Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi

dunia imechafuka sana. mtu kama wewe anahalalisha kulawiti, ati mtu mzima mwenye maamuzi yake anaweza kulawitiwa kwasababu tu kuna wengine wengi wanalawitiana. pia unasema nashindwa kutofautisha umri, kwamba mtu wa 21 ni mtu mzima.

ni kweli, 21 ni majority age, kwa Tanzania mtoto ni mtu mwenye umri chini ya miaka 18, na huyo ameshapita utoto. ni mtu mzima.

tunachoongea hapa, kifungu cha 154 cha penal code, kinasema kulawiti iwe kwa hiari au kwa lazima, ni kosa, na adhabu yake ni 30 years na kuendelea. ni ajabu watu mnaona kulawiti ni kitu cha kawaida hadi mnasema rc hana kosa. kwahiyo kwasababu ninyi mmezoea kulawitiwa mnataka kusambaza huo uchafu kwa watu wote? mshindwe kwa Jina la Yesu mashetani nyie.
 
Maagano hayo tunaweza kuona anapotea kisiasa Kwa sasa kumbe ndo again litafanya kazi atazidi kunga'aa na Kuwa maarufu na Binti atapotezewa , ukumbuke ya mwamposa baada ya kafara ya Moshi alivoanza kujaza maelfu ya watu Tanganyika packers
yanafanya kazi usipokamatika, sasa hapo shetani kaamua kumuanika, ndio kapotea hivyo. ila kwenye CV niliona aliwahi kufundisha chuo south africa, arudi tu huko manake hata hapa hawezi kupata kazi tena, chuo kitakachoajiri huyo watu hawatapeleka watoto wao, wataona wanapeleka nyama kwenye mdomo wa fisi.
 
Uwezo wako wa kuelewa umeathirika na kulawitiwa kwa muda mrefu..

Sisi hatubishi kuwa kwa sheria za Tanzania kulawitiwa na kulawiti ni kosa, tunachopinga ni mtu kubambikiwa kesi kuwa amelawiti na pia kama mwanamke kwa hiyari yake ameamua kulawitiwa basi asibambikie wengine kwa kutumia udhaifu wa sheria na jazba za wanaharakati na wanasiasa.
 
Yaonekana Binti ya yeye anaupenda hako ka mchezo.....

Ka mchezo a kurudi nyuma.
 
Mkuu soma post #151 kwenye Uzi huu. Ndo UTAJUA Mtanda hafai kabisa. Huonea sana wanawake na kuwakandamiza na kupindisha haki zao. MLA rushwa wahed
 
Kama ni hivi basi hata mama yake mzazi pamoja na RC Mtanda waunganishwe kwenye kesi hii waende jela wakanyee debe ili liwe fundisho kwa washenzi wengine kama wao.
 
Okay
 
Kwa mtazamo wangu wa kiintelejensia baada ya kumsikiliza huyu binti ni kwamba huyu binti amekubuhu tangu kitambo na kupenda kwake kufi***rwa ameanza na wavulana. Huyu mkuu wa mkoa alijichanganya tu akaingia anga za wavulana. Mwache avune alichoppanda.
 

FICHA UJINGA WAKO
 
imagine, unazaa mtoto, unalea, unasomesha hadi anafika chuo kikuu, halafu mkuu wa mkoa anamlawiti. just think about that. samia huyo binti angekuwa mjukuu wake au binti yake, angejisikiaje? au anamlinda?
wengine ndo raha yao hiyo
 
unasema sheria za tanzania zinakataza kulawitiana. na wakati huo huo unasema vitoto vilivyokubali kulawitiwa kwa hiari visibambike kesi. hapo unaongea nini sasa? akili umetupa wapi? mnapata wapi ujasiri wa kutetea kulawitiana namna hii? hivi kumbe mashoga ndio huwa mnateteana namna hii? tuache wasomaji wa comment wahukumu kati yangu na wewe nani mjinga.

na unaposema amebambika, una ushahidi gani kwamba amebambika? sisi tunaamini ushahidi upo, ushahidi kwamba alikuwa naye kabla kama wapenzi, kwamba waliachana baada ya kutaka sodoma, kwamba alikuwa naye rock city siku ya tukio, kwamba baada ya kulawiti binti alipiga simu kwa mama (atakayekuja kutoa ushahidi) na polisi, vipimo vilipimwa, pia kwamba kuna cctv footage, pia kwamba amepamban akuhonga hela kuanzia kwa mama wa mtoto hadi kwa binti, ushahidi utakuwepo.

kama wewe ndiye RC au chawa wake ndio amekutuma uje kupunguza makali, basi wewe ni hopeless kabisa humsaidii, kwasababu unakiri kwamba ulawiti ulifanyika ila wa hiari hivyo hakuna shida. mioyo yenu imejaa uchafu wa shetani hadi mnaamini kulawitiana kwa hiari sio tatizo. mtafutiwe dunia ya kwenu ila sio hii. hata mbwa amewazidi akili, mbwa hajawahi kulawiti ila watu wenye phd na maRC mnalawiti, tukisema akili zenu zimejaa hayo matope ya huko mnakolawiti tutakuwa tumekosea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…