Breaking News: Maelfu ya Vijana Wakutana Kuunga Mkono Rais Samia na Kuonya Dhidi ya Vurugu Nchini

Breaking News: Maelfu ya Vijana Wakutana Kuunga Mkono Rais Samia na Kuonya Dhidi ya Vurugu Nchini

Kizazi kipya kwa maendeleo ya taifa!

Vijana tunaungana na kutoa msimamo rasmi wa kumuunga mkono Mhe. Rais Samia kwa uongozi wake mahiri na jinsi alivyowekeza kwa vijana na kuwataka wanasiasa na wanaharati kumaliza mambo yao kwenye meza ya mazungumzo. Wasitumie vijana vibaya na kuwapotosha.
Pia leo tunatoa msimamo rasmi kumuomba Rais agombee tena kwa kipindi cha 2025 - 2030 na aachwe amalize kipindi chake kwa mujibu wa katiba ya nchi.
#SamiaTunayeTunakwendaNaye25/30
Hao ni vilaza wa ccm.
 
Kama vijana wenyewe ndiyo hawa, haishangazi kuona nchi ya Tanzania inabakia kwenye umaskini mkubwa wa akili mpaka pesa.

Hawa ni vijana ombaomba, wanaoamini kujikomba kwa watawala angalao matumbo yao yatashiba. Ni vijana wasio na faida kwa yeyote.

Kiongozi yeyote atakayejikamanisha na vijina chawa, lazima afeli.
 
Hivi ulishaacha USHOGA bwana Sufiani?sasa hao maelfu wako wapi?
 
Saga chupa umeze au kanunue kamba kwa Mangi utajua la kufanya.Jina linaoonyesha umebakiza nguvu ya kusukuma mavi.
ujue mimi ni baba yako nasukuma mavi ya mama yako
 
Kama miaka karibu na miaka minne ya uongozi wake hali ndio hivi, wananchi wamemchoka balaa.

Kwenda kumuongezea muda hali itakuwaje.

Binafsi siungi mkono maandamano na uzushi wa raisi Samia muuwaji.

Uhalisia ni kwamba hana uwezo wa kuendesha nchi. Kosa kubwa ni kuendelea kujiaminisha anafaa kuongezewa muda. Tutakuja kuongea hapa mungu akitupa uhai na uzima.

Samia anatakiwa kuachia nchi 2025, h amtaki subirini muone madhara yake baada ya hapo.
 
Mimi nimesoma mpaka masters serikali aijaniajiri.

Mimi nimesoma medicine, sihitaji kufanya profesional exam. Tayari nimeshafanya field work najua wajibu.

The nonsense ya hawa watu someone has to fix it.

Ndio kama CDM huyu muuwaji atoke, kama hataki tuandamane kumtoa.

Yaani akili za watanzania maisha ni rahisi, hakuna rules and social regulations kwao.

Anahitajika mtu wa kuwaweka sawa kimtazamo watanzania, Hakuna nchi iliyoendelea yenye watu wengi wenye fikra za maisha ni rahisi hivi.
 
Ajira portal imewashinda,sasa mnahamia kwenye siasa.

Kwenye siasa ni pagumu kuliko mnavyodhani!

Mbati aliyepata ajali na JPM wangefufuka angewasimulia.
Laiti wangejua huko kuna wahuni wasingekubali kutumika
Kuna kikundi cha wahuni Rapid Force
 
Kama miaka karibu na miaka minne ya uongozi wake hali ndio hivi, wananchi wamemchoka balaa.

Kwenda kumuongezea muda hali itakuwaje.

Binafsi siungi mkono maandamano na uzushi wa raisi Samia muuwaji.

Uhalisia ni kwamba hana uwezo wa kuendesha nchi. Kosa kubwa ni kuendelea kujiaminisha anafaa kuongezewa muda. Tutakuja kuongea hapa mungu akitupa uhai na uzima.

