[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan hapa mbavu sina wallah khaaaaah, wee unataka kupambana na mie,? Ktk hili suala siwezi weka nguvu wala u serious, maan najua hata iweje domokaya hawezi kuchukua tuzo, ndo maan nanyamba kwa kurelax tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unataka Nikae kimya, halafu uongee wewe peke yako ahahahahaha, hapa weka tuweke akai mtu kimya, lazima adabu utaipata mwaka huu
Tutajua tu nani anaumia ahahahahaha mbona una usemea moyo tulia tuliiiUzuri ni kwamba mie narelaaax, wee unaumia sasa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeeeh sanaaah.Kampeni ya nini hizo tuzo zote alizopata mimi nilianzisha kampeni? Mimi kazi yangu ni kupiga spana wanaharakati fake na misukule yao kama wewe, ndio kwanza napasha misuli moto tulia tulii
Haya yote yanatoka wapi uweke nguvu au usiweke , spana ziko pale pale ahahahha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan hapa mbavu sina wallah khaaaaah, wee unataka kupambana na mie,? Ktk hili suala siwezi weka nguvu wala u serious, maan najua hata iweje domokaya hawezi kuchukua tuzo, ndo maan nanyamba kwa kurelax tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tutajua tu nani anaumia ahahahahaha mbona una usemea moyo tulia tuliii
Leo siku nzima utatoa pole , lakini huwezi kunusurika na spana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeeeh sanaaah.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeehHaya yote yanatoka wapi uweke nguvu au usiweke , spana ziko pale pale ahahahha
Kwa hili hata swezi kaza msuli, wa kuchukua anafaahamika, tukutane baada ya tuzo, byeeeeh [emoji23][emoji23][emoji23]Leo siku nzima utatoa pole , lakini huwezi kunusurika na spana
Endelea kukariri tuzo ni Mali ya Diamond Platnum , hakuna wa kumzuiaKwa hili hata swezi kaza msuli, wa kuchukua anafaahamika, tukutane baada ya tuzo, byeeeeh [emoji23][emoji23][emoji23]
Toka umeanza kutoa pole zimefika 1000, lakini spana ziko pale pale[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeeh
Kwaio unazan kila mtu anapiga kura ukisema hvo mond ndo hatatoboa kabisaaaWajinga tu,kuna wengine humu ni mikumbo tu.Unakuta tanayopiga kelele ni yale ambayo hayajawahi kumsupport Mond tangu zamani,shabiki wa mond hawezi acha kumpigia kura kisa hizi hoja za kishubwada.
Kama kura zao zingekuwa dili kiasi hicho, wasingekuwa wanapigwa KO kila siku,kwenye chaguzi.
Mpaka hapo alipofika,alifika kwa juhudi zako?Kwaio unazan kila mtu anapiga kura ukisema hvo mond ndo hatatoboa kabisaaa
Mbona unapayuka utazani umekunywa maji ya chooni, wewe na roho mbaya yako ndio unaona hivyo ila kwenye BET Mondi anaweza kuchukua kwani yote yanawezekana.Mshindi awe domokaya? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi nyie wafuasi wa domo ile sio tuzo ya Killi? Khaaaah
Daaaaa! Ni sahihi lakin unadhani kwa msanii wetu DIAMOND PLATINUM anaweza kuibuka na tuzo au vp ? Wakuu
Siyo uchawi ukubwa wa big siyo wa kujiweka hovyo na watu dhalimu maana music wake haupo supermarket unategemea washabikiVita nyepesi hii wachawi wanaoitwa, wanaharakati ndio walimdanganya Lissu akaambulia mbunge mmoja, hivyo wala hawana jipya
Mbona mashabiki tupo nae wengi, nenda hizo page za BET ni Diamond tu anatawala, kiufupi Diamond hawezi kutishwa na wanaharakati uchwara, ambao kama mdudu basi ni NZISiyo uchawi ukubwa wa big siyo wa kujiweka hovyo na watu dhalimu maana music wake haupo supermarket unategemea washabiki
Amejifunza somo kwa kunguni aliosagiwa
haya akishinda Diamond nitakununulia kanga doti 20.Acha mboyoyo wewe hii tuzo ya Diamond Platnum
Unistue na mimi nimuongeze doti mbilihaya akishinda Diamond nitakununulia kanga doti 20.
Sawa na wewe akishinda Burnaboy jiandae nitakununulia shangahaya akishinda Diamond nitakununulia kanga doti 20.