Bila kuleta udini na uhafidhina, kati ya Israel na Palestina nani aliyevamia eneo la mwingine?

Bila kuleta udini na uhafidhina, kati ya Israel na Palestina nani aliyevamia eneo la mwingine?

Au Niende pale Magomeni Kanisani niwaambie kuwa jana nimetokewa na Yesu Kristu kaniambia eneo hili lote liko chini ya milki yangu nanyi mnipishe! Ao Maaskofu watanipisha? Au wataita ambulance nipelekwe milembe?
Mfano batili 🚮

Wayahudi hawajatokewa na Yesu kama huo mfano wako, bali waliwahi kumiliki na kuishi hapo miaka na miaka, na kuna ushahidi mwingi wa kihistoria ikiwemo mabaki ya majengo, maandishi, nk
 
Ukienda kwenye dini au bila dini Palestine ndio wenye haki, kwenye dini hio ardhi ilijulikana kama ya watu wenye asili ya Canaanites ambao ni watu wa pale ni Lebanon, Jordan, Palestine na part ya Syria wa Israel wala hawana hata asili ya Canaanites wanajaribu kufake kama walivyo fake kujiita waIsrael. Hata Qur'an inawatofautisha kati ya Wayahudi.na Watoto wa Yakobo. Qur'an ina waita Bani Israel lakini Wayahudi inawaita Yahudi.

Ukienda kwenye nje ya dini Wapalestine walikuwepo hapo kabla ya hao Wayahudi ambao wanajiita Waisrael walivyo kuwa wizi wa history hawa.
Hiyo Quran ni feki sio ya kuamini kabisa because it's a collection of myths. Labda uje na hadithi nyingine.

Mfano batili 🚮

Wayahudi hawajatokewa na Yesu kama huo mfano wako, bali waliwahi kumiliki na kuishi hapo miaka na miaka, na kuna ushahidi mwingi wa kihistoria ikiwemo mabaki ya majengo
Nani aliyevamia eneo la mwenzie?
 
Mfano batili 🚮

Wayahudi hawajatokewa na Yesu kama huo mfano wako, bali waliwahi kumiliki na kuishi hapo miaka na miaka, na kuna ushahidi mwingi wa kihistoria ikiwemo mabaki ya majengo
Kwani Myahudi wa kwanza alikuwa nani? Alifikaje katika eneo lile ambalo tunalizungumzia?
 
Mtihani wa jibu hili ni kuwa, Mfano mimi nikija kwako nikiwa na kitabu changu ninachokiamini na nikakuonesha mstari kuwa Mungu wangu kanila ardhi hii utanipisha?

Au Niende pale Magomeni Kanisani niwaambie kuwa jana nimetokewa na Yesu Kristu kaniambia eneo hili lote liko chini ya milki yangu nanyi mnipishe! Ao Maaskofu watanipisha? Au wataita ambulance nipelekwe milembe?
Swali lako ni shallow kwa sababu halijazingatia muktadha, wakati na uhalisia. Mataifa karibia yote yamepata ardhi zao kwa nguvu, vita na uporaji huku dini zikitumika kufanikisha hilo pia, Israel ya nyakati hizo ilipata ardhi yake kwa njia hizo pia.
 
Nini suluhisgo la mzozo huu??

Binafsi naona bora wangeungana ikawa nchi moja.

Wawe naserikali ya umoja
Wataunganaje wakati moja anataka sheria ya kukata watu vichwa..!!??😲😲😲
 
Swali lako ni shallow kwa sababu halijazingatia muktadha, wakati na uhalisia. Mataifa karibia yote yamepata ardhi zao kwa nguvu, vita na uporaji huku dini zikitumika kufanikisha hilo pia, Israel ya nyakati hizo ilipata ardhi yake kwa njia hizo pia.
Israel ya nyakati hizo ilipata aridhi yake kutoka kwa nani?.
 
Achaneni na Historia. Kariakoo hii hakuna Mzaramo atakuja na kudai kwamba ni eneo lao.

Israel wapo, na Palestina wapo, kumkataa mwenzako ukitaka wewe ndiye ukubalike ni kujitafutia vifo visivyo vya lazima.
 
Kwani Myahudi wa kwanza alikuwa nani? Alifikaje katika eneo lile ambalo tunalizungumzia?
"The days are coming,’ declares the Lord, ‘when I will bring my people Israel and Judah back from captivity[a] and restore them to the land I gave their ancestors to possess,’ says the Lord.”
 
Israel ya nyakati hizo ilipata aridhi yake kutoka kwa nani?.
Kama hutumii rejea za kidini Wa-Israeli walikuwa wakazi asili wa eneo hilo walilopo leo kwa hiyo swali lako ni null and void kama kuuliza leo Watanzania walipata ardhi yao kutoka kwa nani.
 
Achaneni na Historia. Kariakoo hii hakuna Mzaramo atakuja na kudai kwamba ni eneo lao.

