Pangamalasy
Senior Member
- Jun 5, 2020
- 127
- 110
"Watu pale Kariakoo wanakula mihogo mibichi na iliyoiva wanasinzia hovyo hovyo"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha CCM hoi, leo Magufuli kule Bunju anaahidi kuleta maji."Vyama 19 bara la afrika vya Ukombozi, vyama 13 vimeshaondoka. Vimeondolewa baada ya vyama vyenyewe kujitafuna na kuwa na mpasuko na vyama vya upinzani vikachukua advantage....Ili chama Tawala kife, kinatakiwa kipasuke kwanza..." Benard Membe...".
Jamaa ni bure kabisaa.Bado anaelezea ilani yake, sijui kwa nini asifanye kampeni
Unaumwa wewe sio bure.Hahahaaaa...... Muwe mnapunguza kunywa mbege jumapili!
CCM wapo tayari kumpa Nyalandu hata wizara.Mbona bilionea wenu Nyalandu hasubiriwi kwa hamu na CCM bwashee?
Unajitekenya unacheka mwenyewe...historia haidanganyi, huo ndio ukweli....Hebu rudia kusoma alichosema Membe!Hahaha ccm hoi, leo Magufuli kule bunju anaahidi kuleta maji.
Katibu wa wizara ya maji aliyekimbizwa, Kitila Mkumbo alishindwa kuweka maji akiwa katibu mkuu wa wizara ya maji baada kuona hakuna kitu akaenda Ubungo kugombea ubunge, guess what?! Naye anatuambia atatuletea maji ubungo, isn't funny?...
Membe yupo sahihi kabisa ni vyema viongozi wa dini wakajiondoa kwenye ushabiki wa kivyama.
hahahha Lissu anampigisha Magufuli magoti sembuse hili joka la mdimu ??Message send kwa Lissu ajue kuwa watakutana na Membe kwenye sanduku la kura.
Umekunya vibaya sana hapo kwenye sentence zako za mwisho. Holaaaaa.Mgombea urais kupitia ACT-Wazalendo, Bernard Membe, leo Jumatatu Oktoba 19,2020 saa 4:30 asubuhi anatarajiwa kuzungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam.
Nipashe
Kama Watu 'Nguli' kabisa nchini akina Lowassa na Sumaye ambao walikuwa 'Wagumu' na 'Wabishi' wamerudi CCM wengine ni nani nao wasirejee?
Hahaha Membe ni nani hasa, ni mgombea wa urais kwa tiketi ya ACT, umewahi kumuona akipiga kampeni jukwaani?!Unajitekenya unacheka mwenyewe...historia haidanganyi, huo ndio ukweli....Hebu rudia kusoma alichosema Membe!
"Vyama 19 bara la afrika vya Ukombozi, vyama 13 vimeshaondoka. Vimeondolewa baada ya vyama vyenyewe kujitafuna na kuwa na mpasuko na vyama vya upinzani vikachukua advantage....Ili chama Tawala kife, kinatakiwa kipasuke kwanza..." Benard Membe
wanakula mihogo mibichi na iliyoiva. Wanasisinzia hovyo hovyo...