Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza naye achunguzwe.. Haki itendeke kwa binti.. Kama daktari kathibitisha binti ali liwa Tigo kinguvu... Haki itendeke..
 
Huyu binti nae anabadilika kweli ile picha iliyotumwa humu kalikuwa kazuri kweli ila kwenye hii video bongee la kakizibo.Poor RC Magwanda sijui Maranda.
picha zilizotumwa mwanzo hazikuwa za kwake. kwa asili kuna baadhi ya wanaume, au nisme wanaume wote, huwa tunapenda kulala na wale walio chini ya umri wetu zaidi ya wale tunaolala nao kila siku wazee wenzetu. ni Neema ya wokovu tu imetuokoa sisi wengine, tumeshapitia sana hayo. ndio maana utakuta kiongozi mzima kutwa kukimbizana na wanafunzi wa chuo, na hata wa sekondari, kuna miaka ya nyuma kuna kiongozi mmoja mkubwa sana alikuwa analala sana na wanafunzi wa hapa jangwani secondary, Mungu amlaze mahali pema. hivyo kwa RC kwenda kwa wanafunzi, ni asili yetu wanaaume, usipojizuia utatenda tu iyo dhambi. na zaidi yeye alikuwa amezoea wanafunzi si alikuwa mwalimu wa mzumbe kabla ya kuja kwenye hayo mavyeo.

atakuwa alilawiti sana wanafunzi wa mzumbe ili awape marks huyu al haji.
 
Sikiliza dakika 28:21 hadi 28:57
NI sahihi, sasa hapo si unaona rc ndio kakamatwa zaidi? kama hakulawiti, na kama hakuwa anataka kuzima soo, kwanini alitoa hadi pesa? hivi kweli kama hauna kosa unaweza kutoa mahela yote hayo kama upo innocent?
 
NI kitu kigumu sana kwa binti kama huyu kumsingizia RC wa Mwanza kwa kummwambia akafute kesi, au amsingizie RC wa geita ndugu alhaji. sio rahisi, kwa tunaojua mambo ya kupikwa, hilo lipo wazi halikupikwa.
 
NI sahihi, sasa hapo si unaona rc ndio kakamatwa zaidi? kama hakulawiti, na kama hakuwa anataka kuzima soo, kwanini alitoa hadi pesa? hivi kweli kama hauna kosa unaweza kutoa mahela yote hayo kama upo innocent?
Kwanini binti azipokee na abaki nazo, tena kila wakati huku analindwa na mapolisi. Si wangefanya mtego tu?
 
Kwanini binti azipokee na abaki nazo, tena kila wakati huku analindwa na mapolisi. Si wangefanya mtego tu?
si amesema mamake alimshawishi amsamehe, au hujasikia. na izo ni pesa ujue, anawezakuwa aliwaza kama kulawitiwa keshalawitiwa haiwezi kurudi hiyo, na pesa akose, wakati wameleta, akachukua. ila hajazitumia labda kwasababu ile trauma bado ipo, ule uchungu wa kulawitiwa upo haoni kama hata pesa zina thamani.

ukisema wamefanya mtego, utasema mtego wa nini? mtego wa nini hadi RC apeleke pesa pale anategwa nini? kitu gani kinamfanya rc hadi atoe mil.13 kwa binti kama huyo ili anyamaze, unafikiri hapo hakuna kitu kweli?
 
Kuna ushahidi wa daktari kuwa shahawa ni za huyo RC?

Wanawake wangapi wanajjtangaza kwenye mitandao kuwa wanauza tigo nani alifungwa. Video ngapi zimelaek za wasanii wakiliwa tigo nani amefungwa?

Jela watu wanalawitiwa tena wengine kwa nguvu nani alifungwa?

Huyo RC hatafungwa hii sio issue ya siasa .
 
kwenye kesi za rape au ulawiti, ushahidi wa penetration pekee hata bila shahawa, uantosha. na pale awali si tulisikia walipeleka izo makitu kwa mkemia mwanza, au wameshatupa.
 
Watu wenye tabia za kufanya ulawiti hawana hofu, kwake kulawiti ni kama ushabiki wa simba au yanga..huyu RC hakuwa anaanza kulawiti kwa huyu mtoto ni mzoefu! ndio maana inashangaza wanaovett viongozi wanashindwa vipi kubaini mtu mlawiti mzoefu na kumpa uongozi??? na aliondolewa UDC nani anamrudisha na kwa sifa zipi??? ukute nchi hii inahangaika na kundi kubwa la walawiti na wana madaraka..ona RC wa mwanza anavyofanya..unaona nini hapo? kwa nini matukio mengine Rais akisikia tu hatua zinachukuliwa fasta, vipi kwa huyu mtoto..kigugumizi kinatoka wapi?? Je waislamu ni walawiti???
 
of course, kama waziri wa zanzibar alisema wamehesabu mashoga zenji wameona wapo 3,000 naamini na bara wapo mashoga, maana yeke kuna kundi kubwa sana la wanaume wanaolawiti wanaume wenzao, na pia, hao pia wakilala na wanawake watawalawiti tu, na pia vijana wengi sana wana tabia za kulawiti wanawake kwasababu ya porn na kuiga mambo ya kizungu. dunia imeharibika sana, linda watoto wako, linda yeyote aliye karibu, ukifanya mchezo hadi binti zenu watadondokea kwa watu kama hawa, au pengine wanaolewa kwa ndoa na mtu akam namwata.
 
Maccm mengi ni mashoga!
kwa kweli kama huyu rc hatapelekwa mahakamani ili asafishwe na mahakama, tutaamini ni hivyo. kwanini anatumia nguvu kubwa sana kutoa hadi pesa, binti kampa 10m, mama kampa 3m, kama hakutenda icho kitendo? hivi RC akisingiziwa mboma pangewaka moto.
 
Ishu siyo kwamba kweli kalawitiwa au hapana. Ishu ni kwanini apokee milioni 10 halafu bado adai haki itendeke tena mbele ya Vyombo vya habari. Hiyo haijakaa vizuri. Halafu utaona hakusema wazi kuwa kapokea milioni 10 kama alivypsema bila kuulizwa kuwa mama yake kapokea milioni 3. Ni hadi alipoulizwa mara 2 kama na yeye amewahi kupkokea pesa zaidi ya mama yake. Mara ya kwanza dakika ya 25 na ushee alijaribu kukwepa kujibu kama kapokea pesa. Lakini akaulizwa tena dakika ya 28 ndiyo akakiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…