Hao ni vilaza wa ccm.Kizazi kipya kwa maendeleo ya taifa!
Vijana tunaungana na kutoa msimamo rasmi wa kumuunga mkono Mhe. Rais Samia kwa uongozi wake mahiri na jinsi alivyowekeza kwa vijana na kuwataka wanasiasa na wanaharati kumaliza mambo yao kwenye meza ya mazungumzo. Wasitumie vijana vibaya na kuwapotosha.
Pia leo tunatoa msimamo rasmi kumuomba Rais agombee tena kwa kipindi cha 2025 - 2030 na aachwe amalize kipindi chake kwa mujibu wa katiba ya nchi.
#SamiaTunayeTunakwendaNaye25/30
Kwa afya boraLabda vijana wa mbogamboga za kijani
Kama vijana wenyewe ndiyo hawa, haishangazi kuona nchi ya Tanzania inabakia kwenye umaskini mkubwa wa akili mpaka pesa.Kizazi kipya kwa maendeleo ya taifa!
Vijana tunaungana na kutoa msimamo rasmi wa kumuunga mkono Mhe. Rais Samia kwa uongozi wake mahiri na jinsi alivyowekeza kwa vijana na kuwataka wanasiasa na wanaharati kumaliza mambo yao kwenye meza ya mazungumzo. Wasitumie vijana vibaya na kuwapotosha.
Pia leo tunatoa msimamo rasmi kumuomba Rais agombee tena kwa kipindi cha 2025 - 2030 na aachwe amalize kipindi chake kwa mujibu wa katiba ya nchi.
#SamiaTunayeTunakwendaNaye25/30
Nendeni mkakutane Kurjuan!! Ha ha ha ha hatareee!!Kulaani mauaji na utekaji ni kutafuta ugomvi? Wametoa hadi taarifa na kuwapatieni routes watakazopita, huko ni kutafuta ugomvi?
Hivi ulishaacha USHOGA bwana Sufiani?sasa hao maelfu wako wapi?Kizazi kipya kwa maendeleo ya taifa!
Vijana tunaungana na kutoa msimamo rasmi wa kumuunga mkono Mhe. Rais Samia kwa uongozi wake mahiri na jinsi alivyowekeza kwa vijana na kuwataka wanasiasa na wanaharati kumaliza mambo yao kwenye meza ya mazungumzo. Wasitumie vijana vibaya na kuwapotosha.
Pia leo tunatoa msimamo rasmi kumuomba Rais agombee tena kwa kipindi cha 2025 - 2030 na aachwe amalize kipindi chake kwa mujibu wa katiba ya nchi.
#SamiaTunayeTunakwendaNaye25/30
ujue mimi ni baba yako nasukuma mavi ya mama yakoSaga chupa umeze au kanunue kamba kwa Mangi utajua la kufanya.Jina linaoonyesha umebakiza nguvu ya kusukuma mavi.
Yes na Jiwe limefufuka tunalo sasa hivi lnaandamanaHapo Tanga mtaandamana? 😂😂😂
IntarahamweHiki ni kile kikundi cha Rapid Force cha UVCCM.
Laiti wangejua huko kuna wahuni wasingekubali kutumikaAjira portal imewashinda,sasa mnahamia kwenye siasa.
Kwenye siasa ni pagumu kuliko mnavyodhani!
Mbati aliyepata ajali na JPM wangefufuka angewasimulia.
Acha ujinga wakoKama miaka karibu na miaka minne ya uongozi wake hali ndio hivi, wananchi wamemchoka balaa.
Kwenda kumuongezea muda hali itakuwaje.
Binafsi siungi mkono maandamano na uzushi wa raisi Samia muuwaji.
Uhalisia ni kwamba hana uwezo wa kuendesha nchi. Kosa kubwa ni kuendelea kujiaminisha anafaa kuongezewa muda. Tutakuja kuongea hapa mungu akitupa uhai na uzima.
Samia anatakiwa kuachia nchi 2025, h amtaki subirini muone madhara yake baada ya hapo.
Kikundi cha rapid force hichoHapo madogo wamenunuliwa maji ya chupa, bando la twenty na tusoseji tuwili tutatu
Kabsaa yaan hawa wajinga ni kuwaacha wanyooshwe sawa sawaKila siku nasema hapa, waafrika hasa watanzania wana upumbavu wa milele.
Wala hakuna haja ya kupoteza muda na nguvu zako kuwapigania wajinga.
Watanzania ni kuwaacha wateseke, wahujumiwe vya kutosha mpaka pale akili zitakapo funguka.
Fisiemu imekutoa?Sio chaggadomo aisee
Viongoz na watoto wao wanalamba asali tuuMe ninacho jua kesho kutakuwa hakuna maandamano yeyote lakina kama kijana wa taifa naamini ipo siku watu watajikuta wapo mtaani wakiandaman bila info yeyote ile yaani hicho kitu me huwa naamini siku zote hakuta kuwa na tarifa kama ivi wala kupeana habari juu ya maandamano lkn watu watatoka na kwenda kupambana kwa mioyo yao na wala sio kwa msukumo wa chama chechote
Nyie endeleeni kufanya hii nchi ni kwaajili ya wafuasi wa chama tawala pekeyake ila anguko lenu linakuja tena kwa kishindo
Hatujui siku wala saa ila kunasiku haki itamfata mwenye haki.
Wala sina shaka chances za kupewa muhula mwingine ni kubwa zaidi.Acha ujinga wako
Mama mpaka 2030
Ngoja tulambe asali kaa kwa kutulia
Ujinga kama huu haiwezi saidi nchi kusonga mbeleKizazi kipya kwa maendeleo ya taifa!
Vijana tunaungana na kutoa msimamo rasmi wa kumuunga mkono Mhe. Rais Samia kwa uongozi wake mahiri na jinsi alivyowekeza kwa vijana na kuwataka wanasiasa na wanaharati kumaliza mambo yao kwenye meza ya mazungumzo. Wasitumie vijana vibaya na kuwapotosha.
Pia leo tunatoa msimamo rasmi kumuomba Rais agombee tena kwa kipindi cha 2025 - 2030 na aachwe amalize kipindi chake kwa mujibu wa katiba ya nchi.
#SamiaTunayeTunakwendaNaye25/30
Mkuu 'Bams', Umezisoma vizuri na kuzielewa hizo picha za hao vijana? Hee Heeee!Kama vijana wenyewe ndiyo hawa, haishangazi kuona nchi ya Tanzania inabakia kwenye umaskini mkubwa wa akili mpaka pesa.
Hawa ni vijana ombaomba, wanaoamini kujikomba kwa watawala angalao matumbo yao yatashiba. Ni vijana wasio na faida kwa yeyote.
Kiongozi yeyote atakayejikamanisha na vijina chawa, lazima afeli.