utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,815
mkuu hizi siasa za uzushi na uongo zitafika tu mwisho wake mnataka kutuambia mikutano yote ya chadema imelipuliwa kwa mabomu watanzania wakiwajua sijui mtajificha wapi.Leo nilikuwa kwenye mkutano wa cdm ktk viwanja vya soweto ambambapo nilishudia mkutano ukiisha kwa bomu kurushwa karibu na jukwaa la viongozi wa cdm. Mkutano ulikuwa umefurika watu wengi na kusababisha mikutano ya vyama vingine ccm na cuf kukosa watu na kujihutubia wenyewe. Zifutazo ni picha na damu iliyomwagika baada ya mlipuko.
Mkuu unachosema ni kweli, manake mrusha bomu alisubiri mpaka alipoteremka Lema na Mbowe ndiyo bomu likarushwa, na inavyoonyesha alichelewa kurusha kutokana na umati mkubwa uliokuwepo pale!
It is my impression that walengwa walikuwa Mbowe na Lema
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Sasa naanza kuziona dalili za nchi kutotawalika. Mungu atusaidie tuepukane na huki tunakoelekea.
Mbona mauaji TZ hutokea kipindi ambacho JK anakuwa kwenye utalii wa nje??
ni vp lingelipuka katika mkutano wa ccm???? naamini mngesema chadema pia,sasa nawashangaa sana nyie wanaccm kwa kweli akili zenu sijui zikoje kwakweli yaaan basi tu nasije pata ban ila hakuna mwenye maisha ya milele hapa diniani fanyeni yoote lakini hamta ishi daima, yale mnayo wafanyia wenzenu katika uhai wao hayata pita bure na mtatamani kuwaomba msamaha wale mli watendea madhila makubwa lakini kwa wakati huo nafasi hiyo haita kuwepo.Nani kakuongopea? Hao ni CDM walio sema nchi haitawaliki.
imeripotiwa hapa na mtoa baadhi ya maiti yana matundu ambayo yanasadikiwa ni risasi that means kwenye hyo saga kuna snipers walikuwemo humu ili vurugu za mabomu zikianza wawa target mbowe na lema sema walimiss target wakalenga watu wengine aisee hii ni hataree.
Ni vema sasa viongozi wa CDM wakakubali kukifuta chama hiki kwa nia njema tu; maana isingekuwa CDM waliokufa sehemu mbali mbali za nchi hii bado tungekuwa nao! Kuanzia wana habari hadi watoto wasio elewa chochote.
Au mnadhani salamu za pole toka kwa viongozi wa CDM zinatusaidia chochote? Na je ni kweli kwamba uwezo wao umeishia kwenye salamu za pole?
Duh inamaana jamaa kutoka tu anaanza vitu vyake? Mh kwa mtaji huu CDM 2015 kitakuwa kaburini
imeripotiwa hapa na mtoa baadhi ya maiti yana matundu ambayo yanasadikiwa ni risasi that means kwenye hyo saga kuna snipers walikuwemo humu ili vurugu za mabomu zikianza wawa target mbowe na lema sema walimiss target wakalenga watu wengine aisee hii ni hataree.
Mkuu achana nao hao!• Hadi sasa hakuna kiongozi hata mmoja wa serikali amefika eneo la tukio wala hospitalini!
• Ni masaa 4 sasa baada ya tukio, tukio limetokea around 12 kasoro robo hivi, hadi sasa hakuna mahali wameonekana. Je ni guilty consciousness?