Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
- Thread starter
-
- #101
Jikite kwenye mada, ukiukwaji wa haki za binadamu huleta chuki. Unadhani mke wa Azory anajisikia vipi?Yaani Magufuli ana huruma wenye vyeti waliakiwa warudishe pesa zote wakizolipwa wakiwa kazini na wafilisiwe
Magufuli akimaliza muda wake wakamatwe wote wafilisiwe na wafungwe maisha kama pesa hawana
Magufuli akiondoka wajiandae Hiyo huruma ya Magufuli haitakuwepo.Lazima wateme pesa zote ziwe posho au mishahara za miaka yote waliyokuwa kaxini na vyeti feki
Kufa hakuna mwenyewe,walikuwepo wababe,wapole wamepita na hata wewe unayeshangilia kifo cha mwenzio kuna siku utakuwa mfupaAfe asife ukiukwaji wa haki umeleta chuki
Naomba iwe Zitto Jr unatania tu. Mwengeso awe msomi! Dhihaka kwa usomi. Labda wasomi wa nchi wawe ni akina Kitwa-Mulomoni, French, Mtimawachi, Katashekadm, Idegenda na Magembe wa haki ya upotoshaji. Skunks.Duh Lissu ndio afuatilie uchunguzi wa shambulio? Hvi Magufuli akitukanwa mitandaoni huwa anaenda kusimamia physically uchunguzi hadi wachochezi wakamatwe?
Ni kwanini majukumu ya DPP/DCI ama forensic investigators umpatie Lissu kana kwamba ni suala binafsi?
Ina maana kma Lissu Angekufa basi uchunguzi haufanyiki sababu tu mhanga hayupo kutoa ushahidi?
Sikutegemea msomi kma ww uje na argument ya hivi!! Kweli mnaacha taaluma ili ku justify upuuzi wa mtu mmoja tu?
Madhara ya kufiria kwa kutumia makalioKufa hakuna mwenyewe,walikuwepo wababe,wapole wamepita na hata wewe unayeshangilia kifo cha mwenzio kuna siku utakuwa mfupa
Unapoteza muda kulijibu hilo masaburi.Kwa hiyo hawa waliomo humu Jf hawaishi mitaani?
Kwa hiyo sisi wa mitandaoni tunaishi sayari ya Mars au? Kwa hiyo sisi hatuishi hapa nchin? Hivi unataarifa kama Nkurunziza alipokufa watu walikula bia kwa maandamo huku wakipiga nderemo na vifijo hado polisi waliwaonea wivu na kuanza kuwasweka ndani? Endeleeni kuua, kutesa, etc matunda mmeanza kuyaona.Chuki imo humu mitandaoni mitaani kuko safi mno hakuna chuki
Inamaana sisi tulioko humu tunaishi wapi?Chuki imo humu mitandaoni mitaani kuko safi mno hakuna chuki
Uko sahihi kwa vile wewe nyumba zote zipo kiganjani mwakoChuki imo humu mitandaoni mitaani kuko safi mno hakuna chuki
Duuh hatari!Madhara ya kufiria kwa kutumia makalio
Utawala wa kibabe, dharau na majivuno umefika mwisho, sasa mtanyooka tu mbele ya VP Makamba.Umetoa mfano wa Lissu ambaye alikuwa hapa nchi kwa zaidi ya miezi 3 akasepa kwa njia ya kihuni. Kwa nini unamsemea wakati muda aliokuwepo hapa angefuatilia upelelezi wa shambulio dhidi yake?
Rejea kauli zake kwenye majukwaa ya kampeni, je, ziligusa kushambuliwa kwake zaidi ya kufitinisha Rais aliyeko madarakani na jamii. Huoni yeye Lissu ndiye mwenye silika ya visasi?
Hahahaha👍👍👍Utakoma mwaka huu. Pitisha kura ya maoni huko mtaani 84% wanata taarifa za msiba zitangazwe mapema. Hiyo ni idadi sawa ya mliojiongopea wamewachagua.
Azory GwandaHuenda labda kweli kuna chuki, na huenda hata Wenye chuki hao hawajui haswa kuna nini kinatokea au kinasababisha.
Labda ninachodhani mimi ni kuwa Watu/Binaadamu wana kawaida ya kuwahurumia Wahanga wa majanga yawapatao Ndugu, Jamaa au rafiki zao...na haswa pale kunapokuwa na hisia za uonevu, mfano yaliyomkuta yule Ndugu Ramadhani Ntuzwe.
Pia baadhi ya Watendaji ni Wachochezi wasiojitambua kama wanachchea chuki, kauli kama "tutawapiga mpaka mchakae"....sidhani kama Watu huvutiwa na tabia za kibabe.
Biashara gani zimefungwa huko mitaani ?Wewe fala, huko mitaani biashafa zimefungwa,ajira hakuna, watumishi hawajaongwezwa mishahara kwa miaka tano alafu unaleta upuuzi.
Wakati wa risasi hizo ulikuwepo ukashuhudia kwa macho yako?Ukienda South Africa hii leo ukakutana na ndugu wa Steven Biko na ukafanya nao mazungumzo lazima watakuambia kweli kuwa kuna kovu kubwa ndani ya mioyo yao.
Maana ndugu yao aliuawa bila hatia na utawala dhalimu wa makaburu. Tena aliuawa kifo kibaya. Huu ni mfano tu ambao unaonesha namna gani ukiukwaji wa haki za binadamu unaweza kuzalisha chuki ya kudumu.
Kwa hapa Tanzania kuna chuki kubwa sana ndani ya mioyo ya watanzania hasa baada ya Tundu Lissu kumiminiwa risasi zaidi ya 33 kama vile yeye sio binadamu. Maana ni tukio ambalo kila mtu haamini kuwa anaweza kufanyiwa binadamu aliyekuwa anahoji masuala ya msingi juu ya taifa lake.
My take: Taifa linalotenda haki humuinua Mungu.