Biblia ndio kitabu pekee kinachojibu maswali Mengi kumuhusu binadamu na maisha yake

🤣Why tusijue....hivi we hushtuki...🤣Yaani ukiona makosa katika dhana ya Mungu we ndo unalaumiwa unaambiwa huwezi elewa unaitwa mjinga na unakubali unafurahia....😅🤣wazungu watatuacha mbali sana
 
Ukisoma biblia utagundua haijishughulishi sana na maisha ya mwili/ya duniani.

Ndio maana:
- Watu waliuza Mali zao kumfuata Yesu.

- Yesu alisema, baba yake na mama yake ni wale wanaosikia neno lake na kumfuata.

- Kuna kauli Kama usihangaikie kesho, na kisa Cha tajiri na masikini Lazaro.

Maswali mengi ya watu kwenda kwa Yesu yaliyokuwa yanahusu matatizo ya kimwili Yesu aliyatoa majibu ya kiroho.


Mfano:

  • Suala la kuoa.
  • Suala la kurithi mke ( watu walimuuliza, mtu akioa, mke wa Kwanza then akafa, halafu akaoa Tena wa pili na tatu, mbinguni atakiwa na yupi, Yesu anawaambia Mbinguni hakuna mambo ya kuoa na kuolewa, watu watakuwa Kama malaika.

- Hata baada ya watu wengi kuanza kumuita Mfalme, na Wanasiasa wenye Madaraka kupata hofu ya madaraka yao, Yesu aliwaambia Ufalme wake siyo wa dunia hii.
 
Hii ngoma inaishia hapa hapa haina tena muendelezo
 
Ukisoma Biblia zaidi ndo unazidi kugundua imeandikwa na watu ..Tena watu wajinga
Hapana, ukiisoma biblia vizuri zaidi utajua kwanini Mungu anampenda sana Mwanadamu, na kwanini mwanadamu ana nguvu kubwa sana na ya pekee kuliko viumbe wengine...huenda wa ulimwengu huu..probably.

Mwanadamu ana full package..mwanadamu ana kila kitu. Each and everything. All at once. Everything.

Ila mwanadamu wa sasa (mimi mwenyewe nikiwemo) hatujafikia kuwaka (enlightened) na kuwa na full packages, tuna code nyingi sana zimefungiwa...(zile codes za ku-pingana na asili, kupaa au kusepa na kurudi, kujua yajayo, kwenda past, n.k.) ndio maana watu wa imani za meditation wanaelekeza namna ya kufungua uungu wa mwanadamu, kwa meditation..kuwa full package, complete.

Sasa dini ina namna zake za kufungua hizo code pia na kuwa full package..ila yenyewe haina mpango sana na vya muda mfupi, yenyewe inadili na maisha ya milele ya mwanadamu, ile purity ya mbinguni ambayo mungu mwenyewe ameiumba.

Vingine ni ngumu kuelewa kama hauko tayari kuelewa..kwa sababu inamaliza sana nguvu ya akili yako, au nafsi yako..etc.

You gotta be seriously smart..and not just dumb.
 
Hapa Hawa atheist umewaacha chalinze kabisa.
Nipe shule kuhusu Mungu alipomwambia Adam msile mtu wa katikati mtakufa, wengine wanasema ni hali ya umilele yaani kutokufa kimwili, wengine wanasema kufa kiroho, wengine wanasema ni kupunguzwa kwa sense toka ten na kuwa five organs senses.
 
Upo sahihi 100%
 
Ni sahihi kabisa, mtu ana sehemu tatu kwa pamoja ambazo ni roho, nafsi na mwili wa nyama, damu na mifupa.

Kwenye nafsi kuna akili, utashi na hisia (mind, will and emotions). Roho ni mtu halisi na huishi milele. 1 Thesalonike 5:23
 
🤣Sasa si useme utamaduni wenu wa kiislamu hauruhusu bia Ila mwarabu ameamua kuwatishia Mambo ya shetani na moto ili muogope...😅mbona tutaelewa tu bro
😂😂Nyie kwa vile wazungu wanakunywa nyie ndo mnafuata.
 
