Aliambiwa wapi awauwe? Bring historical facts tuachane na dini. Mada ndivyo inavyosema.Kiufupi wenyeji wa hapo aswa hawajulikani maana hao wakuja hapo kwa maana ya waisrael na waarabu waliingia hapo kwa vita sana, kama muisrael aliambiwa kabisa awaue wenyeji bila kuwaacha hai hata mmoja, kwahiyo kwasasa wenyeji wamejichanganya miongoni mwa wapalestina wengine walikimbia kuokoa maisha yao , hivyo ndivyo mambo yalivyo
Historical facts hakuna mahali utapata juu ya wenyeji wa eneo hilo hakunaAliambiwa wapi awauwe? Bring historical facts tuachane na dini. Mada ndivyo inavyosema.
Karne ya 12BC au CE, neno Palestina limetokana na neno Philisiti neno Peleset linatokana na Philisiti.Hadi Karne ya 12 eneo lile liliitwa peleset , wakati wengine wakiita Canaan au promised land , peleset au Palestina ndio ilianza kabla ya unachokiita Israel , machapisho yapo maktaba mbalimbali hasa egypt
Mungu wa BibliaAliyewaambia (waamuru) wa-Israel wawaue wenyeji ni nani?
Kwa hiyo tuende kidini? Uko tayari?Historical facts hakuna mahali utapata juu ya wenyeji wa eneo hilo hakuna
Mimi niko kwenye majadiliano tayari, wewe lete ulicho nachoKwa hiyo tuende kidini? Uko tayari?
Basi umeenda kinyume na Uzi, ukiachana na mambo ya dini, ni nani aliyevamia ardhi ya mwenzie kati ya Israel na Palestina? Ukileta nukuu za Biblia zikipingwa kwa mistari ya Quran hautakiwi kubisha, neutral ground pekee ni pale tutakapojadili hii mada-Israel Vs Palestina bila kuleta udini na uhafidhina.Mungu wa Biblia
Unajua kuwa Waisrael wengi wanatokea Iraq, Yemen na Northern AfricaIla kwa kweli mie kuna vitu vinanichanya sana, tuseme Kenya, Uganda na Tanzania wote weusi yaan African alafu gafla anatokea Mzungu anaanza kusema yeye ni Mzawa na ndio mwenye asili ya Tanzania, Hii inaingiaje akilini
Bado hujafuatilia historia ukaijua, hicho ulichoandika sivyo pale alirudi kwake... kasome historia yaoIsrael alivamia eneo la mwenzake , na Israel imeundwa mwaka 1948 , wakati Palestina ilikuepo muda mrefu sana
Wote wavamizi ni suala la kupokezana tuBasi umeenda kinyume na Uzi, ukiachana na mambo ya dini, ni nani aliyevamia ardhi ya mwenzie kati ya Israel na Palestina? Ukileta nukuu za Biblia zikipingwa kwa mistari ya Quran hautakiwi kubisha, neutral ground pekee ni pale tutakapojadili hii mada-Israel Vs Palestina bila kuleta udini na uhafidhina.
Mbona waislamu wanalazimisha sana hiyo nchi ni ya wapalestina ili hali hata kingdom ya wapalestina hajawahi kuwepo hata mfalme mmoja wapalestina hawamjui?Hilo linawaumbua sana! Kingdoms zote middle east zinafahamika; hapajawahi kuwepo kingdom yoyote related to kabila la mchongo Palestine.
Tupe mstari hata mmoja Allah anataja neno Palestina. Nami nitakuletea countless number of times akiitaja ISRAEL na nchi yao.Mimi niko kwenye majadiliano tayari, wewe lete ulicho nacho
Umeenda kinyume na sheria za Uzi, usitumie vitabu vya dini ili kuondoa mkanganyiko.Hata ukienda kwenye dini, hilo eneo la palestina. Vitabu vya dini vinasema Israel ilitokana na mtoto wa Ibrahim aitwe isaka na Ibrahim pale alikuwa ni muamiaji tu ambaye aliwakuta wenyeji
Tuambie mfalme au rais mmoja wa Palestina kabla ya 1948Israel alivamia eneo la mwenzake , na Israel imeundwa mwaka 1948 , wakati Palestina ilikuepo muda mrefu sana
Israel ni mvamizi kama wavamizi wengine hausiki na ardhi ileBado hujafuatilia historia ukaijua, hicho ulichoandika sivyo pale alirudi kwake... kasome historia yao
Fafanua vizuri hoja yako utapata majibu mazuri.Ila kwa kweli mie kuna vitu vinanichanya sana, tuseme Kenya, Uganda na Tanzania wote weusi yaan African alafu gafla anatokea Mzungu anaanza kusema yeye ni Mzawa na ndio mwenye asili ya Tanzania, Hii inaingiaje akilini
Tatizo wapalestina wa Gaza ni wakorofi, mbona wenzao wa kule Ramallah hawana chokochoko nyingi. Pia wakati wanaweka mipaka walikosea palestina kuweka pande mbili yaani kule ukingo wa magharibi na upande wa Gaza, ilipaswa wote wawekwe pamoja. Hao wa gaza kama vipi wapewe hifadhi hata hapo Jordan tatizo vichwa vyao vibovu kila mwarabu anawaogopa.Uvamizi huu naona unapewa baraka na nchi nyingi za Magharibi, mfano Marekani ambaye yupo tayari hata kutuma ndege za kivita kupeleka huko Gaza.
Kweli ukikosa nguvu umekosa mengi, hautapata unachostahili bali kile kilichobakia, muda huu wa Palestina wanafukuzwa kwao na kufumuliwa makombora.
Maybe Heaven is asleep!