Bulembo: Sina mkwe anayeitwa Zitto, wao wanafanya starehe zao vichakani hawezi kuwa mkwe wangu!

Sio haupendi Upinzani
Mzee Bulembo anampenda sana binti yake na anatamani sana Bwana Zito ndo amuoe binti yake.
Lakini je anamuozeshaje binti yake kwa Zito ambaye yupo Upinzani?
Yaani kiufupi anaona kama hataeleweka uko ccm. Kwaiyo inabidi tu akaze ili alipe fadhila kwa Ubunge wa bure alopewa
 
Je democracy imetufikisha huko Kama taifa?
 
Hapo roho inamuuma anawaona wapinzani kama ni mashetani huu ubaguzi upo kila sehemu,
Kuanzia kwenye dini, siasa, shule na taasisi nyingi sana.
 
Mtoto kama huyo Halima unaweze kumwache kweli akiingia kwenye 18 zako! Mzee Bulembo aselete mambo ya kizamani hapa. Yeye mbona anachapa watt wa wanaume wenzake hawamtolei pofu.
 
Kama.ndio hivyo Basi ana Hali ngumu sana tumuonee huruma

Asuburi 2025 atakuwa huru

Sent using Jamii Forums mobile app
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Zito bwana hahaha kaamua dawa yake ni kumng'atia mtoto wake πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mtoto kama huyo Halima unaweze kumwache kweli akiingia kwenye 18 zako! Mzee Bulembo aselete mambo ya kizamani hapa. Yeye mbona anachapa watt wa wanaume wenzake hawamtolei pofu.
Hahahaaaa...... Labda Zitto hajalipa mahali!
 
Nimekumbuka siku nimekula papuchi fulani mlimani game imeisha dem anlalamika kachubuka mgongo
 

Wakaongee chumbani aibu zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…