MADAM T
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,747
- 2,977
Tukishaamua hata aje wakili gani!! Omba tuwe hatujaamua!nina uhakika huyu rc mlawiti kama akipata tu wakili wa kujitambua tayari hii kesi anaipangua haraka na anashinda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tukishaamua hata aje wakili gani!! Omba tuwe hatujaamua!nina uhakika huyu rc mlawiti kama akipata tu wakili wa kujitambua tayari hii kesi anaipangua haraka na anashinda
Endelea kulawiti! Majibu utapata wakati wa kukata roho!napenda sana jamiiforums members werevu kama wewe mkuu na siyo hii mijuha mingi iliyochangia kwa kutetea hapa
Sio kwa huyo binti tuu bali pande zoteTuna jukumu moja tu as adults, haki itendeke kwa huyu binti.
dunia imechafuka sana. mtu kama wewe anahalalisha kulawiti, ati mtu mzima mwenye maamuzi yake anaweza kulawitiwa kwasababu tu kuna wengine wengi wanalawitiana. pia unasema nashindwa kutofautisha umri, kwamba mtu wa 21 ni mtu mzima.Wewe unajiita wakili lakini hujui mtoto anakomea umri gani, mtu mzima mwenye miaka 21 ambaye anaweza kuwa hata mbunge na waziri kwako ni mtoto! Unajiita mkristo lakini hujui mtu wa umri wowote anaweza kuoa au kuolewa na yeyote bila kujali umri mradi wawe na umri usiooungua miaka 18 ndani ya kanisa, tofauti ya umri haizuii watu kuoana, makanisa yote na misikiti mtu wa miaka 60 anaruhusiwa kuoa/ kuolewa na nrtu mwenye miaka 18.
Wote mnaomuona RC ana makosa kama nyinyi mnaoongozwa na jazba, chuki na kisasi na hamfai kushika ofisi ya umma..
Kuna wanawake hata ndani ya ndoa ambao kwa hiyari wanachepuka na kulawitiwa kwa hiyari lakini ndani ya ndoa hawalawitiwi. Mke kama huyo akiamua kumpakazia mumewe wa ndoa kuwa anamlawiti na imeishawahi kutokea haipaswi kukurupuka kuwa ni mumewe anayemlawiti kwa kuwa tu vipimo vinaonyesha analawitiwa.
Serikali iwe macho na watu kama nyinyi hantakiwi hata kushiriki uundaji wa katiba mpya maana mtatuletea katiba ya jazba, chuki ambayo itasambaratisha nchi na kusababisha vita.
Huyo binti ni ntu mzima mwenye uhuru wa kufanya maanuzi yawe mabaya au mazuri au halali kisheria au la. Akifanya maamuzi haitakiwi alaumiwe mwingine.
Kwa kuwa kulawitiana ni kosa kisheria ilitakiwa uchunguxzi ufanywe ili kujua huyo malaya ni mlawitiwa mzoefu na kana kushtakiwa ashtakiwe yeye kwa kuruhusu kulawitiwa kama kule Mtwara kuna mwabaume alifunngwa miaka 30 kwa kukiri kulawitiwa na hakuna walawiti waliofungwa naye..
yanafanya kazi usipokamatika, sasa hapo shetani kaamua kumuanika, ndio kapotea hivyo. ila kwenye CV niliona aliwahi kufundisha chuo south africa, arudi tu huko manake hata hapa hawezi kupata kazi tena, chuo kitakachoajiri huyo watu hawatapeleka watoto wao, wataona wanapeleka nyama kwenye mdomo wa fisi.Maagano hayo tunaweza kuona anapotea kisiasa Kwa sasa kumbe ndo again litafanya kazi atazidi kunga'aa na Kuwa maarufu na Binti atapotezewa , ukumbuke ya mwamposa baada ya kafara ya Moshi alivoanza kujaza maelfu ya watu Tanganyika packers
Uwezo wako wa kuelewa umeathirika na kulawitiwa kwa muda mrefu..dunia imechafuka sana. mtu kama wewe anahalalisha kulawiti, ati mtu mzima mwenye maamuzi yake anaweza kulawitiwa kwasababu tu kuna wengine wengi wanalawitiana. pia unasema nashindwa kutofautisha umri, kwamba mtu wa 21 ni mtu mzima.
ni kweli, 21 ni majority age, kwa Tanzania mtoto ni mtu mwenye umri chini ya miaka 18, na huyo ameshapita utoto. ni mtu mzima.
tunachoongea hapa, kifungu cha 154 cha penal code, kinasema kulawiti iwe kwa hiari au kwa lazima, ni kosa, na adhabu yake ni 30 years na kuendelea. ni ajabu watu mnaona kulawiti ni kitu cha kawaida hadi mnasema rc hana kosa. kwahiyo kwasababu ninyi mmezoea kulawitiwa mnataka kusambaza huo uchafu kwa watu wote? mshindwe kwa Jina la Yesu mashetani nyie.
