Watu wamechafukwa huku lol.Umenena mkuu.Haswaa,hatutaki ujinga tuna akili zetu na kuelewa.
Nakumbuka lile tamasha kigoma yani hata kampeni hazijaanza za 2020 et usikuuuu domo akapigiwa simu na ile taharuki iliyofukiwa wakaongeaaaa.Halafu domo akasema "baba ww ni tano tenaaa hakuna wa kupinga"
Mwenye clip atuwekee hapa.
Hamna cha kupiga kura wala nini! Tunampigia burnaboy
Unafikiri Kawa nominated pale kwa kelele zenu? Sifa zake ndio zimemuweka pale na hii tuzo anashindaMshindi awe domokaya? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi nyie wafuasi wa domo ile sio tuzo ya Killi? Khaaaah
Acha kulazimisha watu, mmechafukwa nyie ambao hamko kokote kwenye hizo tuzo, bendera Fata upepoWatu wamechafukwa huku lol.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umetisha sanaaaaah.Kwa vyovyote vile African Giant lazima ashinde, yani hata kama wapiga kura wangekua wawili tu yani burnboi na naseeb tu, Obviously angeshinda Burnboi maana Naseeb mwenyewe angempa kura yake.
Wako wa 3, kwenye kile kipengele, wewe kama unafikiri kawekwa pale kwa sababu ni ccm endelea ahahahaBET hakuna Wizi wa kura kama wa Ccm...
Kaeni kwa kutulia
Nitampa kura yangu
Vita nyepesi hii wachawi wanaoitwa, wanaharakati ndio walimdanganya Lissu akaambulia mbunge mmoja, hivyo wala hawana jipya🤣 🤣Vita anapigwa sadala siyo poa lakini
Mbona wee unalazimisha pia kuwa watu hawajachafukwa? Badala ukampigie kura domokaya wako, wee kutwa kujibishana na sie, poleeeeh San kunywa maji engi na u relaaaax, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha kulazimisha watu, mmechafukwa nyie ambao hamko kokote kwenye hizo tuzo, bendera Fata upepo
Unataka Domo aje akujibu humu? sahau humu tutakujibu sisi, maana hatuwezi kuacha ujinga wenu usambae, utachezea sana spanaMbona wee unalazimisha pia kuwa watu hawajachafukwa? Badala ukampigie kura domokaya wako, wee kutwa kujibishana na sie, poleeeeh San kunywa maji engi na u relaaaax, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Poleeeeeh weyeeeeh kwa kuteseka, sasa km unajua kua nominated tu ni hatua kubwa, si ukae kimya mbna una haha km vile chokoraa asiye na jalala, msieeeeeeeew. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tutajua anaewashwa tu, Africa nzima wapo 3 , kama unafikiri ile nafasi watu wanaokotwa jalalani, pole sanaaaa
Acha mboyoyo wewe hii tuzo ya Diamond PlatnumKwa vyovyote vile African Giant lazima ashinde, yani hata kama wapiga kura wangekua wawili tu yani burnboi na naseeb tu, Obviously angeshinda Burnboi maana Naseeb mwenyewe angempa kura yake.
Kama wewe unaangaika na Burna boy, kaa kwa kutulia na mimi nikiangaika na Diamond, hapa ni weka tuweke, popote tutamisaka wanaharakati fake na wafuasi wao misukulePoleeeeeh weyeeeeh kwa kuteseka, sasa km unajua kua nominated tu ni hatua kubwa, si ukae kimya mbna una haha km vile chokoraa asiye na jalala, msieeeeeeeew. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nichezee spana kwako wee? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] asee unachekesha km sio kufurahisha, nilikua napambana na chawa wa domokaya humu tena waliovurugwa, lakini walinyoosha mikono wenyewe,Unataka Domo aje akujibu humu? sahau humu tutakujibu sisi, maana hatuwezi kuacha ujinga wenu usambae, utachezea sana spana
Alikiba ndio uchafu gani mkuu? ebu acha kuchafua maongezi
Mimi kama napoteza muda bila shaka wewe unapoteza mapapai, hapa umekutana na gogo la maarifa, utapigwa spana adi uchakaeNichezee spana kwako wee? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] asee unachekesha km sio kufurahisha, nilikua napambana na chawa wa domokaya humu tena waliovurugwa, lakini walinyoosha mikono wenyewe,
Ndo maan hata now huwaoni wakibweka wametulia tulii, wee si unapoteza muda wako tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hao hawana madhara ni kama NZI kelele kibao kumbe Ata kumtafuna mtu hawezi, anavizia vidondaMaskini sadala kakutana na vichaa wa ufipa chama cha sacoss
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na utaweweseka sana ndo kwanza game linaanza hata halftime bado, hahahah, sasa ilitakiwa na wee uanzishe campaign ya kumpigia kura domokaya wako, sio kuanza kubishana na sie humu khaaaaah.Kama wewe unaangaika na Burna boy, kaa kwa kutulia na mimi nikiangaika na Diamond, hapa ni weka tuweke, popote tutamisaka wanaharakati fake na wafuasi wao misukule
Unataka Nikae kimya, halafu uongee wewe peke yako ahahahahaha, hapa weka tuweke akai mtu kimya, lazima adabu utaipata mwaka huuPoleeeeeh weyeeeeh kwa kuteseka, sasa km unajua kua nominated tu ni hatua kubwa, si ukae kimya mbna una haha km vile chokoraa asiye na jalala, msieeeeeeeew. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uzuri ni kwamba mie narelaaax, wee unaumia sasa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi kama napoteza muda bila shaka wewe unapoteza mapapai, hapa umekutana na gogo la maarifa, utapigwa spana adi uchakae
Kampeni ya nini hizo tuzo zote alizopata mimi nilianzisha kampeni? Mimi kazi yangu ni kupiga spana wanaharakati fake na misukule yao kama wewe, ndio kwanza napasha misuli moto tulia tulii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na utaweweseka sana ndo kwanza game linaanza hata halftime bado, hahahah, sasa ilitakiwa na wee uanzishe campaign ya kumpigia kura domokaya wako, sio kuanza kubishana na sie humu khaaaaah.