zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Wewe umesema pale ni kwa kina Abraham ndio nakufundisha kuwa Abraham alikua na watoto watano ila waisrael ni watoto wa Yakobo pekee, sasa je hao wajukuu wengine wa Abraham aliozaa na mke wake Keturah wanarithi ardhi gani? Au mwenye haki ni yakobo tu ukoo mzima?Hoja ni Israeli au Palestine? Kwani ukizaa watoto 50 wanabadili utaifa?
Nimekwambia kasome Biblia, Abraham alitoa sadaka kwa Mfalme wa Jerusalem sasa unachobisha nini? Kama ilikua na mfalme why leo ulielie kuwa Jerusalem ni ya wayahudi tu sio jamii nyingine?Kwa
Mfalme WA wapi? Kwahiyo hata majina tu Jerusalem,galilala, Nazareth, Bethlehem ni ya kiarabu?
Philist
Miaka elfu 10 iliyopita kulikua na kiarabu?Kwahiyo hata majina tu Jerusalem,galilala, Nazareth, Bethlehem ni ya kiarabu?
Ohoooooo wenye dini yaoLile eneo ni la waarabu , hasa kwa sababu media , na nguvu duniani kashika marekani na kuna mikataba ya siri uingereza na marekani kuisapoti Israel kwa lolote ndio shida , baadae akaja misri akataka kuwatetea wapalestina akaishia njiani , ikatokea migawanyiko mikubwa middle east , akabakia Iran ndio anawatetea wale watu , hao houth, hezbollah, hamas sio magaidi hivo ni vyama vya kisiasa tena vilikua vinashiriki chaguzi huko na vina wabunge , kama ilivo ccm na greengaurd yao Leo waitwe magaidi , maana nao hupata mafunzo ya kijeshi kule ihemi ikiwapo kutumia silaha , hasa vile vyama kulinda maslahi ndio vikaunda vikosi vya kujilinda na kulinda watu wao , hao sio magaidi kama tunavyoaminishwa na dunia ishaingia mkenge na kupata dhambi ya bure kwa kuwachukia wasio na hatia na kuwapenda wenye hatia
Wake WA zinaa ni wake? MTOto anayetambuliwa ni isaka tu wengine ni WA zinaaa...watano
kiarabu
Unachanganya eneo na kabila!! Philistia waliishi makabila ya canaan pamoja na caphtorites/Casluh kutoka Ugiriki; notable personalities ni kina Goliath walitokea jamii hii.philist si jamii za kiajemi?
Kumbe hayajafutika? Niambie kabila la Dani lilifutwa na nani? Si tuliambiwa wote watatejeshwa ila Kitabu cha ufunuo hakiitambui kabila la Dani!!Mkajifunze historia kuanzia Babylon Hadi Roma wayahudi hapi na kwao Dunia imetafuta Kila namna kuwaangamiza imeshindwa.
Acha ujinga, Keturah alikua mke wa ndoa baada ya Sarah kufariki. We jamaa huna unalojua kumbe. Na ahadi za nchi ya ahadi na taifa teule alipewa Abraham!! Ila eti taifa teule anakua Yakobo tu.... hujitambuiWake WA zinaa ni wake? MTOto anayetambuliwa ni isaka tu wengine ni WA zinaaa...
Ottoman imekuja miaka zaidi ya 1000 baada ya eneo la philistia kuwepo!!Palestina ni masalia ya ottoman empire basi,ni sawa na wakurudi walivyo wengi midlle east ila hawana Taifa...
Then who are Palestinian mfano Sinwar...Mkuu Wayahudi ata Ethiop wapo, ata Uganda wapo enzi ma enzi na hilo sikatai kuwa kulikuwa na jamii ya watu mbalimbali eneo hilo ila Wayahudi walikuwepo Yudea pia kama waliopo Ethiopia leo ata Iran kuna jamii ya Wayahudi pia mpaka leo.
Miaka hiyo hakukuwa na Taifa kama nchi ila kulikuwa na majimbo.mkuu hoja kubwa ilikuwa ni ku establish hilo eneo linalogombaniwa.
Nakubaliana na wewe kuwa hakuna ushahidi wa kisayansi isipokuwa masimulizi. Je kuna ushahidi wowote hilo Taifa la Palestina lilikuwepo hiyo miaka 2000 nyuma?
