boaz mwalwayo
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 6,287
- 4,738
Iraq wengi ni wakurudi kUnajua kuwa Waisrael wengi wanatokea Iraq, Yemen na Northern Africa
Mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iraq wengi ni wakurudi kUnajua kuwa Waisrael wengi wanatokea Iraq, Yemen na Northern Africa
Umelewa nilichoandika?Sio kweli Iraq wengi ni wakurudi
Mbona wanasema Misri ilikua nchi ya watu weusi sio waarabu?Nitajitahidi sana kutokuweka mambo ya DINI though ni ngumu kukwepa kwa 100%.
Wanaosema Israel imeundwa mwaka 1947/8 hawana wanacho kijua; wangepumzika kwanza. Chanzo cha kitu kinaitwa Israel/Wayahudi na Waarabu ni mtu 1 anaitwa Ibrahim mwana wa Tera; huyu bwana alikua mwenyeji wa taifa linaitwa Uli ya Ukalydayo (sasa Iraq ) huyu bwana alitokea familia ya wafugaji specifically KONDOO na ngamia, Iraq ndio kitovu cha hi dunia, huyu bwana alihamia hapo panapoitwa Palestine or Israel hi ya leo, walikiwepo wenyeji wanaitwa Wahiti, Wahivi, Wakaanani nk. Waliishi kwa pamoja bila shida; baadae huyu Ibrahim alikwenda uhamishoni Misri kukimbia njaa then alirudi na binti wa Kimisri kama house girl; hakubahatika kupata mtoto na baadae alikuja kuzaa na huyo house girl wake, mtoto huyo wa house girl ndio chanzo wa Waarabu wote wa leo; baadae alipata mtoto kwa mkewe aliyeitwa Isaka/Isaac/Isihaka; Isihaka alizaa mapacha, mmoja ndio baba wa Waisrael hawa wa leo na pacha mwingine aliitwa Esau ndio baba wa taifa lilitwa Edom or Lebanoni ya leo; so you can see jinsi gani hawa watu walivo na undugu wa karibu. Well, Yakobo aliishi hapo hapo kwa babu yake Ibrahim na wanae na baadae nae alikimbilia Misri kama babu yake; huko walizaliana kwa wingi, both watoto na mifugo; baada ya miaka 430 kupita ndio waliporudi nyumbani kwao wakiongozwa na Musa, hapa sasa ndipo ilipoanza TABU, walipigana sana kwa zaidi ya miaka 2000; wakati Yesu anazaliwa; wote pale mashariki ya kati walikua wanatawaliwa na dola ya Rumi so sio Waisrael/Wayahudi wala Waarabu or Wapalestina walikua na chao, wote walitakiwa kua chini ya mtawala anaitwa Rumi; mwaka 70 AD, Dola ya Rumi alipiga hekalu/synagogue/kanisa na kuua Wayahudi wengi; walitawanyika sehemu mbalimbali za dunia hasa Ulaya, Africa hasa Misri na Ethiopia na waliobaki wengi wao waliuawa na wengine walijiua wenyewe; miaka imekwenda sana, baadae ndio wakaanza kurudi tena nyumbani, hi ndio wanayo ijua wengi. Again, walikimbia mauaji huko waliko kua hasa German ya Hitler, Poland kuliko kua na kambi ya Sobibo na Romania as well; wale waliokua Russia, Ulaya ya Magharibi pamoja na Marekani walibaki huko huko hadi miaka ya 60, 70 na 80 nao baadhi wakaanza kurudi nyumbani; hi hasa baada ya Ukomunisti kufa, walirudi wengi nyumabni.
Baadae naweza kuelezea why mataifa mengi ya mashariki ya kati yanao wengi sana na hawajulikani, mataifa kama Iran, Iraq, Saudia, Syria na hata Misri plus Ethiopia
Herode wanadai hakuwa myahudiHerode mfalme wa Wayahudi wakati wa Roman Empire alikuwa anatawala wapi??
