Bora kumtoa kafara mzazi ama mtoto ili kuokoa wengine ktk ukoo kutoka kwenye lindi la umaskini

Kukubali ukoo mzima kuishi ktk umaskini ni sawa na kukubali kuutoa kafara ukoo mzima. Ndiyo! Umaskini ni ugonjwa. Mkiwa maskini mtakufa kwa magonjwa, stress au mtauana kwa kugombania vitu vidogo.

Ni Bora ukaamua kumtoa kafara mzazi mmojawapo ili awe msukule wa kuleta utajiri utakaotumika kuufanya ukoo mzima kuishi maisha mazuri.
Utajiri wa hivyo utatoa kila mtu kwenye familia

Masharti ya ajabu sana na laana mbaya

Ogopa mtu mwenye hayo mawaz ni mnyama

Ikiwekana wakutoewewe basi itapendeza
 
kumtoa mtu kafara ili uwe tajiri huo ndio umasikini wenyewe, wenzenu wanasomesha watoto wao, wanawapa ujuzi , wanapambana kwenye hili na lile ili kujikwamua, wewe unawaza kafara
 
Mbona Mungu alimtoa mwanae kafara, sembuse binadamu. Tangu zamani waliojua hii siri waliishi vizuri kwa kutoa kafara. Huenda hata Mungu alitufundisha kuwa bila kafara mambo hayaendi.
Komenti ya maana sana hii
 
Isije kuwa tayari umeshamtoa mzazi wako kafara! Na hapa unakuja kutupa taarifa tu.
Mtaji wa Maskini ni nguvu zake! Ukizitumia kwa bidii Umaskini bayi bayi haihitaji kutoa mtu kafara.
 
NI fikra potofu kushikilia Imani zisizo dhibitishwa ...NI Bora kukazia fikra kwenye kujituma n kufanya uzalishaji wa Mali kwa kutumia mbinu na kuchambua Mambo..kwa kina kila unapofail na kukimbilia ushirikina na Imani zisizothibitishwa NI kukubali kuwa looser...kibali wewe kuwa mbuzi wa kafara
 
Kukubali ukoo mzima kuishi ktk umaskini ni sawa na kukubali kuutoa kafara ukoo mzima. Ndiyo! Umaskini ni ugonjwa. Mkiwa maskini mtakufa kwa magonjwa, stress au mtauana kwa kugombania vitu vidogo.

Ni Bora ukaamua kumtoa kafara mzazi mmojawapo ili awe msukule wa kuleta utajiri utakaotumika kuufanya ukoo mzima kuishi maisha mazuri.
Ni kheri uwe fukara wa pesa kuliko kuwa fukara wa Akili kama mtoa hii mada.
 
Hakuna unafuu hapo, ni ushetani mtupu haukubaliki. Ishi kulingana na hali uliyonayo. Umasikini na utajiri ni dhana tu za kufirika.
 
Kukubali ukoo mzima kuishi ktk umaskini ni sawa na kukubali kuutoa kafara ukoo mzima. Ndiyo! Umaskini ni ugonjwa. Mkiwa maskini mtakufa kwa magonjwa, stress au mtauana kwa kugombania vitu vidogo.

Ni Bora ukaamua kumtoa kafara mzazi mmojawapo ili awe msukule wa kuleta utajiri utakaotumika kuufanya ukoo mzima kuishi maisha mazuri.
Petty thought
 
Hakuna miujiza itakupa mali zaidi ya kufanya kazi kwa bidii na maarifa
 
Jitoe wewe sadaka iliukomboe wengine katika ukoo ndoo maana kuna ile ya punje ya maindi nk…….
 
  • Thanks
Reactions: G4N
kumtoa mtu kafara ili uwe tajiri huo ndio umasikini wenyewe, wenzenu wanasomesha watoto wao, wanawapa ujuzi , wanapambana kwenye hili na lile ili kujikwamua, wewe unawaza kafara
Mungu almtoa kafara mwanaye Yesu ili wengine wote tukombolewe. Upo hapo?
 
Sidhan kama ni akili yako, ila kila mtu ana jinsi yake ya kuchanganyikiwa.........yan kuna muda tuuu uchizi unampata mtu kwa ghafla, lkn atakaa sawa baada ya muda mfupi.
 
Back
Top Bottom