CCM wamenasa kwenye mtego wa Wasukuma, hawatoki tena

Unajua baada ya kufariki magufuli kosa kubwa Sana lilifanyika ndani ya ccm wenyewe kwa kuanzisha mashambulizi ya wazi kabisa kwenye media kwa kumtukana magufuli,kubagadha, kumkejeli marehemu,Mara eti wazuri hawafi na kuanzisha majina ya ajabu eti SUKUMA GANG,hadharani bila ya ccm kukemeana wenyewe ndani ya chama Mambo haya yaliwauma mno wasukuma,Sasa matusi na kejeli hizo ziliwaamsha Sana wasukuma na kuwaleta pamoja,matusi na slogani hizo zilijidhihirisha zaidi pale alipofariki membe ,ambapo nao walikejeli "kumbe na wazuri nao wanakufa!" Haijachukua muda Sasa mnataka kura zao mnafanyaje,wahenga walinena mchimba kisima huingia mwenyewe,Mimi niseme ni ushamba wa siasa za ccm wa kuropoka matusi mazito Kama hayo bila kupima athari zake mbeleni,Ina maana chama na serikali vilikosa watu wenye busara wa kuonya na kukemea kuwa Mambo hayo ya kutukana marehemu Yana impact Hadi kwa chama na serikali mbeleni???? CCM wamelichonga dude hili la ukanda lazima liwatafune Sana,hasa akitokea mpinzani mwenye influence Kama alivyokuwa lowasa itakuwa ni hatari hasa kwa ccm
 
@chiembe Etwege na ChoiceVariable wanasema CHADEMA, Lissu na Mbowe ndio tatizo!
 
Kuna mdada hapo ikulu anatuharibia Tanganyika yetu yeye anajua ni wapi atakimbilia, tuwe makini na mdada huyu!
 
@chiembe Etwege na ChoiceVariable wanasema CHADEMA, Lissu na Mbowe ndio tatizo!
Hivi nape aliyesema mungu ameamua ugomvi ni wa chadema? Hivi makamba aliyesema wazuri hawafi ni chadema? Hivi membe aliyesema bahari umetulia ni chadema? Aliyetoa kauli ya simba wa yuda akitokea chadema?
 
Hivi nape aliyesema mungu ameamua ugomvi ni wa chadema? Hivi makamba aliyesema wazuri hawafi ni chadema? Hivi membe aliyesema bahari umetulia ni chadema? Aliyetoa kauli ya simba wa yuda akitokea chadema?
Anthony Diallo pia akasema kulikuwa na faili Mirembe!
 
Anthony Diallo pia akasema kulikuwa na faili Mirembe!
Dude hili la ukabila na ukanda wanelipalilia ccm wenyewe kwa kuwa na viongozi wasio na vision ya kuona athari ya maneno wanayoyatoa ,kesho itakuwaje,lakini pia bila kupima uzito wa nafasi aliyokalia ,wakati anatoa kauli hizo,wake waliokuwa bado na machungu ya kuondokewa na mpendwa wao,Sasa zinapotoka kauli za kutengwa,na kudharauliwa na kiongozi wa juu,wasukuma walijiona wanyonge Sana na wametengwa na viongozi wao,hivyo kilicho Bora wali opt kuunganisha nguvu ili wafarijiane wao kwa wao,Sasa kwenye kuunganisha nguvu huko Sana ,imewalazimu kuwa endelevu kuanzia hapo.
 
Rais Magufuli (Msukuma) hakupepesa macho Wala kumung'unya maneno katika kuwalipa wasukuma kile walichonyang'anywa na "wahuni"
Hapa ndipo mnapokosea kuwaita wengine wahuni. Sukuma gang tambueni ya kwamba "never and never again" na Mungu ameamulia ugomvi.
 
