Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi

UWT wamezoea kulindana
 
wanaume tuweni makini ndugu zangu, imagine, kabinti kama haka, kanamwita RC "NAMWANDA", pamojana phd yake, na cheo chake, na walinzi wake, kila kitu, binti anamwona wa kawaida tu kwasababu walishaonana sehemu za siri. tujiheshimu,
 
Kumbe bado haijafika mahakamani duu ila ni funzo kwa wengine wanaoendekeza mapenzi, ona sasa shule amesitisha, mzazi alipewa 3m kama kichwa cha habari kinavyojieleza
 
napenda sana jamiiforums members werevu kama wewe mkuu na siyo hii mijuha mingi iliyochangia kwa kutetea hapa
Watu wanawazaga negative tuu kichwani hamna kitu na wengi wanashindwa kufikilia yaan kiufupi wanafata mkumbo....

Ndo mana kule nimesema watu kichwani ni tope sijui wanakua wameshiba sana au shida ni nn aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…