citizensindevelopment18
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 1,636
- 830
Serikali ni ile ile ya awamu ya tano. Watu ni wale wale ile tabia zaweza kuwa zimebadilikaNakukumbusha hii ni awamu ya sita.Na yule tushamsahau.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Serikali ni ile ile ya awamu ya tano. Watu ni wale wale ile tabia zaweza kuwa zimebadilikaNakukumbusha hii ni awamu ya sita.Na yule tushamsahau.
"Legasi" idumu.Kwa akili ya kawaida utamtenga vipi makamu wa rais ambae ni msaidizi mkuu wa rais wa JMT.
Kwa hiyo impliedly kama maiti ziliokotwa na watu kutekwa hovyo makamu wa rais hakujua na kuhusika?
Kama alijua huu ni uovu usiofaa alipaswa kujitenga nao kabisa na ikibidi kujiuzulu.
Vipi kuhusu ile kauli yake kuwa polisi wa Tanzania hawezi kupiga risasi thelathini na nne pasipo kulenga shabaha?
Kauli uliyoitoa haina afya kwa taifa hili. Siasa unazofanya hazifai kabisa.
Hii bado ni serikali ya awamu ya tano. Rais Samia alichaguliwa pamoja na mtangulizi wake.
Hivyo basi katiba mpya ifute hii biashara ya makamu wa Rais. Haina tijaUmakamu ndani ya nchi ile ni Kama mzigo, lazima ufuate direction ya boss other ways operation tezi dume itakuhusu
Kwa katiba aliyoiandika Magufuli?Kikatiba hii ni awamu ya sita. Maana Rais akifa ndani ya muda usiozidi miaka mitatu, Makamu wa Rais atachukua madaraka na kutambuliwa kwamba amekaa miaka mitano Yani awamu moja na atabakia na miaka mitano tu mingine ya kuchaguliwa. Hivyo 2025 Samiah atabakiza miaka mitano.
Unalalamikia kitu gani wewe ?Kwa akili ya kawaida utamtenga vipi makamu wa rais ambae ni msaidizi mkuu wa rais wa JMT.
Kwa hiyo impliedly kama maiti ziliokotwa na watu kutekwa hovyo makamu wa rais hakujua na kuhusika?
Kama alijua huu ni uovu usiofaa alipaswa kujitenga nao kabisa na ikibidi kujiuzulu.
Vipi kuhusu ile kauli yake kuwa polisi wa Tanzania hawezi kupiga risasi thelathini na nne pasipo kulenga shabaha?
Kauli uliyoitoa haina afya kwa taifa hili. Siasa unazofanya hazifai kabisa.
Hii bado ni serikali ya awamu ya tano. Rais Samia alichaguliwa pamoja na mtangulizi wake.
Hata nyuzi zake hapa JF zinajieleza wazi sanaAlikuwa mfaidika wa utawala wa kidhalimu wa Magufuli, ndio maana akiona boss wake anavuliwa nguo anahamaki.
Hamna malalamiko hapo.Unalalamikia kitu gani wewe ?
Hata nyuzi zake hapa JF zinajieleza wazi sana
Acha unafiki.Hata nyuzi zake hapa JF zinajieleza wazi sana
Hapo hakuna awamu ya sita mwamba tuna wabunge na madiwani wa awamu ya tano. na makamu ambaye kwa sasa ni raisi ameridhi kiti cha uraisi baada ya mwenzake kuaga dunia. Hatujafanya chaguzi yoyote zaidi ya katiba kutafasiriwa mwamba.
Unatakiwa ujue kwamba HAKUNA MWANACCM YEYOTE MWENYE MALENGO MEMA NA NCHI HII , hilo sisi tunalitambua vizuri sana , lakini wale wanaoongea ukweli huwa tunawasikiliza , hatuwezi kuukataa ukweli hata kama unatoka kwa ShetaniAcha unafiki.