Nisaidie mkuu kama Israel alivamiaa je? Israel kwao ni wapii au eneo lao ni lipii maake kila mtu kwenye Dunia hii ana asili yake?,je? Hiyo nchi Israel ilikuaga wapii??Israel alivamia eneo la mwenzake , na Israel imeundwa mwaka 1948 , wakati Palestina ilikuepo muda mrefu sana
Unaongelea biblia hii kila siku inafanyiwa maboresho au biblia ipi?Mungu akisema amesema. There is no going back.
"The days are coming,’ declares the Lord, ‘when I will bring my people Israel and Judah back from captivity[a] and restore them to the land I gave their ancestors to possess,’ says the Lord.”
Jeremiah 30:3 - The Restoration of Israel and Judah
For behold, the days are coming, declares the LORD, when I will restore from captivity My people Israel and Judah, declares the LORD. I will restore them to the land that I gave to their fathers, and they will possess it.'biblehub.com
Si kweli Soma Historia ya Arab conquest of Levant.Mkuu hakuna ushahidi wowote wakisayansi unasupport hoja kuwa pale kwenye msikiti wa Al Aqsa kulikuwa na Hekalu la Suleiman ila inasemekana tu kuwa pale kulikuwa na hicho kitu na sio Synagogi ni Hekalu.
Kihistoria, eneo lote la ilipo Israel, Gaza na sehemu ya kusini mwa Lebanon, sehemu ya Misri, sehemu ya Syria na sehemu ya Jordan, mpaka mwaka 2,500 BCE ilikuwa ni nchi moja iliyoitwa Canaan.
Wayahudi waliingia katika nchi hii kwa vita, na kuwapiga wenyeji wa maeneo hayo, canaanites, na kutengeneza tawala mbili: ISRAEL KINGDOM na JUDAH KINGDOM.
Kutokana na vita vya daima, kuanzia mwanzoni mwa karne 10, walihamia maeneo mbalimbali ya mediteranian, wengi wakiingia nchi za Ulaya, huku jamii ndogo ya Wayahudi na waarabu wakibakia kwenye maeneo yao ya asili. Wakati Wayahudi wengi waliyahama maeneo haya, waarabu waliendelea kuishi sehemu hizo hizo. Kabla ya vita kuu ya pili ya Dunia, kulikuwa na wayahudi wapatao 450,000 na waarabu wapatao 1.1m kwenye eneo ambalo leo ni Israel, Gaza na West Bank. Wakati huo eneo lote likiwa chini ya mamlaka ya Uingereza.
Baada ya vita kuu ya pili ya Dunia, idadi ya wayahudi katika eneo hili iliongezeka hadi kufikia takribani 760,000, na waarabu wakiwa 1.2m.
Kwa ufupi ni kwamba, hili eneo la Israel, Gaza na Westbank, toka kale ziliishi jamii mbalimbali pamoja, huku wayahudi wakiwa wengi, na ndio walikuwa watawala. Migration kubwa ya wayahudi ilibadilisha demography ya eneo, na kuwafanya waarabu kuwa wengi zaidi kuliko wayahudi.
Katika uhalisia, na hekima ingekuwepo, kama walivyopendekeza wayahudi mwaka ule 1947, eneo lote lilitakiwa kuwa nchi moja yenye jamii tofauti tofauti. Kwa bahati mbaya, waarabu walikosa hekima, wakaona kuwa Wayahudi hawana haki yoyote, na hawa hawakuwa waarabu wa pale Palestine, walikuwa waarabu wa mataifa ya Misri, Iraq, Jordan, Syria na Lebanon, ambao tayari walikuwa wamelimega eneo la ufalme wa zamani wa Israel na Judah.
Kwa kuzingatia mazingira ya baada ya vita vikuu vya pili vya Dunia, jibu rahisi ni kwamba, hakuna mvamizi. Waisrael ni eneo lao, na wapalestina pia. Lakini kwa vile waarabu waliukataa mgawanyo wa 1948, waliipoteza haki ya eneo walilopewa. Kwa sasa ni vyema ikawa nchi moja inayozingatia haki ya jamii zote.
Sio kweli Iraq wengi ni wakurudiUnajua kuwa Waisrael wengi wanatokea Iraq, Yemen na Northern Africa