ulitaka anyamaze baada ya kupokea mpunga? si unaweza kupokea ila baadaye ukajifikiria ukaona umefanya ujinga ukabadili mawazo? au hata tuamini vile unavyotaka kulenga kwamba kuna maadui wa RC wanampush uyo binti, kama wanafanya hivyo, wanafanya sehemu yenye justification, wamepapata kwenye udhaifu wake wakashikilia hapohapo, inabadili nini?
Kifungu cha 154 cha penal code, mapenzi ya kinyume na maumbile hata kama mmekubaliana ni kosa la jinai, miaka 30. kwahiyo cha muhimu hapo ni JE, RC ALILAWITI? kama jibu ni ndiyo, haijalishi kama anatafutwa na maadui au la, anatakiwa aonekane mahakamani anasulibishwa.
ukifanya kosa, adui yako akalifichua, sio kinga kwamba mbona nimefanya kosa lakini anahyelifichua ni adui yangu.