You might be very right. It seems bashiru ana kundi kubwa nyuma yake maana hawa wazee akina Butiku, Warioba unaona kabisa wanamtetea. Na akina Butiku na warioba, wana kundi lao....
UKWELI usemwe tu,Uko sahihi kwa asilimia 100. Bashiru ni mnafiki hata kama ameongea ukweli. Lakini yeye ndio muasisi wa watu kuzuiwa kutoa maoni yao. Chini ya utawala wa kina Bashiru wetu ndio walikuwa wakitekwa, na chaguzi za nchi hii kunajisiwa.
Evidence on record confirms that! Tabia ya mtu utaijua kutokana na matendo yake. matendo yake wakati wa Magufuli rule, irresistibly point to the hypocrisy of the highest degree!Pointi zako zote 1&2 ni hisia tupu, ni kama vile umeingia ndani ya moyo/akili ya Dr. Bashiru ukajua anachowaza, hauko sahihi.
Basi na atuombe radhi ndiyo tutamuamini, lakini kama si hivyo bado atabakia mnafiki.Dr. Bashiru ameongea pointi ya msingi sana, na hata kama aliwajaza ujinga wakati ule, kama wakati huu anawaambia ujinga aliowajaza haufai muuache, lakini kuendelea kukomalia ule ujinga naona ndio ujinga zaidi.
Huyu ameifanya taasisi ya Mwalimu Nyerere kama mfuko wake wa shati, Hela ikiwekwa anapiga, mpaka wafadhili wameaicha.Akizungumzia haki na uhuru wa watu kuzungumza, Mkurugenzi wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku amesema viongozi wanatakiwa kuthamini utu wa watu, hivyo wana haki ya kulinda uhuru na haki ya kila mtu...
Nilijua tu Bashiru Ali hayuko peke yake! Ngoja tuone mwisho wa huu mtifuano.[/
asante sana kwa point kubwa kama hii. sasa akina warioba wanasema asizuiwe/asishambuliwe yeye bali hoja yake. How?Lakini yeye ndio muasisi wa watu kuzuiwa kutoa maoni yao.
Nilijua tu Bashiru Ali hayuko peke yake! Ngoja tuone mwisho wa huu mtifuano.
Tuliambiwa wapo wenye chama !! Sasa ngoja tuone na wenye Nchi wasiotaka kuona Nchi yao ikiharibiwa na yeyote yule. !!Nilijua tu Bashiru Ali hayuko peke yake! Ngoja tuone mwisho wa huu mtifuano.
Ofcourse. Mimi siishi kwa dada kama wewe.Ukute una familia inakutegemea
2025 akapumnzike basKumkaanga huyu mama ni kumuonea tu. Uwezo wake wa kuongoza nchi ndio ulipoishia, after all upresidaa ulimwangukia ghafla tu mwacheni amalizie uongozi wake akapumzike.
Alichemka mwalimu Nyerere ije kuwa mama Samia!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ataongeaje hayo wakati yuko kwenye utekelezaji nawe tumia akili kidogoUnapo ni quote, uwe una common sense ya kutosha. Nimemsifia nani kati ya hao wapuuzi wako wote?
Huyo Bashiru wako ana ukweli gani? Mbona alipoteuliwa kuwa Katibu mkuu wa ccm hakuwahi kuisimamia hiyo haki anayoipigania leo?
Angekuwa bado ni Katibu mkuu wa chama, au Katibu Mkuu Kiongozi; angeongea hayo aliyo yaongea? Au ni kwa sababu amejiona hana tena nafasi kwenye chama, ndiyo ajifanye kusimamia haki!
Huyo Bashiru wako ni mnafiki tu kama walivyo wanafiki wengine.
ahahah... Bashiru furumua ukiwa humo humo.Mbona amejibana CCM si atoke aingie upinzani kama kweli anachukizwa?
Mjinga zaidi au kupita kiasi ni wewe huyo mama alichaguliwa na nanii si ndondokera tu ndo iliyo muweka hapo unapo sema 2030 ubongo wako ni finyu.Kuna mijitu mipunbafu eti Mama Samia Hana uwezo wa kuongoza. Sasa nchi miaka 60 nimaskini hao waliokuwa wanatawala walikuwa na uwezo gan? Acheni ujinga muache mama afanyekazi wenye akili tunaona Mambo makubwa anayofanya. Msitake chuki zenu binafisi kwa mama mtuhusishe na sisi. Na mama tunae Mungu akijalia mpaka2030
Leo ndio unalijua hilo?🤣🤣Watu wanaona kinachofanyika na wana haki ya kuhoji.
Hii nchi sio mali ya mtu binafsi au kikundi flani ni ya watanzania wote.
Kitendo cha kikundi flani kutaka kuhodhi Taifa zima na kuwafanya wananchi kama wanyama hakikubaliki , tunakikataa. Tutakipinga.