Polisi na mamlaka walimaindi sana ule msimamo wa Simba. Sasa hivi kuna mvutano na mbinu za chini chini za kuiadabisha Simba.Toka siku ile ndio nilimdharau yule jamaa!
Hata afanyeje nilimfuta kabisa...tukio lile ndio limezaa hili la jana...
Ule UWANJA sio wa yanga ni wa taifa,wadhani ungekuwa wa yanga simba wangeenda?Kwahiyo TFF waongo!? Haya unakwendaje uwanja wa taifa usiku bila taarifa, uliambiwa ule ni uwanja wa fisi!? Kwa utaratibu huo pia inaonekana timu mwenyeji ndio alitakiwa amtayarishie mgeni MAHALA PAZURI PA KULALIA, Ssasa mgeni unakurupuka tu MAJUMBANI MWA WATU hupigi hata simu UTALALA KIBARAZANI😁😁😁
Washauri timu yako basi ya yanga wapeleke timu uwanjani, nenda Sasa hivi kaonane na anayejiita injiinia pale ofisini.Bodi ya ligi na TFF nitawaona wanyonge sana wakikubali kuingia kwenye 18 za makolo. Hakuna kanuni inayoitanya simba wagomee hii mechi.
Kuna level ya mjinga ukiendelea kumita mjinga kwake haiwi tena tusi bali unakuwa unamsifia.Tunaposema Yanga inaongozwa na watu wahuni huwa tunamaanisha. Mhuni hana muda wa kutumia akili
Hii bodi ya ligi na ile kamati ya masaa 72 inaendeshwa kwa remote, sijawahi ona inakuja na majibu negative kwa Simba🤣Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) katika kikao chake cha leo Machi 8, 2025, ilipitia shauri la klabu ya Simba kuzuiliwa kuingia kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa kwa ajili ya kufanya mazoezi ya mwisho kuelekea mchezo namba 184 wa Ligi Kuu ya NBC (Young Africans SC vs Simba SC) uliopangwa kufanyika kwenye uwanja huo leo kuanzia saa 1:15 usiku.
Soma Pia: Simba SC yatangaza haitacheza mechi dhidi ya Yanga, Wakidai vitendo visivyo vya kiungwana dhidi yao
Katika shauri hilo, klabu ya Simba iliandika barua kwa Bodi ya Ligi kueleza kususu tukio tajwa hapo juu, huku pia ikieleza nia yao ya kuto shiriki mchezo huo kwa sababu wamezuiliwa kutumia haki yao ya kikanuni kama ilivyoainishwa kwenye Kanuni ya 17:45 ya Ligi Kuu kuhusu Taratibu za Mchezo.
View attachment 3263593
Hii ni mpya naisikia kwako. Lolmkuu hata nyumbani ukiwa unaenda unatoa taarifa nakuja muda flani
Matusi hayasaidii. Sasa nadhani Simba na yanga zitaheshimiana kwa heshma kubwa.Bodi ya ligi wasenge
Hawa ni zaidi ya mbwaa kumaninaaaa zao wote waliohusika na huu ujinga na kuonesha uhalisia wa league yetu uswahili mwingi shenziiiiiii kabisa.Hapo bodi imegwaya mziki wa simba na yanga,
Hii siyo nzuri, huwa nashaangaa eti tunajinadi ni ligi namba 6 Africa,!kwa mpira gani Leo watu wengi wameingia hasara na wataachwa hewani,
Bodi ingeangalia namna nzuri ya kudeal na aliyeanzisha tatizo lakini wangeweka msimamo kuwa mechi ni lazima ichezwe..
Uhuni mlitaka kufanya nyie usiku wa jana na hayo mabasi yenu mawiliMuache uhuni
Ukweli imeahirishwa kizembeUjinga mtupu! Watu wamesafiri kutoka mikoani, mechi imefanyiwa promotion zaidi ya mwezi mzima alf ina ahilishwa kizembe!
Naelewa mkuu ila nashangaa kuwa wanangoja haki ili wafanye mazoezi!!Unaelewa maana ya haki mkuu?
kosa wafanye wao, mechi wagome wao, TFF waghairishe mpira duuHapa imetumika busara za kuleana na sio kanuni.
Kwenye maelezo ya paragraph ya tatu inaonesha kosa ni la wao Simba kutotoa taarifa kwa yeyote yule kuhusu kuhusu kuutumia uwanja siku ya Ijumaa View attachment 3263597
Tatizo press release ya Simba mliisoma kikawaida sana.Hii bodi ya ligi na ile kamati ya masaa 72 inaendeshwa kwa remote, sijawahi ona inakuja na majibu negative kwa Simba🤣