CCM wenye akili na vyama vya upinzani wote wamegoma kucheza ngoma ya Makonda


Loh! The Big Show, kuna wakati naona nilifanya kosa kukuweka pamoja na akina Mwamshambwa. Kumbe nilifanya kosa. In this presentarion you have argued sensibly and professionally.

Watu walio wahi kuwa karibu na Makonda, wanasema huyu bwana, kipaji pekee kikubwa alicho nacho ni unafiki. Kwenye hili watafute watoto wa Hayati Samwel Sitta, watakuambia.

Wanasema, hata wewe hapo, leo hii ukawa na madaraka makubwa, Makonda akawa ana nafasi ya kukufikia, ndani ya muda mfupi, vitimbwi atakavyokufanyia, unaweza kudanganyika kuwa hapa Duniani hakuna mtu anayekupenda, kukuheshimu na kukuthamini kama Makonda.

Makonda alipopata nafasi ya kumfikia Hayati Samwel Sita, alikuwa anawasiliana naye mara nyingi kuliko watoto wake, alikuwa anaenda kumwona Sita mara nyingi kuliko watoto wake, na akifika nyumbani kwa Sita alihangaika kufanya kila kilichowezekana ili ionekane tu kuwa yeye ni bora kuliko mwingine yeyote hapo nyumbani. Wanafamilia wanadai ilifikia wakati Mzee Sita alimwona Makonda ni bora kwa kila kitu kuliko wanawe, hata akashiriki katika kupatikana kwa vyeti vya kununua ili Makonda akasome.

Ukumbuke wakati Kikwete akiwa Rais, Makonda alithubutu hata kumfungia kamba za viatu Ridhiwani. Alimnyenyekea Ridhiwani kwa kiwango cha ajabu, hata ikifikia Ridhiwani kumpigia debe Makonda kwa Baba yake ili apewe ukuu wa Wilaya. Kumbe mapenzi yale yote aliyokuwa akiyaonesha yalikuwa bandia, na unafiki mtupu. Na hiyo ilikuja kuthibitika Kikwete alipoondoka madarakani.

Makonda ni mwovu kwa asili yake. Akiwa hajawa Mkuu wa Wilaya, alimbaka binamu yake, wakayamaliza kiundugu. Alipokuwa RC, ndipo alipofanya uchafu mwingi wa ajabu, mpaka mauaji. Kila aliyemsema vibaya Magufuli, Makonda alitaka kumwonesha Magufuli kuwa yeye amesikitishwa na kukasirishwa na jambo hilo kuzidi hata Magufuli mwenyewe. Alifanya uovu mwingi, hadi kuua watu waliomsema vibaya Magufuli ili kumrubuni Magufuli aamini kuwa hapa Duniani hakuna mtu aliyekuwa anampenda yeye Magufuli kama Makonda. Mtu mwovu wa namna ya Makonda hawezi kuwa na moyo wa kupigania haki za watu wakati yeye mwenyewe ni dhulumati mkubwa. Mtu anayeona kudhulumu roho za watu ni jambo la kawaida, ataumizwa vipi na kudhulumiwa mtu kiwanja? Yeye mwenyewe akiwa RC Dar alidhulumu kiwanja cha familia ya Chacha kilichopo Capripoint, kilichokuwa kinunuliwe na msaidizi wake, halafu leo ndiyo aumizwe na mtu aliyedhulumiwa kiwanja?

Anachokifanya Makonda, ni kuangalia angle iliyo rahisi kuwarubuni watu ili malengo yake maovu yatimie.

Wala siyo ajabu, kwa muda mfupi, Rais Samia akikosa tu uwerevu atamwamini Makonda kuliko hata familia yake. Ila cha ajabu, pale Rais Samia atakapotoka Madarakani, na Makonda akawa kwenye nafasi ya uongozi, atatumika kumnyanyasa au kuinyanyasa familia yake.

Mnafiki ni kama mwizi, hana rafiki. Urafiki unaokuwepo ni wa kutengeneza mazingira ya kumwezesha kukifikia anachotaka kukiiba.

Kuna siku lazima Rais Samia atakuja kujuta, kama ilivyojuta familia ya Kikwete wakati Makonda akiwa RC.
 

Hakika maelezo yako yamenyooka sana
 
Kwako kuliko kumuunga mkono CCM mwenzio, ni Bora kushikamana na upingani?
 