Mkuu soma post #151 kwenye Uzi huu. Ndo UTAJUA Mtanda hafai kabisa. Huonea sana wanawake na kuwakandamiza na kupindisha haki zao. MLA rushwa wahedMara nyingi tumeandika kuhusu uovu, ula rushwa na uonevu wa RC Mwanza Said Mtànda lakini watu huwa wanadhani ni chuki binafsi. Katika Jambo Baya kama hili ambalo Rais kamfuta kazi mtuhumiwa RC Mwanza anatumika kulimaliza kimya kimya na bado hachukuliwi hatua.
Binti aliyesadikika kulawitiwa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu anafunguka yote amtaja RC Mwanza.
Tumsime Mathias Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza cha SAUT Mwanza anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Yahaya Newanda anafunguka ukweli wote kuhusu Tuhuma hizo.
Tumsime mwenye umri wa Miaka 21 amekiri kufanyiwa kitendo hicho kama ilivyoripotiwa katika vyombo vya habari na kuwa alikuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na Mtuhumiwa kwa muda wa miezi sita.
Hatahivyo; Tumsime anaomba haki itendeke na kesi yake ifike mahakamani ili apatiwe haki kwani kwa sasa maisha yake yapo hatarini na hata chuo amesitisha.

Bado aisee...kadisappearSwali lako kuntu limejibiwa?

huyo binti kakwambia alikuwa mchumba wake kitambo, na siku anaenda kumlawiti alimpigia simu kwamba anaenda kumwomba msamaha kwasababu aliwahi kuomba huo uchafu binti kakata mawasiliano, sasa alimwita wakutane aomba radh ili waendele. pia, huyo ni mkuu wa mkoa, akiamua kupata hata account yako hakosi. na jua polisi walijihusisha sana na hii issue, na TISS pia. nashindwa kuelewa,jamaa ni alhaji kabisa, tukisema watoto wa mamdogo wanapenda samadi huwa mnabisha, ndio maana haya mambo pwani yamejaa, zanzibar yamejaaa, hata maza si ukute akamsamehe huyu jamaa asipelekwe mahakamani kwasababu ni maza ni mzenji hayo mambo zenji sio ya ajabu.
kuna kesi mbili hapo.
1. Kumuingilia kinyume na maumbile.
2. Kumlazimisha au kutumia nguvu kufanya tendo hilo.
RC anatakiwa kuja na USHAHIDI kwamba hakufanya kitendo hicho.
wengine ndo raha yao hiyoimagine, unazaa mtoto, unalea, unasomesha hadi anafika chuo kikuu, halafu mkuu wa mkoa anamlawiti. just think about that. samia huyo binti angekuwa mjukuu wake au binti yake, angejisikiaje? au anamlinda?
unasema sheria za tanzania zinakataza kulawitiana. na wakati huo huo unasema vitoto vilivyokubali kulawitiwa kwa hiari visibambike kesi. hapo unaongea nini sasa? akili umetupa wapi? mnapata wapi ujasiri wa kutetea kulawitiana namna hii? hivi kumbe mashoga ndio huwa mnateteana namna hii? tuache wasomaji wa comment wahukumu kati yangu na wewe nani mjinga.Uwezo wako wa kuelewa umeathirika na kulawitiwa kwa muda mrefu..
Sisi hatubishi kuwa kwa sheria za Tanzania kulawitiwa na kulawiti ni kosa, tunachopinga ni mtu kubambikiwa kesi kuwa amelawiti na pia kama mwanamke kwa hiyari yake ameamua kulawitiwa basi asibambikie wengine kwa kutumia udhaifu wa sheria na jazba za wanaharakati na wanasiasa.
😀😀😀😀😀Hii kali.
Kwahiyo ukitembea barabarani unawatambua kabisa huyu mfiraji/mfirwaji