Zakayomfupi
JF-Expert Member
- Mar 11, 2024
- 281
- 320
Baada ya kusikiliza mahojiano ya binti kwa makini na kuchambua kila sentensi alihoitoa. Sasa naamini hii ni issue ya kisiasa au inatumika kisiasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binti aliyesadikika kulawitiwa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu anafunguka yote amtaja RC Mwanza.
Tumsime Mathias Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza cha SAUT Mwanza anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Yahaya Newanda anafunguka ukweli wote kuhusu Tuhuma hizo.
Tumsime mwenye umri wa Miaka 21 amekiri kufanyiwa kitendo hicho kama ilivyoripotiwa katika vyombo vya habari na kuwa alikuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na Mtuhumiwa kwa muda wa miezi sita.
Hatahivyo; Tumsime anaomba haki itendeke na kesi yake ifike mahakamani ili apatiwe haki kwani kwa sasa maisha yake yapo hatarini na hata chuo amesitisha.
Acha na hizo, ingia kwenye Groups telegram, vitoto vidogo vinauza mikundu.Ila Watanzania ni watu wa ajabu sana! Hivi NEWANDA ni mtu wa kupata wateteaji kweli?? Hata kama huyo mtoto ni Malaya lkn alichokifanya huyo muhuni ni ujinga wa Hali ya juu sana na ni kinyume na maadili ya nchi yetu, hata Sheria zetu zimekataza.
Kwanza inavyoonekana jamaa ana matatizo ya akili, pia hiyo ndio tabia yake kuharibu watoto wa wenzie kwa kuwashawishia kibunda.
Watu kama NEWANDA sio wa kuwapa mtoto wakulelee.
Mithali 5 yote inamhusu huyu baradhuliwanaume tuweni makini ndugu zangu, imagine, kabinti kama haka, kanamwita RC "NAMWANDA", pamojana phd yake, na cheo chake, na walinzi wake, kila kitu, binti anamwona wa kawaida tu kwasababu walishaonana sehemu za siri. tujiheshimu,
Ngoja tusubiri maana rais wetu amelelewa kwenye misingi mizuri ya Dini hatolifumbia macho hili...Akihojiwa kupitia UTV, taarifa ya habari saa mbili, 05 July 2024, amemtaka Rais kutomlinda mteule wake wa zamani.
Amedai anashangaa kwanini hadi sasa Yahaya Nawanda hajafikishwa mahakamani.
Source: UTV Habari saa mbili usiku.
Basi kwa taarifa yako kama hujui, kwa Tanzania adhabu ya kulawiti ni miaka 30 jela au kifungo cha maisha. Yaani huyo RC kama akipelekwa mahakamani na kupatikana na hatia ataenda jela angalau miaka 30. Na hii haijalishi kama walikuwa wapenzi au mtu na mke.cognizant natokea pembe zanzibar sasa hizi mbuga zako mimi nimezionea wapi? kazi yangu kuu ni kuvua tu samaki pemba
Litamalizwa kimya kimya hilo
Wewe uliwahi kumtumia?Huyu Binti ni kubuhu. Hata vipimo vitashangaa kutokuta Linda hata Moja.
Bongo ina mambo ya ajabu sanaHii kali.
Kwahiyo ukitembea barabarani unawatambua kabisa huyu mfiraji/mfirwaji
Vijana wa nchi wanaharibika kila upandeIla Kiswahili kinazidi kuwa kigumu sana. Uongeaji wa binti ni wa hovyo. Kujieleza kama mwanafunzi wa Chuo Kikuu. Kiswanglish kingi.
L na R ni mtihani mzito.
CCTV haiwezi kuonesha kosa la kulawiti. Kufika eneo la tukio na matendo mengine ya kuonana hata kuingia kwenye gari hayathibitishi kufanyika ulawiti.kama kuna video footage za cctv, huyo RC kitu gani kinafanya asipelekwe mahakamani.
We mtandio wake unakuhusu nini?Hili li changudoa linataka nani alisaidie, takataka kabisa. Limevaa mtandio wa nini?
Ngoja majibu ya DNA yaje ya kiumbe aina ya mbuzi
Binafsi mzinzi akiwekwa wazi kama hivi naamin kuna wazinzi wengine wanajifunza kimya kimya ...nakataa Uzinzi na aina zake kwa nguvu zote ...unabaki umbwa umbwaHuo ndo mshahara wa MTU mzinzi unaua reputation unabaki kuwa mbwa