Ukimchukia Makonda nenda kajiliwaze kwenye chumba cha mama'ko mzazi usiku wa manane..hiyo ndiyo faraja pekee.
 
utaipenda ngoma ya Hussein Machozi 🐒

wengi wanacheza wakiwa chumbani na washrooms coz ina bit kali funika bovu 🐒

haikwepeki 🐒
 
Hawana uwezo wa kuicheza, wapo kimywa kwa sababu wanauona mziki ulivo mnene kwa upande wao
 
Wananzengo wanataka matokeo, wanasafiri kumfata alipo ili wapate matokeo, labda kama kuna ushauri wa ndani waambie wabadlike, wawajali watu wao oli makonda asieleweke tena
 
CCM must wake up before it's too late to realize that he is the very way to their destination of woe...
CCM ipi tena wakati Samia ndiye aliyemchagua? Lawama zote ni kwa Samia kwani viongozi wengine wote wa CCM hawampendi lakini wanaogopa. BTW mtanzania ni mtu wa ajabu mno. Nimeona jinsi wazee na vipara vyao wanaendeshwa na Makonda nikabaki kusikitika. Wanamwogopa Makonda kuliko hata Mungu. Kuna mama mmoja sijui ni mkuu wa wilaya Iringa huko, aliitwa, akaenda kwa panic kali huku anainama kwa kuabudu kama anasali.
 
Sis tunamwelewa mno yaani huku mitaani tembea uskie mzee jamaa ni man of the match

Na andiko la Baba Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza PhD

MAKONDA: Ni Tatizo, Dalili au Suluhisho?

Paul Makonda ni zaidi Katibu Mwenezi wa chama Tawala. Tumewahi kuwa nao wengi na wapo wengi wa vyama vingine. Hakuna kama Makonda uzuri na kwa ubaya. Kwa nini?

1. Kama Makonda ni tatizo basi halina suluhisho. Kwa sababu ndani ya chama tawala huyu ndiye ameonekana. Na kama huyu ndiye bora zaidi, waliobaki wana hali gani?

2. Kama Makonda ni dalili ya tatizo basi dalili huwa hazina tiba. Tusubiri ugonjwa wenyewe ndipo tujue tiba. Mgonjwa anayetetemeka kwa homa, kumfunika blanketi zito si kutibu ugonjwa. Ni kusaidia mayai ya vimelea yaanguliwe na mgonjwa atakuwa na hali mbaya zaidi.

3. Kama Makonda ni Suluhisho basi ni lile la “Bomoa yote tutajenga kesho”. Mchelea mwana kulia hulia yeye mwenyewe. Yeye amekuwa suluhisho zaidi ya dawa ya rangi mbili inayoua vimelea vyote mwilini.

AMESAIDIA SANA:

- Sasa tunajua hali yetu si njema. Hakuna utawala wa sheria wala wa mfumo.

- Sasa tunajua hasara za kukaa gizani. Ukikosa upinzani bungeni na mabarazani, ukakosa uhuru wa habari, ukakosa wana harakati huru, unastawisha CHAWA kila mahali.

- Sasa tunajua wananchi wanaona bora dikteta kuliko demokrasia, yaani bora shibe ya gerezani kuliko njaa ya uraiani.

- Sasa tunajua wenye shida wanataka mtu si taasisi wala mfumo.

- Sasa tunajua kila suluhisho linazaa tatizo. Ukifuga mbwa mkali wa kulinda wezi, kuna siku atakuzuia wewe usiingie nyumbani kwako.

- Sasa tunajua hakuna bunge huru, hakuna mahakama huru, hakuna DPP huru, hakuna AG huru - ila kuna Chama huru.

HEKIMA: Kuna mbwa akiwinda na kukamata mawindo, huwezi kumfukuza eti anaharibu ngozi. Atakula kitoweo chote na mwenye mbwa atakula mchicha siku hiyo.
 
To sum up all of the above, Daudi Albert Bashite is a butt kisser, opportunist, shallow headed, dimwit piece of crap that would stoop to any level for attention.
 
Wananzengo wanataka matokeo, wanasafiri kumfata alipo ili wapate matokeo, labda kama kuna ushauri wa ndani waambie wabadlike, wawajali watu wao oli makonda asieleweke tena

Ukisoma vizuri historia ya Hitler, Mussolini nk, utaona picha halisi ya Magufuli na Makonda. Watu waovu huanza kama watu wenye Nia njema, na hutumia nguvu kubwa kujificha kwa wanyonge, lakini wakipata madaraka hufikia kufanya Hadi mauaji ya halaiki. Na mara mara nyingi hujifanya kumtaja Mungu mdomoni Ili kupumbaza watu, lakini dhamira zao huwa mbali sana na Mungu.
 
We mpk siku ukipogwa mimba na makonda ndio utakuwa na akili.
We wapi umewahi kuona nchi inampa nafasi mtu aliyetishia uhai raia?
Wapi mtu mfanya dhulma na muingiza mali bila kulipa kodi akapewa uongozi?
Hio nchi itasalimika?

Acheni ushabiki wa kijinga.
Utakuja kupata mimba ghafla ushindwe kushangaa

Kakojo wahed
 
Kwa kutujazia gazeti namna hii, huku ukiongea pumba tupu ni dhahiri unateseka sana na Makonda. Makonda tayari amefanya Mambo makubwa sana. Pole sana muhuni usiye na huruma na wananchi unaingiz siasa za hovyo na ki pumbavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…