Bernard Membe kumbuka wakati hizo maiti unazodai kuokotwa kwenye viroba Rais Samia alikuwa Makamu wa Rais. Na hii bado ni Serikali ya awamu ya tano

"Legasi" idumu.
 
Umakamu ndani ya nchi ile ni Kama mzigo, lazima ufuate direction ya boss other ways operation tezi dume itakuhusu
Hivyo basi katiba mpya ifute hii biashara ya makamu wa Rais. Haina tija
 
Kwa katiba aliyoiandika Magufuli?
 
Rais samia alikua hana kauli wakati akiwa vice president nchi ilikua inaendeshwa na dikteta jiwe.
 
Unalalamikia kitu gani wewe ?
 
Acha unafiki.
Unatakiwa ujue kwamba HAKUNA MWANACCM YEYOTE MWENYE MALENGO MEMA NA NCHI HII , hilo sisi tunalitambua vizuri sana , lakini wale wanaoongea ukweli huwa tunawasikiliza , hatuwezi kuukataa ukweli hata kama unatoka kwa Shetani
 
Wewe yaelekea ndio ulikuwa unatumwa kuteka na kuua maana Roho inakuuma Sana Membe kuongelea hilo suala
We uliokota maiti ngapi? Walamba asali watawasumbua sana akili zenu, alikuwa wapi kuyasema kwenye kampeni zake za urais? Ndugu yako yupi alikutwa kwenye kiroba? Mwenye ndg aliyekutwa kwenye kiroba ajitokeze na atuambie ni rais alifanya hivyo, mnaweza kuuana ili mchafue uongozi kisa hamlambi asali. Matukio ya kuokota maiti yapo hadi leo, rejea huko mwanza ( said, na yule wa malaika beach). Au akifa mwanasiasa basi huyo kauliwa na rais ila akifa asiye mwanasiasa huyo kauliwa na watu tu.
 
Ila Mimi huwa namshangaa anayebisha Magufuli kuwa muuaji!!!

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
Hata mimi namshangaa anayesema alikuwa muuaji! Alimuua nani? Mliuana ninyi kwa minajili ya kumchafua tu, kama yule wa mguu nae akadai alipigwa na watu wa magu. 😂😂
 
Marehemu alibaka uchaguzi
 
Na tutamchagua maana Sukuma gang wanataka kutuharibia nchi yetu
 
Kwa hiyo mbowe kuwa rumande alifanya yeye? Akina pambalu kukamatwa majuzi aliamuru yeye? Huyo aliyekutwa kafa huko malaika beach mwanza aliamuru yeye? Mnabwatuka tu, nani aliuliwa enzi za magufuli na kwa umaarufu gani aliokuwa nao kiasi cha kumpa changamoto za uongozi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…