Bifu la kisiasa baina ya team Lema dhidi ya team Heche, nani hasa ni changamoto baina ya mafahali hawa wawili ndani ya CHADEMA?

ms*nge wewe umeshindwa kumtetea makamo wako nchimbi unadandia treni kwa mbele
 
ms*nge wewe umeshindwa kumtetea makamo wako nchimbi unadandia treni kwa mbele
tuliza mihemko nonsense jukwaani plz gentleman ikiwa huna point na itapendeza zaidi
 
So long as wanaitoa kamasi CCM pamoja na serikali yake hayo mengine tuwaachie wanachama wa hicho chama kwani sisi hayatuhusu.
kwahiyo viongozi wa chadema wakiwa wanararuana, ccm itakua inatoa kamasi right?
 
Usimuamini mwanasiasa
Narudia Tena usimuamini mwanasiasa
Narudia Tena usimuamimini mwanasiasa
Ngoja ninywe maji

Jinsi mpelelezi anavyoenda mkoa frani akao na akazaa na Binti hata miaka saba kigezo tariifa sahihi ipatikane
Kama hamkujifunza kwa mboe basi itawachukuwa mda sana

Kuna wakati na 4m 4 yangu point 29 hata lissu naweza sema ni mind game ( sayansi ya siasa ) usiniulize kuhusu kupigiwa lisasi .
 
Haina afya kwao wote.
 
Lema kinachomsumbua ni wivu kwa heche hilo liko wazi ndio mana lema anajitahidi kumchafua kidigitali huo mchezo lema mbona ndio mtaalamu!
 
Lema kinachomsumbua ni wivu kwa heche hilo liko wazi ndio mana lema anajitahidi kumchafua kidigitali huo mchezo lema mbona ndio mtaalamu!
hata ingekua wewe,
jamaa anazitafuna pesa za chadema hadharani kabisa ungekaa kimya kweli gentleman?πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…