Bongo Zozo ana hoja kuhusu uraia pacha kwa Watanzania

Hakika kabisa! Kuliko hivi sasa tumebaki kujisifia watu ambao tayari walikwisha ukana uraia wa Tanzania kama Sunak Waziri Mkuu wa UK wa sasa ni Mtanzania, au huyu mwafrika ambaye amechaguliwa kuwa seneta huko Ujerumani ni Mtanzania kwa kuwa tu wazazi wake ni wa asili ya Tanzania au yule Mzanzibari mwandishi wa vitabu ambaye sasa ana uraia wa Uingereza.

Tunapaswa kubadilika!
 
Mbona masuala ya ushoga na ndoa za jinsia moja serikali ilinywea baada ya nchi za magharibi kuijia juu na kukanusha maneno Makonda?
 
Mbona masuala ya ushoga na ndoa za jinsia moja serikali ilinywea baada ya nchi za magharibi kuijia juu na kukanusha maneno Makonda?
anzisha uzi kuhusiana na ushoga na usagaji, huu uzi unahusu masuala ya uraia pacha
 
anzisha uzi kuhusiana na ushoga na usagaji, huu uzi unahusu masuala ya uraia pacha
Kwa kifupi unakubali kuwa serikali inasikiliza hoja za watu bila kujali utaifa wao!
 
Umemaliza !!
 
Pesa unatuma hata mara kumi kwa siku hakuna mtu wa kutaka ujieleze labda kama ni pesa za magumashi.
 
Wanasiasa wanawaza kutawala tu, hawawezi kuikubari.
Nchi kubwa na ndogo duniani ambazo zinajali mataifa yao na yanajali utaifa wao tena ni wazalendo kweri kweri wala hawaziibii Nchi zao na wameruhusu Uraia pacha !! Sisi tuna uzalendo gani wa kutufanya tuukatae Uraia pacha ??!! Eti tunalinda utaifa wetu !! Khaa !! Tumuulize CAG kama kweli hao watu ni wazalendo wenye kujali Utaifa wao πŸ˜…πŸ˜…πŸ™
 
Madhara ni ardhi yote nzuri watachukua wageni na tunaweza kuja kutawaliwa na mamluki nusu mtz nusu muingereza, hatufungulii mlango mabeberu
Nchi gani iliyochukuliwa Ardhi yake nzuri yenye Uraia pacha ? Taja japo moja !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…