Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Mkuu wa mkoa angekuwa chadema au anapingana na mamlaka za juu ungesikia oishindohivi DPP anasubiri nini kufungua hii kesi ya ulawiti mahakamani? nini kinasubiriwa, mbona kesi zingine zinaenda haraka sana? au hii kwa kuwa ni ya mkuu wa mkoa.
Ulawiti ni kosa kisherianina uhakika huyu rc mlawiti kama akipata tu wakili wa kujitambua tayari hii kesi anaipangua haraka na anashinda
yaani nikutolee mahari yangu, nikulishe, nikuvalishe na bado nikitaka kukuweka / kukukaza niombe ruhusa kutoka kwako / kwake?Hivi unajua pia hata sheria inasema ukimlazimisha mke wako kufanya mapenzi akakataa ukafanya kwa lazma anaweza kukushtaki umembaka ni vyema kama hujui sheria ukae kimya
Mama anaupiga mwingiBinti aliyesadikika kulawitiwa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu anafunguka yote amtaja RC Mwanza.
Tumsime Mathias Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza cha SAUT Mwanza anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Yahaya Newanda anafunguka ukweli wote kuhusu Tuhuma hizo.
Tumsime mwenye umri wa Miaka 21 amekiri kufanyiwa kitenfo hicho kama ilivyoripotiwa katika vyombo vya habari na kuwa alikuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na Mtuhumiwa kwa muda wa miezi sita.
Hatahivyo; Tumsime anaomba haki itendeke na kesi yake ifike mahakamani ili apatiwe haki kwani kwa sasa maisha yake yapo hatarini na hata chuo amesitisha.
Hapo wanaficha ushahidikama kuna video footage za cctv, huyo RC kitu gani kinafanya asipelekwe mahakamani.
tamaa zake zimemponza akome na liwe fundisho kwa mabinti wenzake wanachuoelewa neno kumlawiti, kwani wapi imeruhusiwa kumlawiti mpenzi wako?
Usijifanye wewe ni mjinga kuliko watanzania wote. Ficha ujinga wako.nina uhakika huyu rc mlawiti kama akipata tu wakili wa kujitambua tayari hii kesi anaipangua haraka na anashinda
Mtu mzima analawitiwa....elewa neno kumlawiti, kwani wapi imeruhusiwa kumlawiti mpenzi wako?
Kulindana na ndiyo michezo yaomimi nilikuwa nashangaa, mkuu wa mkoa wa mwanza naye anaonekana kiburi na haeleweki, kumbe alikuwa anataka kuificha? huyu naye aondolewe akalime tu. huyu mkuu wa mkoa wa mwanza angekuwa amelawitiwa binti yake angekubali?
Huku ni kwa wakubwa yeye utamuona kwa wanyongeDkt. Gwajima D huwezi kumuona huku kabisa.
siwezi sema nyege ila RC hakuwa na utulivu kwenye hiyo sekta as if alipata ulimbukeni nazo hzo mambo, tabia za vijana waliobarehe zilimtawala!Unaharibu cheo Cha mtu ambacho ukoo wenu hautaweza kukipata milele kwa umalaya wako tu!