CAF: Draw ya makundi: Simba Group B, Yanga Group D
Confederation hainihusu sababu hamna timu inayotoka Tanganyika.

Naombea vinara wa makundi ya CAF CHAMPIONS CUP wawe kama hivi ....

Kundi A
Mamelodi
Pyramids

Kundi B
Wydada
Simba

Kundi C
Eperence tunis
Atletico petrolias

Kundi D
Al ahly
Yanga
 
Kibwana inabidi afanye kazi ya kumkaba huyu jamaaView attachment 2773707
Huyo msimu huu tunaye zamu zamu hata ww unaye mwezi huu,najua mtamtegea Mzamiru.

Ongezea na huyu.
download (6).jpeg
 
Mashabiki wa yanga wakiliangalia kundi lao.... Hawana cha kufanya zaidi ya kutukana
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Mashabiki wa yanga wakiliangalia kundi lao.... Hawana cha kufanya zaidi ya kutukana
Mashabiki wa Simba ndio wenye mchecheto, Yanga hajawahi kutishwa na Ahly tena Ahly yenyewe sio ii Ahly Chai ya rangi iliyo mzabua Simba goli 5.
 
Back
Top Bottom