Sasa it's obvious the bible Ina makosa hata mtoto wa la tatu anaweza ona hayo makosa akisoma kwa uhuru.
Biblia huenda isiwe na makosa kama unavyodhani. Maana yenyewe inahudumia kila kitu..nguvu za mwili ambazo zinamzuzuaga mwanadamu muda wote duniani (Power) nguvu za nafsi na nguvu za roho

Sasa kama unadili na kitu cha duniani (mwili) ujue Biblia lazima itakukataa, kwa sababu yenyewe haidili na kitu au jambo la muda mfupi,

Biblia inakuandaa na maisha ya milele, na sio ya muda..

Ukiwa na uelewa wa kiimani au kiroho utaelewa hili kwa urahisi..ila ukileta akili nyingi hautoelewa chochote
 
Waambie hii issue ya bikra kuzaa haijaanza kwa Yesu
 
✊✊Sikupingi.


kwa sababu dini ina misingi ya mda mrefu ambayo kuifanyia manipulation ni ngumu ..

Ukitaka kujua hili angalia mila zetu zinavyopotea maana sio imara kadri muda unavyozidi kuenda zinapotea na tunaona za kijnga hata wazee wa mila wanaona noma wenyewe.

Huwezi kumueleza mtu kuhusu kuchezea watoto ngoma ,sijui ukeketaji kwa sasa akakuelewa ,hzi mila sio strong na haziwez kusurvive mda mrefu ndo maana zinapotea .

Dini maandiko yaliandikwa miaka kibao nyuma yanazidi kuleta uhalisia kama siku zinavyoongezeka ,hii ndo inafanya dini kuwa strong na kugaina adherents kila siku.

Dini za kiasili zinapotea kwa vile misingi yake inaathirika na maendeleo ya dunia kirahisi.
 
Umejuaje kama hao hawamjui?
Umeshawahi kukutana nao?
 
Umejuaje kwamba Sayansi hiyo ipo nje ya uwezo wa mwanadamu?
 
🤣Kwa Nini Mungu muweza yote mjua yote na mpenda wote aandike kitabu jau chenye moral scientific and historical inconsistencies not to say logically impossible things.... 🤣Mi siwezi maliza nguvu at things that are made up by some old dumb idiots... Science ni ngumu but it works ndo maana Einstein anaheshimika newton hata bill gates ni watu wenye heshima duniani for wat they achieved na hawakuforce watu kupitia vitisho na story story they earned people's respect🤣Bible ni moja ila madhehebu laki moja kila mtu ana lake ..roho mtakatifu sijui kila mtu anae coz ni akili yako tu ndo maana Huyu anaambiwa hiki mwingine anaambiwa kile...fake made up bullcrap
 
Pumzi sio roho na Roho sio pumzi.
Logically upo sahihi, ila vyote ni kitu kimoja ila vinafanya kazi kwenye ulimwengu mbili tofauti.

Pumzi ipo kwenye ulimwengu wa mwili (flesh) ila kwenye ulimwengu wa roho (spiritual world) kuna roho.

Zote hizo ni powering up tools za miili (bodies) husika

Hapa kwenye miili nimemaanisha majumba, ambayo yana powering up hizo bodies.

Si tunasema kuwa bila pumzi mtu anakufa..ni sahihi. Na kwenye ulimwengu wa roho, bila roho mtu, kitu au jambo halina uwepo (existence) ndio maana pumzi inashikamana na roho. Haya maelezo zaidi ya hapo ni Mungu mwenyewe anajua..maana ni tech ya Mbinguni hioooo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa mbona vingi tu vishachimbuliwa vilivyomo kwenye bible
🤣 Nimekuuliza mbona archaeology iliyofanyika Israel na misri haijaonyesha chochote kuhusu Musa, kuwa watumwa misri, kupigana vita na miji 30, kukaa jangwani miaka 40, etc Kama ni ukweli si hivi vitu vingejulikana kupitia archaeology why hamna evidence ya Exodus nzima mpaka bible scholars na historians wanakimbilia kusema ni mafumbo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…