Kwanza hakuna kabila lililoitwa wapalestina. Eneo la pwani ambako waliishi wavuvi, ambao wengi walikuwa ni wafilisti, ndiyo pekee liliitwa palestine kwa sababu ya jamii ya wafilisti.Then who are Palestinian mfano Sinwar...
What is their origin
Unaongelea biblia hii kila siku inafanyiwa maboresho au biblia ipi?
'muingereza
Dogo, hujui mambo🚮Mwambie atuonyeshe Solomon's templet kama kweli anaweza afu huyu anaonyesha hata Uislam haujui hakuna Mitume walio kuwa sio Waislam.
Uislam unasema Nabii Sulaiman aliu rebuilt Masjid Al Aqsa with the help of the natives ye anasema Solomon's templet 😄
Na mimi nachojua Misri waarabu walivamia pale sio kwaoUnajua Wakanaani sio waarabu Wala siô Waisrael?
Wakanaani ni jamii Kutoka Kwa Hamu( Hamites ) àmbao kiasili ni Watu weusi(wanjano) kama Wamisri.
Hilo Eneo kuanzia Kanaani(Palestine) kurudi chini Moja misri siô maeneo ya Waarabu Bali jamii ya Hamites.
Hivyo waarabu na Wayahudi wamevamia maeneo ya Hamites
Na mimi nachojua Misri waarabu walivamia pale sio kwao
Kila anayeamini/aminishwa kwamba Israeli haikuwepo kabisa au ilianzishwa mwaka 1948 anapaswa aidha aelimishe iliyo kweli au alazimishwe kuuelewa ukweli kwamba ilikuwepo.Israel alivamia eneo la mwenzake , na Israel imeundwa mwaka 1948 , wakati Palestina ilikuepo muda mrefu sana
Tangu Enzi pale ni Kwa wayahudi...haiwezekani eti Jerusalem,galilaya, Nazareth, Bethlehem etii Leo pawe palestina ni upuuzi...Acha wazidi kuuawa tu...ilianzishwa
Exactly 💯Hata kihistoria inategemea anayehadithia kaamua kuanzia wapi
Huwezi kutenganisha Mgogoro baina ya Israel na Palestina na yaliyoandikwa kwenye Biblia. Ukiamua Kutenganisha ni kwenda kinyume na UKWELI.Tukianza kupitia vifungu kwenye vitabu vya Kidini hapo tunaenda kinyume na Uzi, ukiachana na mambo ya dini, nani aliyemvamia mwenzie kati ya Israel na Palestina?
Tundu Lissu pamoja na uliberali wake lakini kaliongelea historia ya Palestina na mazayuni vizuri sana:Japo katika kujibu swali hili kutahitaji historia, naomba tujitahidi tusilete udini bali chanzo halisi cha mgogoro huu wa Palestina na Israel.
Ninachokijua kime-base kwenye dini na ndio maana nashindwa kukiweka hapa, nawaomba wataalamu wa Historia ya Israel na Palestina watusaidie, pia mtu yoyote aliye na uelewe wa haya mambo anaombwa achangie.
Tupate historia kidogo maana wengine wana mahaba ya kidini ambayo tulipigwa na kitu kizito kichwani na Wazungu na WaharabuJapo katika kujibu swali hili kutahitaji historia, naomba tujitahidi tusilete udini bali chanzo halisi cha mgogoro huu wa Palestina na Israel.
Ninachokijua kime-base kwenye dini na ndio maana nashindwa kukiweka hapa, nawaomba wataalamu wa Historia ya Israel na Palestina watusaidie, pia mtu yoyote aliye na uelewe wa haya mambo anaombwa achangie.
Japo katika kujibu swali hili kutahitaji historia, naomba tujitahidi tusilete udini bali chanzo halisi cha mgogoro huu wa Palestina na Israel.
Ninachokijua kime-base kwenye dini na ndio maana nashindwa kukiweka hapa, nawaomba wataalamu wa Historia ya Israel na Palestina watusaidie, pia mtu yoyote aliye na uelewe wa haya mambo anaombwa achangie.