Ustaadhi 22
JF-Expert Member
- Sep 5, 2021
- 996
- 1,907
Safiii,,chukua lisu Siasa Siyo uadui.Hongera Dk Nchimbi Kwa uungwana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeye kama Nchimbi anaweza kuamini hivyo, lakini hawezi kuisemea CCM kama chama juu ya jambo hilo. Imekwisha onekana mifano mingi iliyo kinyume na hayo anayo yaamini Nchmbi.Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema siasa si uadui hivyo ni vyema kushikana mkono panapobidi kwani wanasiasa wote wanaijenga Tanzania.
Lissu anaangalia tumbo lake na mustakabali wa familia yake. Wewe ni nani mpaka umwambie arudishe?Lissu rudisha hizo hela, wanajikosha tu baada ya kuwatendea ukatili.
Hii taarifa ni tofauti na ile kwenye mada nyingine kuhusu CCM kummchangia Lissu.Kwa upande wake, Dkt Emmanuel Nchimbi amesema siasa si uadui hivyo ni vyema kushikana mkono pale panapobidi kwani wanasiasa wote wanaijenga Tanzania.
Upumbavu mkubwa sanaWananchi tunatoka jasho kuchagua upande wa kuegemea bila kujua wenzetu bila kujali upande waliopo, wapo kuvuna pesa sisi ni daraja tu
Gari yake ilifanyaje?Kwa nini ukubali pesa ya laana?
View attachment 3071048
tafuta hela usijichoshe na siasaWananchi tunatoka jasho kuchagua upande wa kuegemea bila kujua wenzetu bila kujali upande waliopo, wapo kuvuna pesa sisi ni daraja tu
Ila kura zao wakimpigia na penyewe utamkataza?Kwa nini ukubali pesa ya laana?
View attachment 3071048
Na Lissu akisha pokea tu, utasikia kejeli chungu nzima humu. Hawa watu ni majuha sana.Alikataa ile hongo ya Abdul sasa Msigwa kamtumia Nchimbi.
Kuna issue Ccm wana itega kwa Lissu. Soon ita kuwa wazi. Usishangae Lissu akaenda kupokelea huo mchango Lumumba