CAG aongea na waandishi wa habari - Aprili 8, 2021

Kazi Kweli kweli
 
Bila shaka yule Dr wetu aliyekua waziri kwenye utalii anahusika vilivyo kwenye hayo
 
Utabadilisha sana id lakini kitu cha " mdigo" kitakuning'inia milele huko ikweta.

Sawasawa all rounder!

Kuhusu kuibadili hii ID hasa kutoka kuiita All - Rounder na kuanza kutumia Jina hili la Generalist ( ambayo yote yana maana moja ) wala sijaficha na nilishawah Kuwaambia ( Kuwataarifu ) Watu ( Members ) hapa hivyo sioni kwanini hili ( hilo ) linawateseni mno.

Hizo ID's zingine za Mabasha zenu wala hazinihusu na nashangaa mwenye hiyo ID ya GENTAMYCINE kutwa mnatajataja huku mkiinasibisha na Mimi utadhani mlimbebea Mimba zake sasa mmejifungua na mnataka Huduma ( Matunzo ) Wapuuzi wakubwa nyie.
 
Mkuu kuna vitu huwezi kuficha..vinakutambulisha..moja ni hilo la kujibu kwa hovyo..ulianza kwa jina la dawa,ukaja sijui mzunguko na sasa hili.

Kwahiyo nawe una hamu ujibiwe hovyo?
 
Report umeilewa vizuri au unakurupuka tu.
Sasa nimeelewa kwanini hakutaka vyombo vya habari vifunguliwe.
Kumbe Dr Abbas anahusika kwenye huu uratibu wa matumizi yasiyo na utaratibu.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
"Chadema" wametuharibia sana hii nchi.
 
WASIJE WAJANJA WAKATUMIA MWANYA KUMUHADAA MAMA,MAANA HIVI VIINI MACHO KODI ILIKUWA INAKUSANYWA TILIONI 2 NA POIN KWA MWEZI IWEJE KUWE NA MADENI
 
Kiufupi nimesikitika sana wezi na ubadhirifu wa fedha kila mahali. Mara matumizi mabaya, hundi ziko wazi, kinyume na mkataba au hamna mkataba, mara nyaraka hamna hadi nyingine nje ya bajeti.
Tuna safari ndefu ila sijui tunaekea wapi.
 
Zingine watakuwa wamekula waungamkono juhudi....maana Kuna Kipindi biashara ilishamiri kweli kweli....kwa madudu haya....ili kujilinda angebadili Katiba ili aendeleee kuficha uovu....ndio maana aliaanza na bunge la kijani tupu.
 
Dada angu yule hayati ndo katufikisha hapa, Tuzidishe maombi tu Mwenyezi Mungu azidi kutuepusha na haya madudu zaidi na zaidi..
 
Zingine watakuwa wamekula waungamkono juhudi....maana Kuna Kipindi biashara ilishamiri kweli kweli....kwa madudu haya....ili kujilinda angebadili Katiba ili aendeleee kuficha uovu....ndio maana aliaanza na bunge la kijani tupu.
Zingine watakuwa wamekula waungamkono juhudi....maana Kuna Kipindi biashara ilishamiri kweli kweli....kwa madudu haya....ili kujilinda angebadili Katiba ili aendeleee kuficha uovu....ndio maana aliaanza na bunge la kijani tupu.
Na zile show za fiesta huwezi kuniambia wasanii kama kina diamond walikuwa wanapiga show mshahara ubwabwa na soda.
 
Kumbe ndio maana waliamua kupeleka Bungeni wabunge wa Chama kimoja tu.

Huyu Mama Rais ni mpango wa Mungu. Alipewa hii riport na CAG kwenye kitabu cha peke yake, Mama karuhusu madudu yote yaje yasemwe
 
UHURU ni kitu kitamu sana jamani. Ona toka CAG aambiwe aseme, anagonga nondo tu, page kwa page! Mamaeeeehi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…