Nyufa kwenye Maji? Watajua hawajuiπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Kwa hiyo hii nyufa unafikiri unashida gani?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Expansion joint
 
Bora tuanze fuata falsafa za china na muasisi wake MAO ZE DONG

AUWAWE MMOJA ILI KUTISHA WATU 1000

ZIDUMU FIKRA ZA MAO ZE DONG
 

Tuhakikishie kuwa huu ni ukuta wa bwawa, isijekuwa ni nyumba ya mtu kule kwa Mtogole!
 
Sina uhakika kama hiyo structure kwenye picha ni huo ukuta wa Bwawa ama sio.

Ila hiyo ni nyufa, sio expansion joint kama wengi wanavyodhani humu.

Ukitaka kuamini hilo angalia namna wanavyohangaika kuziba hizo nyufa kwa hizo materials.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…