Wakuzua kwenye one,two!Kwa maoni na mtazamo wako,
unadhani vita hivi baridi vya maneno kisiasa, baina ya mafahali hawa wawili wa kitaifa ndani ya chadema,
Je, inakwenda kukigawanya na kukisambaratisha chama au inakwenda kukimarisha chama na kua imara na bora zaidi? Kivipi kwa mfano?
Nani anaweza kua changamoto zaidi baina ya mafahali hawa wawili pale Chadema HQ, na hasa kwa kuzingatia tuhuma za ufisadi na usaliti ambazo ni gumzo sana ndani ya chadema kwasasa?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Na tumaini letu liwe kwa Mungu pekee.huo ni ushirikina gentleman,
Amini Mungu pekee plz 🐒
-Walinunuliwa Covid19Kwa maoni na mtazamo wako,
unadhani vita hivi baridi vya maneno kisiasa, baina ya mafahali hawa wawili wa kitaifa ndani ya chadema,
Je, inakwenda kukigawanya na kukisambaratisha chama au inakwenda kukimarisha chama na kua imara na bora zaidi? Kivipi kwa mfano?
Nani anaweza kua changamoto zaidi baina ya mafahali hawa wawili pale Chadema HQ, na hasa kwa kuzingatia tuhuma za ufisadi na usaliti ambazo ni gumzo sana ndani ya chadema kwasasa?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
kwahiyo gentleman,-Walinunuliwa Covid19
-Kwa msaada wa serikali ya Samia pamoja na mafisadi wakishirikiana na CCM wakanunua wanasiasa 'malayamalaya'.
-Katoka Mbowe na kageuka kuwa chawa wa Samia.
----Sasa hao wote Lema hata fraction of one percent yao hajafika hivyo kuamini kuwa ana impact yoyote ni upumbavu uliokithiri, so those stupid wishful thoughts of yours it's a waste of your mental energy(that's if you have any).
CHADEMA walipofika hata atoke mwenyekiti na makamu wake bado itaendelea kuwa na nguvu pasina kupungua idadi ya supporters na well-wishers.
Tofauti ya CHADEMA na CCM ni kwamba CCM bila ya nguvu ya vyombo vya ulinzi na usalama kitaparanganyika na kufa kifo cha mende ilhali CHADEMA kinadunda huku kikipambana na Serikali, CCM, vyombo vya ulinzi na usalama pamoja na judiciary.
Hakuna bifu na hata huyo Lema can't manage to shake CHADEMA kwani hata Mbowe, timu Covid19 na timu CHAUMA + CCM + Serikali + TISS/Police/TPDF + Wasiojulikana(Fwele gang) wote combined wameshindwa. Lema is literally an irrelevant tiny particle in a big picture.kwahiyo gentleman,
bifu la timu lema na timu heche linahusiana na hizo porojo kweli?
kwani kuna nini chadema baina ya viongozi wa kamati kuu?Hakuna bifu na hata huyo Lema can't manage to shake CHADEMA kwani hata Mbowe, timu Covid19 na timu CHAUMA + CCM + Serikali + TISS/Police/TPDF + Wasiojulikana(Fwele gang) wote combined wameshindwa. Lema is literally an irrelevant tiny particle in a big picture.
Shoga zee unakata miuno kama unavyomfanyia wasiraKwa maoni na mtazamo wako,