ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
-
- #101
Ila wanaume bana mnachekeshaUkiwaacha underage ambao kisheria wanaonekana hawana uwezo na ukomavu wa kujiamulia mambo, wengine wote wanaamua wenyewe lini bikra itolewe na nani aitoe. Hawa wasilaumu watu(in case kuna lawama)
Mtu asiye bikra anatolewa mahari ili iweje, kwa kipi hasa. Au maana ya mahari nini?
Kwanini ukubali kuchakatwa na mtu ambaye unajua hana nia ya kukuoa .Kwanini utongoze huku ukijua unaemtongoza huna nia ya kumuoa
Hii ni akili gani mkuu?
Naanza na wewe kwanini utongoze huku ukijua huna nia ya kumuoa jibu swali acha kurukaruka mkuuKwanini ukubali kuchakatwa na mtu ambaye unajua hana nia ya kukuoa .
Jibu swali langu hapo juu kwanzaKwanini ukubali kuwa nae kwenye mahusiano ya siri?
Kwanini wewe usiende kwao kama kweli unampendaKwanini usimwambie aende kwenu kama kweli anakupenda..?
Jibu maswali yangu kwanzaKwanini uwende kwake na ukubali procedure za kuchakatwa?
Tumekubaliana hakuna kujadili individuals, tunaongea general kama mada ilivyo.Ila wanaume bana mnachekesha
Swali lako moja kwa moja
Wewe ulioa bikra ?
Wakati huo na wewe hukua umewahi kulala na mwanamke mwingine?
Kama yupo huyo ulielala nae unamuachia nani?
Swala la mahari ni swala la mila na desturi
Hahahaha,Hizo bikra zinapigiwa kelele tu huku mtandaoni..
Lakini ukiingia kitaa hao hao wapiga kelele za bikra wanapita na chochote kinachopatikana iwe un bikra single maza , mishangaza yenye mapengo yani ni tafrani tu.
na kiuhalisia mwanaume huwa hapati mwanamke mwenye vigezo anavyotaka yeye bali hufikiq hatua anachuakua anayepatikana kwa wakati huo
Jiulize na wewe mkuu 😅🙌🏼Aisee nyie ndo maharibu mabinti wakiwa wadogo then badae mnataka bikra zitoke wapi???
ukiua kwa upangaIla wanaume muwe na huruma
Ukichezea na watt wako watachezewa😁 tu
Elewa kitu kutongozaNaanza na wewe kwanini utongoze huku ukujua huna nia ya kumuoa jibu swali acha kurukaruka mkuu
Jibu swali langu hapo juu kwanza
Kwanini wewe usiende kwao kama kweli unampenda
Nyie hua mnarubuni mpaka watoto wa shule ya msingi
Kwahiyo unataka aende kwako kusema kapata mchumba?
Jibu maswali yangu kwanza
Kwani nani anayeoa ??Haina maana yoyote
Kama mwanamme amalala na wanawake lukuki bikra anataka ya nini?
Narudia acha kurukaruka kwanini utongoze huku ukijua huna nia ya kumuoa huyo mtoto tena under ageElewa kitu kutongoza
Maamuzi yanabaki kwako mwanamke (kibali / kataa)
Ukikubali ni sawa na kukubal kuchakatwa asilimia 50/60
Ukikataa mwanaume hawez kukufosi
Pili; siku hizi hamtaki mtu ajipeleke kwenu bila nyie kumkubalia kwanza.
Unajua nyie mmehalalisha zinaa kwa kuiita jina la (mapenzi)
Kwahiyo mwanaume anaweza kwenda kwenu ili kukulainisha ili akuchakate baadae akukimbie. Kwahiyo inategemea na msimamo wako mwenyew.
Ukiwa huna msimamo utachakatwa na utakimbiwa.
Yule uliemlala ataolewa na nani sasa?Kwani nani anayeoa ??
Nilie mlala sikumkuta BIKRAYule uliemlala ataolewa na nani sasa?
Unachotakiwa kujua wakati umelala na huyu wenzio walilala na yule maana nyie si mafisi
Sasa huku baadae mnahangaika nini kutafuta bikra 😅😅
Heshima hiyo wewe tu huna kwanini umpe mwengine?SIWEZI KUMUHESHIMU WALA KUMUONEA WIVU MWANAMKE AMBAYE SIKUMKUTA BIKRA
Huwezi ku judge individual decision generally.Kwanini wewe mwanaume ulaghai mtoto wa mwanaume mwenzio
Nani alikwambia jukumu la malezi ni la mama pekee?
Naendelee kushuhudia vituko kwenye huu uzi
Wanawake wengine hawaelewi hili somo.Tumekubaliana hakuna kujadili individuals, tunaongea general kama mada ilivyo.
Mwanamke ndio ana maamuzi ya kuvua, halazimishwi wala habakwi, so bikra yake ikivunjwa she has no right to blame anyone.
Men are predators, simba anawinda, anakamata the weakest prey, kwa hiyo nikikukula na kuitoa hiyo bikra ni vile nimekuwinda ukaingia kwenye 18 zangu. Who to blame?
Pole yako inaonekana unakutana na used kila siku ndio muwakemee wanaume wenzenu mafisi wanaolaghai watoto wadogoNilie mlala sikumkuta BIKRA
Wewe kwanini ulikubalia kumvulia chupi Mwanaume ambaye hajakuoa ??Pole yako inaonekana unakutana na used kila siku ndio muwakemee wanaume wenzenu mafisi wanaolaghai watoto wadogo