Biden atishia kuweka vikwazo kwa Uganda baada ya kupitisha sheria ya kupinga ushoga

Biden atishia kuweka vikwazo kwa Uganda baada ya kupitisha sheria ya kupinga ushoga

Kwanza bora hata mpungue maana hamna faida yoyote dunia.

Majitu kutwa nzima yanashabikia simba na yanga, mara yanayashibikia zuchu.

Nyie hata mkipunguzwa ni sawa tu, tumechoshwa na kundi kubwa la vilaza wasio na faida yoyote ulimwenguni zaidi ya kuchafua mazingira na kushabikia zuchu.
Hakuna watu wasio na faida,Hawa wasio na faida ndio wanunuzi wakubwa wa Bidhaa zenu
 
Biden hana adabu kwetu waafrika?!!!

Kwani baadhi ya waafrika wakiwa "closets" hawafanyi hiyo michezo?!!!

Hayo ni mambo ya faragha....na hwenda anayeyapinga hadharani ndio michezo yake....ila kiafrika wala hatosema ,wala hatoshadadia wengine kufanya ama kutaka iwe SHERIA YENYE KUTAMBULIKA NA TAIFA...


Hiyo ni michezo ya starehe...hufanywa vyumbani na watu wakimaliza huwa KIMYA na kuendelea na IBADA ZAO MISIKITINI NA MAKANISANI [emoji1787][emoji1787]

Mh.Biden vipi ?!!!

Hutaki kutuheshimu waafrika...mbona waarabu huwaambii hivyo?!!! Au kwa kuwa waafrika hatujitoi "muhanga" tukajilipua na mabomu ?!!![emoji1787][emoji1787]

Mh.Biden tuheshimu WAAFRIKA NA MILA NA DINI ZETU
 
Tatizo la viongozi wa afrika ni unafiki, ushoga sio utamaduni wetu kama nchi zote za Afrika zingeungana kupitisha sheria kama hiyo unafikiri Us angetishia sanasana angekaa kimya.
Wazungu na Wamarekani wanajua ili watutawale inabidi waharibu tamaduni zetu kwanza
Na wanajua pa kuwakamatia ni kwenye kibunda cha mikopo tu. 🤣🤣🤣
 
Naona spika wa Uganda kafutiwa Visa na Marekani. Museven kanyaga twende inabidi kuilinda human race isijimalize kama ambavyo mtu akitaka kujiua ni kosa.
Lengo la ushoga ni hilo, hasa kutafuta mbinu za kupunguza population ya black race and other poor Nations kinyemela.
.
 
Uganda ilitakiwa ijiandae kwa kuwa independent kiuchumi,kísiasa,kijamii hata na kiuchumi pia.Itamuumiza sana kiuchumi na possibly ndo anaenda kuondoka softly au in a hard way.Hili jambo la ushoga na usagaji,lipo miaka na miaka na na haliwezi kumalizwa kiurahisirahisi kwa kasi yake ilivyotamalaki sasa.Mu7 angelikalia kimya huku wizara yake ya utamaduni ikilinda maadili kwa kutoa elimu kila uchwao kwa wananchi,ili maadili yaendelee kilindwa kama Zamani.

Watakaopotoka wapotoke kivyao,na watakaofuata maadili wafuate kimyakimya kama ilivyokua kipindi cha nyuma.Inasikitisha sana mtu kuwa shoga,ila sasa kutunga sheria ngumu,sidhani kama ni suluhu,matokeo yake nchi yake huyu Mu7,itakosa madawa na misaada mingine,na suluhu itakua kufa au kuuawa na wazungu directly au indirectly.
 
Kitu chenyewe naamini ni kuwa Museven atapangua io hoja na Marekani ataendelea kufanya kazina Uganda
 
Back
Top Bottom