We uliokota maiti ngapi? Walamba asali watawasumbua sana akili zenu, alikuwa wapi kuyasema kwenye kampeni zake za urais? Ndugu yako yupi alikutwa kwenye kiroba? Mwenye ndg aliyekutwa kwenye kiroba ajitokeze na atuambie ni rais alifanya hivyo, mnaweza kuuana ili mchafue uongozi kisa hamlambi asali. Matukio ya kuokota maiti yapo hadi leo, rejea huko mwanza ( said, na yule wa malaika beach). Au akifa mwanasiasa basi huyo kauliwa na rais ila akifa asiye mwanasiasa huyo kauliwa na watu tu.Wewe yaelekea ndio ulikuwa unatumwa kuteka na kuua maana Roho inakuuma Sana Membe kuongelea hilo suala
Hata mimi namshangaa anayesema alikuwa muuaji! Alimuua nani? Mliuana ninyi kwa minajili ya kumchafua tu, kama yule wa mguu nae akadai alipigwa na watu wa magu. 😂😂Ila Mimi huwa namshangaa anayebisha Magufuli kuwa muuaji!!!
Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
Mbona uko hai? Alimuua nani yako? Mnatibuana kisiasa huko mnamsingizia jpm, kwa umaarufu gani waliokuwa nao hadi awaue?Mwendakuzimu alikuwa muuaji full stop, mwacheni mama afungue nchi.
Alimuua nani pimbi wewe? Na kwa minajili gani ya wao kuuliwa?Usilazimishe kila mtu anajua Jiwe alikuwa muuaji na hii ni serikali ya awamu ya 6..
Alichukua hatua gani kama mpebda haki? Au njaa zilimfanya avumilie maovu?Makamu hakuwa na say kwa mtu yule
Marehemu alibaka uchaguziKwa akili ya kawaida utamtenga vipi makamu wa rais ambae ni msaidizi mkuu wa rais wa JMT.
Kwa hiyo impliedly kama maiti ziliokotwa na watu kutekwa hovyo makamu wa rais hakujua na kuhusika?
Kama alijua huu ni uovu usiofaa alipaswa kujitenga nao kabisa na ikibidi kujiuzulu.
Vipi kuhusu ile kauli yake kuwa polisi wa Tanzania hawezi kupiga risasi thelathini na nne pasipo kulenga shabaha?
Kauli uliyoitoa haina afya kwa taifa hili. Siasa unazofanya hazifai kabisa.
Hii bado ni serikali ya awamu ya tano. Rais Samia alichaguliwa pamoja na mtangulizi wake.
Na tutamchagua maana Sukuma gang wanataka kutuharibia nchi yetuKikatiba hii ni awamu ya sita. Maana Rais akifa ndani ya muda usiozidi miaka mitatu, Makamu wa Rais atachukua madaraka na kutambuliwa kwamba amekaa miaka mitano Yani awamu moja na atabakia na miaka mitano tu mingine ya kuchaguliwa. Hivyo 2025 Samiah atabakiza miaka mitano.
Kwa hiyo mbowe kuwa rumande alifanya yeye? Akina pambalu kukamatwa majuzi aliamuru yeye? Huyo aliyekutwa kafa huko malaika beach mwanza aliamuru yeye? Mnabwatuka tu, nani aliuliwa enzi za magufuli na kwa umaarufu gani aliokuwa nao kiasi cha kumpa changamoto za uongozi?Mkuu una akili za kukutosha au unaandika tu kwa vile unao uhuru kufanya hivyo.
Kumbuka na iingie akilini mwako, mkuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wakati wowote ni mmoja tu, na ndiye Rais.
Operation zote, ziwe za wazi au siri huendeshwa kwa ridhaa na ufahamu wake.
Na hapo hana mshirika.
Mama Samia HAKUWA Commander-in-Chief Awamu ya Tano, sasa ndiye, na amekomesha hayo madudu ya Magufuli.