Israel wapo, na Palestina wapo, kumkataa mwenzako ukitaka wewe ndiye ukubalike ni kujtafutia vifo visivyo vya lazima.
Sahihi
 
Kwani Myahudi wa kwanza alikuwa nani? Alifikaje katika eneo lile ambalo tunalizungumzia?
Mtanzania wa kwanza alikuwa nani na alifikaje katika ardhi ya Tanzania??
 
SHIDA NI KWAMBA KILA MTU ANANUKUU MAANDIKO YA EITHER QURAN AU BIBLIA, hapo unakuwa umetoka nje ya mada!
 
Nitajitahidi sana kutokuweka mambo ya DINI though ni ngumu kukwepa kwa 100%.
Wanaosema Israel imeundwa mwaka 1947/8 hawana wanacho kijua; wangepumzika kwanza. Chanzo cha kitu kinaitwa Israel/Wayahudi na Waarabu ni mtu 1 anaitwa Ibrahim mwana wa Tera; huyu bwana alikua mwenyeji wa taifa linaitwa Uli ya Ukalydayo (sasa Iraq ) huyu bwana alitokea familia ya wafugaji specifically KONDOO na ngamia, Iraq ndio kitovu cha hi dunia, huyu bwana alihamia hapo panapoitwa Palestine or Israel hi ya leo, walikiwepo wenyeji wanaitwa Wahiti, Wahivi, Wakaanani nk. Waliishi kwa pamoja bila shida; baadae huyu Ibrahim alikwenda uhamishoni Misri kukimbia njaa then alirudi na binti wa Kimisri kama house girl; hakubahatika kupata mtoto na baadae alikuja kuzaa na huyo house girl wake, mtoto huyo wa house girl ndio chanzo wa Waarabu wote wa leo; baadae alipata mtoto kwa mkewe aliyeitwa Isaka/Isaac/Isihaka; Isihaka alizaa mapacha, mmoja ndio baba wa Waisrael hawa wa leo na pacha mwingine aliitwa Esau ndio baba wa taifa lilitwa Edom or Lebanoni ya leo; so you can see jinsi gani hawa watu walivo na undugu wa karibu. Well, Yakobo aliishi hapo hapo kwa babu yake Ibrahim na wanae na baadae nae alikimbilia Misri kama babu yake; huko walizaliana kwa wingi, both watoto na mifugo; baada ya miaka 430 kupita ndio waliporudi nyumbani kwao wakiongozwa na Musa, hapa sasa ndipo ilipoanza TABU, walipigana sana kwa zaidi ya miaka 2000; wakati Yesu anazaliwa; wote pale mashariki ya kati walikua wanatawaliwa na dola ya Rumi so sio Waisrael/Wayahudi wala Waarabu or Wapalestina walikua na chao, wote walitakiwa kua chini ya mtawala anaitwa Rumi; mwaka 70 AD, Dola ya Rumi alipiga hekalu/synagogue/kanisa na kuua Wayahudi wengi; walitawanyika sehemu mbalimbali za dunia hasa Ulaya, Africa hasa Misri na Ethiopia na waliobaki wengi wao waliuawa na wengine walijiua wenyewe; miaka imekwenda sana, baadae ndio wakaanza kurudi tena nyumbani, hi ndio wanayo ijua wengi. Again, walikimbia mauaji huko waliko kua hasa German ya Hitler, Poland kuliko kua na kambi ya Sobibo na Romania as well; wale waliokua Russia, Ulaya ya Magharibi pamoja na Marekani walibaki huko huko hadi miaka ya 60, 70 na 80 nao baadhi wakaanza kurudi nyumbani; hi hasa baada ya Ukomunisti kufa, walirudi wengi nyumabni.
Baadae naweza kuelezea why mataifa mengi ya mashariki ya kati yanao wengi sana na hawajulikani, mataifa kama Iran, Iraq, Saudia, Syria na hata Misri plus Ethiopia
 
Mwambie atuonyeshe Solomon's templet kama kweli anaweza afu huyu anaonyesha hata Uislam haujui hakuna Mitume walio kuwa sio Waislam.

Uislam unasema Nabii Sulaiman aliu rebuilt Masjid Al Aqsa with the help of the natives ye anasema Solomon's templet 😄
Hizo ni hadithi za ngano tu, hakuna vitabu vyovyote vya historia vinavyothibitisha haya mambo.
 
"The days are coming,’ declares the Lord, ‘when I will bring my people Israel and Judah back from captivity[a] and restore them to the land I gave their ancestors to possess,’ says the Lord.”
Screenshot_2024-10-20-23-14-01-24_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg

"Ondoka katika nchi yako"

Kwa maana hii huyu aliacha nchi yake
------------------------------------
Screenshot_2024-10-20-23-18-32-76_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg

Bado unamtafuta mvamizi wa maeneo ya watu?

Kiuhalisia ata Abraham hakuwa Myahudi! Sijui kabila la Uyahudi aliamzisha nani!
 
Back
Top Bottom