Usilete ukabila. Biteko hana kabisa influence labda abebwe ila kinachombeba mtu ni uthubutu wa kusomamia falsafa ya Dkt Magufuli. Hivyo haijalishi uwe msukuma au mchaga, yeyote anayebeba hayo maono atapendwa. Ndiyo maana tuliwaambia Dkt Magufuli siyo mtu bali falsafa
 
Mbuga kubwa, maarufu na inayoongoza kwa kuingiza mapato, ipo mkoa gani? Hii mbuga ya serengeti nyinyi watu wabinafsi wa kaskazini mlishajimilikisha mkizani ipo upande wenu.
ndiyo kisa cha kupiga vita Mwanza airport isikamilishwe kuwa international ili KIA na pia Serengeti iendelee kutangazwa iko Arusha na kubeba uchumi wa kaskazini yetu macho
 
Hoja yako ni hipi mbona ueleweki? Wewe utakuwa ni mchaga
Aisee ni janga la elimu hili. ''hipi'' ''ueleweki''. Unachanganya madesa. Inawezekana kabisa wewe ni sekondari school graduate na pengine una division one!
 
ndiyo kisa cha kupiga vita Mwanza airport isikamilishwe kuwa international ili KIA na pia Serengeti iendelee kutangazwa iko Arusha na kubeba uchumi wa kaskazini yetu macho
Hao watu wanafigisu za kiuchumi toka zamani lakini hawamu hii wameula wa chuyaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Kama Wasukuma ni waafrika ulichoandika ni sawa na kibonzo tuu.

Akili ndio rasilimali muhimu ambayo jamii fulani ikiwa nayo inapaswa kujivunia.
 
Umeona mbali sana.
 

Falsafa, formula yenyewe ni simple sana hata huyu SSM angeweza kuifanya, teua watu sahihi sehemu sahihi, tatua changamoto zao kama maji, umeme, mfumuko wa bei, simamia haki, nidhamu serikalini, kemea rushwa, ufisadi, ukanda, ukabila, watu kuibiwa ardhi.

Punguza matumizi yasiyo ya lazima kama warsha, seminars, safari na nje, makongamano, kununua ma-VX.

Tembelea wananchi wako, Wawajibishe wasiowajibika kwenye nafasi zao.
 
 
Dawa ya ukanda na ukabila au udini usitawale kwa falsafa au kanuni ya kuwagawa watu.Hiyo ndiyo dawa.
 
Fanya wasukuma wapo million 20.
Kwa hiyo kwenye watanzania milioni 60 wasukuma ni milioni 20? Hizo takwimu za wapi na amezitangaza nani?

Nyie watu ni wapuuzi sana!! Ndo mana kamwe haitotokea mje kuongoza tena hii nchi katika miaka ya karibuni maana mna akili za ukabila na upuuzi sana!!
 
Yaani bosi mkubwa hapo umenena jambo la ukweli πŸ’―. Ndiyo maana kumteua Dotto Biteko haisaidii na tulishaonya tangu enzi zile kinachotakiwa hata kama angemteua Mchengerwa kinachoangaliwa na wa Tanzani ni kimoja tu je ana falsafa za Dkt Magufuli??? Haijalishi hata kama ni mtoto wake. Hii kitu watanzania hatujifunzi. Hivi mbona watoto wa Mwl Nyerere hata kama wakipewa vyeo wanaonekana hawana uthubutu wa Baba yao mpaka alivyotokea Dkt Magufuli??? Hapa kwa nchi hii sasa anayeshika hiyo nafasi ni Makonda kupitia CCM. Cheki nyomi anayokusanya na muitikio wa wadau.
 
Magufuli alipiga kampeni za ukabila na kweli akachaguliwa na wasukuma kwa sababu tu ya ukabila.
Alikuwa anaongea mpk kisukuma kwenye mikutano wakati Kuna lugha ya taifa.
Sio mbaya kuwapekekea mendeleo sababu nao ni watanzania lakini huko kudeka kwao sio poa sababu nchi ni ya watu wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…