Sijaona point yako hapo. Wakati technolojia hiyo haipo watu walikuwa wanasoma hotuba zao kutoka kwenye karatasi, na yule jamaa alikuwa hafanyi hiyyo; usijisikie vibay kumpa credi hiyo.Teknolojia imebadilika hata trump anatumia teleprompter
Sababu babu yako alikuwa hatumii simu ya mkononi ama computer haimaanishi ana akili sana na ni mjanja kuliko wewe unaetumia zama hizi.
Kipindi cha nyerere kama teknolojia ya teleprompter ingekuwepo angeitumia pia
Kwa inavyo onekana,changamoto na mapungufu ya bajeti pamoja na sheria mbalimbali si muhimu sana kwa watu kusikiliza.Naomba nisaidiwe, hivi kuzuia bunge lisionekane live kwa wananchi wakati wa mijadala, halafu siku ya kulivunja unarusha live inaleta maana?..najaribu kuwaza!
Kwahiyo point yako ilikuwa ni nini mkuu?Mbona umekuja na generalization ya ajabu sana ndugu yangu. Wakati wa Nyerere hakukuwa na technology za teleprompters, hivyo mtoa hotuba alikuwa anaingia jukwaani na makarasi ya hotuba yake.
Ukiweza tafuta hotuba ya Rais Mwinyi kwenye umoja wa mataifa mwaka 1987 halafu angalia pia hotuba yoyote ya Nyerere kama alikuwa anasimama na makatasi kwenye lectern; alikuwa na kipaji chake ambacho siyo vibaya kukitambua.
Iwapo imekuudhi, basi iachie hapo usiendelee zaid.
Wewe usiwe kama mwanamke wa baa unadandia dandia bandiko za watu halafu ukijibiwa unaruka ruka!! Pimbi wewe
Ukiamua kumsikiliza mtu ambaye mwanzoni ulikuwa hupendi na hutaki kumsikiliza ujue umemuelewa au umeanza kushawishika na maneno yake!
Wabunge Makamanda ya kupinga kila kitu hatimaye leo wamekaa Bungeni kumsikiliza Mh Rais. Wametambua kuwa Wananchi hawawaelewi na pia wanatafuta hisani kwa serikali...
Kazeeka
Wabunge wa CCM wanampigia makofi (meza) Rais hata anapokunywa maji.
Sijaona point yako hapo. Wakati technolojia hiyo haipo watu walikuwa wanasoma hotuba zao kutoka kwenye karatasi, na yule jamaa alikuwa hafanyi hiyyo; usijisikie vibay kumpa credi hiyo. Tafuita hotuba yoyote ya Nyerere, na zipo nyingi online kama utaona akiwa na karatasi kwenye Lectern. Halafu kumtumia Trump kama yardstick ni kutokujielewa.
"Ajira million 6 kwenye miradi ambayo sitahitaja hapa " 🤣🤣🤣Kuna anaebisha anachohutubia Mhe Rais....??
Mpaka sasa hii hotuba yake ina reflect uhalisia ulipo.
Serikali ya Awamu ya Tano inasadifu hayo yaliyosemwa....
vivaaaaa Magufuli.
Kuna watu wanatamani wausimamishe muda lakini ndio hivyo tena,wacha tu muda utaongea wenyewe...Ukiamua kumsikiliza mtu ambaye mwanzoni ulikuwa hupendi na hutaki kumsikiliza ujue umemuelewa au umeanza kushawishika na maneno yake!
Wabunge Makamanda ya kupinga kila kitu hatimaye leo wamekaa Bungeni kumsikiliza Mh Rais. Wametambua kuwa Wananchi hawawaelewi na pia wanatafuta hisani kwa serikali...
hahahaaah wewe jamaaWabunge wa CCM wanampigia makofi (meza) Rais hata anapokunywa maji.