Bila Freeman Mbowe na Jordan Rugimbana, Tundu Lissu angepoteza uhai siku ile aliyopigwa risasi Dodoma

Hakukuwa na mlenga shabaha pale,mlenga shabaha apige risasi zaidi ya 20 bado awe mlenga shabaha?

Wale ni wahuni tu kama wale waliotaka kumteka bwashee wa watu huko Kiluvya,ila mengine yote umeandika sahihi.
 
Lakini kati ya wanadamu ambao hawana shukrani Lissu yjmo.
Hana fadhila wala shukrani.
Anavyo mdharau Mbowe utadhani hakuna jema hata moja ambalo Mbowe ame wahi kumfanyia
 
Wakati wake ulikuwa haujafika tu, wakati atakapo amua Mungu hakuna atakayeweza zuia.
 
Kitu kinachoshangaza ni Mbowe kutetewa zaidi na wana CCM!

Kuna nini hapa?

Jana niliona hadi Luca anamtetea mwenyekiti...

Lissu na kukumbusha, jiandae.
 
Rugimbana acha uongo.We we si ndo uliwaarest vijana wa chadema wale wa magunia wasiende ikulu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…