kwa sisi wazoefu wa sheria hamna kesi hapo na kama unabisha utaniambia,huyu binti ni muongo pili ni vigumu kulithibitisha tukio hili hata kisayansi tatu kashafikisha miaka 18 ndo hamna kesi kabisaa,unaweza kuta huyu bint alim blackmail huyu jamaa labda alimuahidi atamnunulia gari na hakufanya hivyo ndio maana kaamua kumkomoa tuwe makini na wanawake tunaojihusisha nao tuchunguze wanatoka familia zipe ? we mtu mamake labda alishawahi kujiuza unatarajia nini sasa? kwanini wasishirikiane na mwanawe kukupa kesi? changudoa ni changudoa tu hawanaga mshipa wa aibu
bro usiwe rahisi kushawishika kwanza kiongozi ni mtu kama wewe pili kimaadili unamaanisha dini je ini yake inaruhusu zinaa? sababu kikanuni za serikali huwezi kuthibitisha hili kuwa anachukua changudoa si umemsikia binti anasema wamekutana kwenye birthday tatu wala hakuna kanuni ya serikali inayokukataza wewe mwanaume au mwanamke kumpenda mtu unayekutana nae as long as si mtoto wala si chizi, nne umemsikia binti mwenyewe kasema hili sio tukio lake la kwanza kumfikisha mtu polisi kwa kosa kama hilo yeye na mamake hili ndilo nililolisema tokea mwanzo hawa wamepanga na mamake baada ya kuona maombi yao waliyotaka watimiziwe na RC hayajatimia tano kuna possibility kubwa mama nae alikuwa changudoa sababu hii ni mila ya wahaya sita kwa nini hakwenda kushtaki mara ya kwanza alipoombwa aingiliwe kimwili? kwanini mama alibariki mahusihano ya mwanawe nje ya ndoa? kwanini binti kama msafi sana akubali kufanya mapenzi na mtu nje ya ndoa kama hakuwa malaya nini hapo??