Uchaguzi 2020 Bernard Membe: Watanzania mkae macho na mkae chonjo. Nafunga bao la Ushindi dakika ya 89 kwenye Uchaguzi huu 2020

"Vyama 19 bara la afrika vya Ukombozi, vyama 13 vimeshaondoka. Vimeondolewa baada ya vyama vyenyewe kujitafuna na kuwa na mpasuko na vyama vya upinzani vikachukua advantage....Ili chama Tawala kife, kinatakiwa kipasuke kwanza..." Benard Membe...".
Hahaha CCM hoi, leo Magufuli kule Bunju anaahidi kuleta maji.

Katibu wa wizara ya maji aliyekimbizwa, Kitila Mkumbo alishindwa kuweka maji akiwa katibu mkuu wa wizara ya maji baada kuona hakuna kitu akaenda Ubungo kugombea ubunge, guess what?! Naye anatuambia atatuletea maji Ubungo, isn't funny?!

CCM 60 years bado mnadanganya na kudanganywa.

Kura kwa Lissu na CHADEMA 10/28.

Magufuli tutamuombea awe waziri wa barabara.
 
Unajitekenya unacheka mwenyewe...historia haidanganyi, huo ndio ukweli....Hebu rudia kusoma alichosema Membe!

"Vyama 19 bara la afrika vya Ukombozi, vyama 13 vimeshaondoka. Vimeondolewa baada ya vyama vyenyewe kujitafuna na kuwa na mpasuko na vyama vya upinzani vikachukua advantage....Ili chama Tawala kife, kinatakiwa kipasuke kwanza..." Benard Membe
 
Membe yupo sahihi kabisa ni vyema viongozi wa dini wakajiondoa kwenye ushabiki wa kivyama.
 
Membe haelewi anaelekea wapi,yupo yupo tu
 
Membe anagombea urais upi tena? ACT walisema watamuunga mkono Lissu au membe ana mpango wa kuzigawa kura mana isijekuwa biashara ishafanyika, hawa wanaohama kutoka CCM ata waje kinyume kinyume na nguo wamezipandisha juu hawatabiriki
 
Vipi tuliambiwa Mzee yupo busy anaandaa baraza la mawaziri, vipi ameshamaliza hiyo kazi?

October 28th ni kura za kishindo kwa JPM.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Umekunya vibaya sana hapo kwenye sentence zako za mwisho. Holaaaaa.
 
Hahaha Membe ni nani hasa, ni mgombea wa urais kwa tiketi ya ACT, umewahi kumuona akipiga kampeni jukwaani?!

Hata yeye hajui anafanya nini ndio ccm ilivyo, Membe anaongea aliyoyaacha ccm na hiyo ndiyo imani yao.

Angalia kule kidume Chadema kinavyomkimbiza Magufuli.

Mmeanza kusahau mnamgombea mnaanza kukimbilia hadithi za kina Membe.

Membe angekuwa anaakili kwanini alijiunga ACT na kwanini aligombea kama alikuwa anasubiri chama kipasuke?!

Unatapa tapa na Membe, nenda kajifunze kwa Lusu u QUOTE na utuletee hapa, achana na Membe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…