Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi

Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi


Binti aliyesadikika kulawitiwa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu anafunguka yote amtaja RC Mwanza.


Tumsime Mathias Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza cha SAUT Mwanza anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Yahaya Newanda anafunguka ukweli wote kuhusu Tuhuma hizo.

Tumsime mwenye umri wa Miaka 21 amekiri kufanyiwa kitendo hicho kama ilivyoripotiwa katika vyombo vya habari na kuwa alikuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na Mtuhumiwa kwa muda wa miezi sita.

Hatahivyo; Tumsime anaomba haki itendeke na kesi yake ifike mahakamani ili apatiwe haki kwani kwa sasa maisha yake yapo hatarini na hata chuo amesitisha.

From psychological point of View .


Kademu ni kamalaya sugu kasokua na Haya.


Kesi za Ubakaji au kuingiliwa Nyuma, ZOTE NILIZOZISHUHUDIA, HAMNA MUHANGA ANAYEWEZA KUONGEA NAMNA HIYO .



Kademu kanaongea Huku kamefunga Macho, Hana Confidence ya kuface watu Kwa sababu ni uongo



KADEMU KAMETUMIKA KISIASA, NA PENGINE FAMILIA INAHITAJI FIDIA YAAN NI ZILE FAMILIA ZINAZOISHI KWA MCHONGO !.


ITOSHE KUSEMA, HAKATAKUA NA MAISHA MAREFU.
 
Ila Watanzania ni watu wa ajabu sana! Hivi NEWANDA ni mtu wa kupata wateteaji kweli?? Hata kama huyo mtoto ni Malaya lkn alichokifanya huyo muhuni ni ujinga wa Hali ya juu sana na ni kinyume na maadili ya nchi yetu, hata Sheria zetu zimekataza.

Kwanza inavyoonekana jamaa ana matatizo ya akili, pia hiyo ndio tabia yake kuharibu watoto wa wenzie kwa kuwashawishia kibunda.
Watu kama NEWANDA sio wa kuwapa mtoto wakulelee.
Acha na hizo, ingia kwenye Groups telegram, vitoto vidogo vinauza mikundu.

Vyenyewe vinakuuliza.... Unataka Pilau Kavu?? Yaan hapa unamfira yeye anahakikisha mkundu hautoi mavi.


Au unataka Pilau lojolojo yaaan Umfire huku anakunya.




Newanda, inawezekana kabisa ni mpenda totozi, kwahiyo wahuni walimuingiza mtegoni, baada ya hapo pengine aliombwa milioni kadhaaa.

Newanda akakataaa, hapo ndipo mambo yakawa hivo.





EX RC, AACHWE HURU ASISUMBILIWE.
 
wanaume tuweni makini ndugu zangu, imagine, kabinti kama haka, kanamwita RC "NAMWANDA", pamojana phd yake, na cheo chake, na walinzi wake, kila kitu, binti anamwona wa kawaida tu kwasababu walishaonana sehemu za siri. tujiheshimu,
Mithali 5 yote inamhusu huyu baradhuli
 
Akihojiwa kupitia UTV, taarifa ya habari saa mbili, 05 July 2024, amemtaka Rais kutomlinda mteule wake wa zamani.

Amedai anashangaa kwanini hadi sasa Yahaya Nawanda hajafikishwa mahakamani.

Source: UTV Habari saa mbili usiku.
Ngoja tusubiri maana rais wetu amelelewa kwenye misingi mizuri ya Dini hatolifumbia macho hili...
 
Staki kutia neno kwenye hili kwasababu mambo bado hayajanyooka tuhuma bado hazijasibitishwa.

Upande mmoja unaamini Mkora kafanya kosa anajificha nyuma ya mamlaka. Na upande mwengine unaamini binti anatumika na watu kumchafua mtu.

Na ubaya wa mapungufu ya sheria yetu asiye na hatia anaweza kuishia na hatia and vice-versa is True.

Kwenye hili hata ningekuwa na D tatu litakalotokea sitalielewa.
 
cognizant natokea pembe zanzibar sasa hizi mbuga zako mimi nimezionea wapi? kazi yangu kuu ni kuvua tu samaki pemba
Basi kwa taarifa yako kama hujui, kwa Tanzania adhabu ya kulawiti ni miaka 30 jela au kifungo cha maisha. Yaani huyo RC kama akipelekwa mahakamani na kupatikana na hatia ataenda jela angalau miaka 30. Na hii haijalishi kama walikuwa wapenzi au mtu na mke.
 
kama kuna video footage za cctv, huyo RC kitu gani kinafanya asipelekwe mahakamani.
CCTV haiwezi kuonesha kosa la kulawiti. Kufika eneo la tukio na matendo mengine ya kuonana hata kuingia kwenye gari hayathibitishi kufanyika ulawiti.
Hata hivyo, katika hali ya kawaida, siyo rahisi mtu mzima kulawitiwa kama hajatoa ushirikiano (kwa kulazimishwa au hiari).
Eneo lenye watu wengi karibu, kulazimishwa inatia shaka, kama ilikuwa hiari (kinyume na maadili) basi kwa nini malalalamiko baadaye? Ni vigumu kuthibitisha.
 
Back
Top Bottom