutowaleteeni kabisa condom ili mpakatike muishe na akili zenu ziwarudie, katika nchi ambayo inaamini kwenye mauchawi na miujiza ni taabu sana kupata maendeleo, na zaidi zaidi bado yanaendeleza na kukumbatia yale mauzauza ya mwendazake. PIGAAAAAAAAAAA kima hao.
 
Ila mkichunguza sana, unaweza kuta Kenya wanataka huo ufadhili, kwahiyo wanaleta hizo figisu
 
Kule ngorongoro wao sio kuvunja haki za binadamu? Kwa nini watu wakalazimishwe kuishi wasikokupenda
Ngoja tuone, huenda pia Wazungu wako kazini wanafanya utafiti. Maana hiyo report imeanza kufanyiwa utafiti toka 2017 hadi hiyo jana 23/04/2024 ndo majibu yametoka.

So, hata suala la Ngorongoro, litakuwa hivyo hivyo. Ni suala la muda tu. Haki ya mtu huwa haipotei, inaweza kuchelewa tu.
 
Juma hili benki ya dunia imezuia ufadhilii wa mabilioni ya shilingi kwenye sekta ya utalii na uhifadhi kwa Tanzania kutokana na madai ya ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa na serikali ya Samia.

Habari hizi imetangazwa kwenye vyombo vya habari vya kimataifa, ila kwa vyombo vya ndani haikupewa nafasi hata kidogo.

Swali ninalojiuliza ni nani anayedhibiti uhuru wa habari huko serikalini? Ni Nape au Samia?
 
Mimi hii habari nimeiona kwenye The citizen.. Ni vyombo gani vya habari vya Tz unavyovizungumzia?!
 
Benki ya Dunia imesitisha msaada kwa Tanzania kwaajili ya maendeleo ya sekta ya utalii kutokana na vitendo vya watendaji wa Serikali kukiuka haki za wananchi kama vile kuwaua wanavijiji wanaopakana na hifadhi, kuwabaka wanawake, kuwapora mifugo yao na ukatili mwingine. Uovu huo, kwa kadiri ya taarifa ya Benki ya Dunia, umekuwa ukifanya na maofisa wa wanyama pori.

Taarifa ya benki ya Dunia imesema kuwa, benki hiyo ilianza kufanya uchunguzi tangu 2023 walipopata taarifa za ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu unaofanywa na maafisa wa idara ya wanyama pori. Na waliporidhika kuwa tuhuma hizo ni za kweli, wameamua kusitisha mara moja ufadhili wao kwenye mradi wa upanuzi wa sekta ya utalii kusini mwa Tanzania.

MSHANGAO:
Hivi inawezekana vipi, WB iliyo mbali na Tanzania ifanyie uchunguzi tuhuma zinazofanywa na waajiriwa wa Serikali nchini, na wathibitishe, halafu Serikali yetu inayotajwa na machawa kwamba inawajali wananchi wake, ikawa kimya kabisa? Au serikali yetu inaunga mkono ushenzi unaofanywa na wafanyakazi wake dhidi ya wananchi, sawa na inavyofanywa kwa jeshi la polisi linapotenda unyama dhidi ya wananchi?



Global development

World Bank suspends Tanzania tourism funding after claims of killings and evictions.

The World Bank has suspended financing intended to develop tourism in southern Tanzania after allegations of killings, rape and forced evictions.

Plan to expand Ruaha national park has been beset by allegations of abuse, leading bank to withhold final $50m of $150m budget.

“We have recently received information that suggests breaches of our policies in the implementation of the Regrow project. We have therefore decided to suspend further disbursement of funds with immediate effect.”

The bank began investigating last year after being accused of enabling abuses around Ruaha national park, which was due to double in size as part of a World Bank-supported programme.
 
Full of stupid people in the so called "Popo Country"
 
Benki ya Dunia imesitisha ufadhili uliokusudiwa kuendeleza utalii kusini mwa Tanzania baada ya tuhuma za mauaji, ubakaji na kufukuzwa kwa lazima.

============

The World Bank has suspended financing intended to develop tourism in southern Tanzania after allegations of killings, rape and forced evictions.

The bank began investigating last year after being accused of enabling abuses around Ruaha national park, which was due to double in size as part of a World Bank-supported programme.

“The World Bank is deeply concerned about the allegations of abuse and injustice related to the Resilient Natural Resources Management for Tourism and Growth (Regrow) project in Tanzania,” said a World Bank spokesperson.

“We have recently received information that suggests breaches of our policies in the implementation of the Regrow project. We have therefore decided to suspend further disbursement of funds with immediate effect.”
Tanzania was due to receive a further $50m, having already received $100m of the funding. Developments include building roads, viewing areas and visitor centres, and investing in wildlife monitoring and increased security.

The Guardian reported in September 2023 that the US-based thinktank the Oakland Institute had documented a range of abuses by Tanzanian rangers against villagers accused of encroaching on the national park, including the killing of cattle herders and fishers, the confiscation of livestock and the rape of women.

The Oakland Institute welcomed the “long overdue” decision, which came a year after the World Bank was first informed of potential violations of its own policies on safeguarding in April 2023.

Anuradha Mittal, the thinktank’s executive director, said: “It sends a resounding message to the Tanzanian government that there are consequences for its rampant rights abuses taking place across the country to boost tourism. The days of impunity are finally coming to an end.”

The Oakland Institute said that despite the World Bank announcing an investigation, the Tanzanian government moved forward in October with plans to redraw the boundaries of the national park, which would result in 21,000 people facing eviction.

The institute said their research shows other abuses have also continued, including the killing of a 21-year-old cattle herder in October and seizure and sale of thousands of cattle this year.

“The government’s plan to expand the park cannot go forward against the will of local communities, who will lose everything from such an expansion,” said Mittal. “In addition to preventing forced evictions, the bank must focus on how to remedy the harms caused to the villagers who have lost loved ones to ranger violence or had their lives devastated by livelihood restrictions.”

The Tanzanian government had not responded to requests for comment at the time of publication.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…