Django Doer
JF-Expert Member
- Jun 30, 2023
- 2,865
- 5,184
Wiki ijayo! Kwanza umejuaje kuwa niko chuo?🙂🙄Dogo unazingua, unamaliza lini UE?
Kumbe unasikiaga raha kunichokoza?? 😹😹Basi tu nikuchokoze 😀😊
💩💩💩💩Ughonile..
Huu mtandao pamoja na kuwa naupenda ila kuna baadhi ya members wanaboa sana, unaweza kuingia humu kwa bashasha ila ukatoka na huzuni sababu ya members wachache vichwa panzi siku yako ikaharibika.
Kuna hawa chawa wa Bi Tozo wakiongozwa na Lucas Mwashambwa & Tlaatlaah , itoshe kusema nyie vima mnanikera sana na mada zenu za kichoko.
Eeh sio ww tu napenda kuchokoza wengi kama Nuzulati hii ban ni mimi nimemsababishia basi nasikia raha mwenyewe 😅😉Kumbe unasikiaga raha kunichokoza?? 😹😹
Si muongee whatsapp shem au kuna lingine personal!? 🤣®️®️Kumbe wewe ndo uliyemsababishia ban wifi yangu Nuzulati 😏
Umeniudhi ujue kuna vitu vya maana tulikuwa tunafanya.
😅😅😅😅😅Ipo siku utabubujikwa na machozi yasiyokatika ya Majuto ya kwanini ulinichukia mpaka kuniandika humu jukwaani kuonyesha chuki yako kwangu.Hii ni kwa kuwa mimi ni msema kweli Daima. wapo wengine walikuwa kama wewe lakini Mwisho wa siku baada ya kujuwa UKWELI walilia kilio kikali sana cha uchungu mpaka nguo zao zikaloa kwa machozi utafikiri walikuwa wanaoga na nguo vichakani
Una mawazo ya kimaskini sanaaaaUghonile..
Huu mtandao pamoja na kuwa naupenda ila kuna baadhi ya members wanaboa sana, unaweza kuingia humu kwa bashasha ila ukatoka na huzuni sababu ya members wachache vichwa panzi siku yako ikaharibika.
Kuna hawa chawa wa Bi Tozo wakiongozwa na Lucas Mwashambwa & Tlaatlaah , itoshe kusema nyie vima mnanikera sana na mada zenu za kichoko.
Naunga mkono hoja 🤣😁 Cc ephen_ukiwa na adui jf jua umeanza kuwa chizi!
AiseeUghonile..
Huu mtandao pamoja na kuwa naupenda ila kuna baadhi ya members wanaboa sana, unaweza kuingia humu kwa bashasha ila ukatoka na huzuni sababu ya members wachache vichwa panzi siku yako ikaharibika.
Kuna hawa chawa wa Bi Tozo wakiongozwa na Lucas Mwashambwa & Tlaatlaah , itoshe kusema nyie vima mnanikera sana na mada zenu za kichoko.
Faki you na mawazo yako ya kitajiriUna mawazo ya kimaskini sanaaaa
Usinikumbushe, Faizafixy.MamaSamia2025 , FaizaFixy Ila hawa watu basi tuu.
Baba! Una hoja usikilizweKuna ID sikubaliani na maoni yao hasa huko siasani, lakini sijawa-ignore maana najua wanafanya hivyo kushibisha matumbo yao na ipo siku watazinduka na kujiona waliokosea.
Kuna ID za huku chitchat yani hadi ignore nimewaweka, walioweka option ya ignore hawakuwa wajinga, some characters japo huzifahamu personally ila michango yao ya hovyo.
Dalili ya kukosa muelekeo wa Maisha ndio hizi Sasa 😁😁Ughonile..
Huu mtandao pamoja na kuwa naupenda ila kuna baadhi ya members wanaboa sana, unaweza kuingia humu kwa bashasha ila ukatoka na huzuni sababu ya members wachache vichwa panzi siku yako ikaharibika.
Kuna hawa chawa wa Bi Tozo wakiongozwa na Lucas Mwashambwa & Tlaatlaah , itoshe kusema nyie vima mnanikera sana na mada zenu za kichoko.
Sawa kabisa...Baba! Una hoja usikilizwe