Case Study: Ni nadra sana kukuta kijana wa kiislam hajaoa lakini inazidi kuwa kawaida kumkuta kijana wa kikristo anakwepa ndoa, Nini chanzo ?

Amini upendavyo, Uislam upo kabla ya Adam kuwepo.
Hahaha...

Nguzo ya 1 ya Uislam aliyotumia muislam Adam inasemaje? Unaweza kuiweka hapa?

Nb: niliwahi kukuuliza hili swali kwenye uzi mmoja UKALA KONA MAZIMA
 
Upande wa huku hauna talaka. Take your time to find/know your soul mate, and build a stable foundation naye kwanza , mkianza maisha ni kwenda mbele tu siyo mnaanza na misukosuko kisha mnatalikiana, huku tunaunganishwa na Mungu mwenyewe kuvumilia shida na kushare raha.
 
Kuna uhusiano wa kuwa na elimu ya juu na kuchelewa kuoa,
Na ndoa za kikristo ni mkataba wa maisha,sio zile za kiislam kama ya manara,unao asubuh,Jioni unatimua!!
Tunakoelekea ndoa sio kitu kikubwa kiivyo kama ilivyokuwa miaka 20 mpaka ,,30 iliyopita,
Kwa wakristo,kuhusu gharama,yapo makanisa haihitaji sherehe,wewe na mwenzio,Wazazi,mashahidi,soda nne,ndoa inafungwa!!
 
Sasa hiyo mahari ya 3.5M ni ukristo au utashi/utamaduni binafsi?

Mahari imeandikwa kwenye Biblia? Kuna agizo kwenye biblia la mahari?
 
Sasa hapo we huoni kuwa waislam ni tatizo?
 
Hujui usemacho. Leta utafiti badala ya udini uchwara unaonuka ujinga na upumbavu
 
Hujui usemacho. Leta utafiti badala ya udini uchwara unaonuka ujinga na upumbavu
 
1. Ndoa za Kikafiri ni pingu. Once ukiingia, kutoka kuna complications kishenzi!

2. Gharama gharama gharama. Kuanzia mahari, harusi yenyewe.

3. Uzinifu kwa kijana Kafiri ni kama kunywa maji tu.
Nyie role model wenu ni haji Manara mnaoa na kuacha mtavyotakaa na kuacha watoto wakitapakaa kama mayatima
 
Hujamkaba yeyote bali wewe ni katika wale ambao masikio unayo lakini hayasikii, macho uanayo lakini hayaoni, moyoni mwako kuna maradhi...
 
Hujamkaba yeyote bali wewe ni katika wale ambao masikio unayo lakini hayasikii, macho uanayo lakini hayaoni, moyoni mwako kuna maradhi...
Dini ni nini?

Iweke hapa DEFINITION YA DINI.


(hapa nina uhakika 100% utaishia kujizungusha na hutaiweka hiyo definition ya dini)
 
In short argument yangu haikuwa kwako personally. Maswali niliyouliza ilikuwa ni general pamoja na kwamba niliandika kama nakuhoji wewe personally.
Nashukuru kwa ufafanuzi😀
 
Angalau leo umeongea kitu cha Maana katika maisha yko ya JF
 
Unaleta mchezo na issue ya Mke mmja? Stress Bora wake wengi.
 
exactly, maisha yao yanaongozwa na utashi wadini na si uhuru binafsi wa kuamua. ndiyo maana hata Mtume (SAW) alioa mtoto wa miaka 9 kwa vile dini inaruhusu
Bora utashi wa dini unaleta ustaarabu na nidhamu kuliko uhuu wa kuamua unazalisha washenzi mtaani.
 
Dini ni nini?

Iweke hapa DEFINITION YA DINI.


(hapa nina uhakika 100% utaishia kujizungusha na hutaiweka hiyo definition ya dini)
Neno dini kwa Kiswahili linatokana na neno "din" kwa Kiarabu ambalo kwa Kiswahili huwezi kulitagsiri kwa neno moja, kwa kulifafanua lina maanisha "njia ya mfumo wa maisha".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…