Samia anatakiwa kuachia nchi 2025, h amtaki subirini muone madhara yake baada ya hapo.
Acha ujinga wako
Mama mpaka 2030
Ngoja tulambe asali kaa kwa kutulia
 
Kila siku nasema hapa, waafrika hasa watanzania wana upumbavu wa milele.

Wala hakuna haja ya kupoteza muda na nguvu zako kuwapigania wajinga.

Watanzania ni kuwaacha wateseke, wahujumiwe vya kutosha mpaka pale akili zitakapo funguka.
Kabsaa yaan hawa wajinga ni kuwaacha wanyooshwe sawa sawa
Ngoja tuendelee kuwapiga pesa hawa wajinga bado wamelala sana

Mfano mzuri ni kiboko ya wachawi
 
Sasa imekuwa kama maandamano ni ya CCM; mbona kila mahala ni wao wanahaha na haya maandamano?

Jukwaa zima ni wao wamejaza habari za maandamano, wakati wao wangekuwa pembeni tu kama watazamaji!

Hii ni hofu kubwa wanayo onyesha hawa watu.
 
Me ninacho jua kesho kutakuwa hakuna maandamano yeyote lakina kama kijana wa taifa naamini ipo siku watu watajikuta wapo mtaani wakiandaman bila info yeyote ile yaani hicho kitu me huwa naamini siku zote hakuta kuwa na tarifa kama ivi wala kupeana habari juu ya maandamano lkn watu watatoka na kwenda kupambana kwa mioyo yao na wala sio kwa msukumo wa chama chechote
Nyie endeleeni kufanya hii nchi ni kwaajili ya wafuasi wa chama tawala pekeyake ila anguko lenu linakuja tena kwa kishindo
Hatujui siku wala saa ila kunasiku haki itamfata mwenye haki.
Viongoz na watoto wao wanalamba asali tuu
Hii ni hatariiii Sana
 
Acha ujinga wako
Mama mpaka 2030
Ngoja tulambe asali kaa kwa kutulia
Wala sina shaka chances za kupewa muhula mwingine ni kubwa zaidi.

Vilevile sina shaka akipewa muhula mwingine hisia za watanzania kuingia barabarani kumtoa zitakuwa kubwa zaidi.

Mama hana uwezo wa kuendesha nchi z
 
Kizazi kipya kwa maendeleo ya taifa!

Vijana tunaungana na kutoa msimamo rasmi wa kumuunga mkono Mhe. Rais Samia kwa uongozi wake mahiri na jinsi alivyowekeza kwa vijana na kuwataka wanasiasa na wanaharati kumaliza mambo yao kwenye meza ya mazungumzo. Wasitumie vijana vibaya na kuwapotosha.
Pia leo tunatoa msimamo rasmi kumuomba Rais agombee tena kwa kipindi cha 2025 - 2030 na aachwe amalize kipindi chake kwa mujibu wa katiba ya nchi.
#SamiaTunayeTunakwendaNaye25/30
Ujinga kama huu haiwezi saidi nchi kusonga mbele
 
Kama vijana wenyewe ndiyo hawa, haishangazi kuona nchi ya Tanzania inabakia kwenye umaskini mkubwa wa akili mpaka pesa.

Hawa ni vijana ombaomba, wanaoamini kujikomba kwa watawala angalao matumbo yao yatashiba. Ni vijana wasio na faida kwa yeyote.

Kiongozi yeyote atakayejikamanisha na vijina chawa, lazima afeli.
Mkuu 'Bams', Umezisoma vizuri na kuzielewa hizo picha za hao vijana? Hee Heeee!

Hizi ni zile pesa anazopewa huyu mama na wafadhili wake wanaotaka kununua utu wetu na kutufanya watwana wao.

Ziangalie vizuri tena hizo picha. Sijui hawa watoto wamewaokota wapi maskini wa watu wasiojuwa lolote!

Huyu Samia kadhamiria kweli kweli kutuuza huyu. Sasa nashindwa kuelewa watu wenye akili huko CCM hadi sasa kweli hawaelewi kinacho endelea?
 
Back
Top Bottom