Administer
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 2,639
- 2,384
Vyama viko vingi, Chadema wamesema hawashiriki so ni muda wa vyama vingine kushiriki. Kama wamefanya kosa mimi nadhani ni swala lao na kama wamekosea basi ni mambo yao binafsi. Kuna Chauma Act na vingine vingi tu.Nawaambia mmefanya kosa kubwa sana kususia uchaguzi.Hili jaribio linaenda kuizika CHADEMA.Mlitakiwa kupambana mkiwa field au site.Huwezi kutatua matatizo kwa kuyakimbia.Ni uamuzi ambao hauko sahihi kwenye masuala ya siasa.
Nimekitaja CHADEMA kwa vile ndiyo chama kikuu Cha upinzaniVyama viko vingi, Chadema wamesema hawashiriki so ni muda wa vyama vingine kushiriki. Kama wamefanya kosa mimi nadhani ni swala lao na kama wamekosea basi ni mambo yao binafsi. Kuna Chauma Act na vingine vingi tu.
Kama mlitarajia cdm wataendelea kushiriki chaguzi za kishenzi kwa mazoea basi mmeukalia. Na kama ni cdm kufa kwa kutoshiriki huo upuuzi uitwao uchaguzi, acha kife. Tunataka mabadiliko sio kwenda kupotezeana muda ili kupata sifa kuwa cdm ilishiriki. Ccm endeleeni kuongoza chaguzi za kuhuni, lakini cdm wamestuka na hawako tayari kugeuzwa mafala tena miaka yote.Nawaambia mmefanya kosa kubwa sana kususia uchaguzi.Hili jaribio linaenda kuizika CHADEMA.Mlitakiwa kupambana mkiwa field au site.Huwezi kutatua matatizo kwa kuyakimbia.Ni uamuzi ambao hauko sahihi kwenye masuala ya siasa.
Cdm hawajivunii kuwa chama kikuu cha upinzani, wamesharuka hatua hiyo, ndio maana wataka mabadiliko ya kweli mshindi wa halali atangazwe.Nimekitaja CHADEMA kwa vile ndiyo chama kikuu Cha upinzani
Anzisha chama upambane mkuuNawaambia mmefanya kosa kubwa sana kususia uchaguzi. Hili jaribio linaenda kuizika CHADEMA. Mlitakiwa kupambana mkiwa field au site. Huwezi kutatua matatizo kwa kuyakimbia.Ni uamuzi ambao hauko sahihi kwenye masuala ya siasa.
Chadema hawajasusia uchaguzi bali wanadai haki tume huruNawaambia mmefanya kosa kubwa sana kususia uchaguzi. Hili jaribio linaenda kuizika CHADEMA. Mlitakiwa kupambana mkiwa field au site. Huwezi kutatua matatizo kwa kuyakimbia.Ni uamuzi ambao hauko sahihi kwenye masuala ya siasa.
Tatizo ni uchaguzi wa kupangiana majimbo laikini it is a matter of time ccm ina tumia mbinu za delaying tacts kwa ununua upinzani na kuugawa. chadema angeshiriki hakuna jimbo angeshinda sababu ya mizengwe ingekuwa mikuwa ikwemo kuumizwa na kuuawa. wacha tuone safari hii.Nawaambia mmefanya kosa kubwa sana kususia uchaguzi. Hili jaribio linaenda kuizika CHADEMA. Mlitakiwa kupambana mkiwa field au site. Huwezi kutatua matatizo kwa kuyakimbia.Ni uamuzi ambao hauko sahihi kwenye masuala ya siasa.
Mkuu emu weka mikakati yako wewe tufanye ndo mwenyekiti wa chadwma ungefanya nini.Nawaambia mmefanya kosa kubwa sana kususia uchaguzi. Hili jaribio linaenda kuizika CHADEMA. Mlitakiwa kupambana mkiwa field au site. Huwezi kutatua matatizo kwa kuyakimbia.Ni uamuzi ambao hauko sahihi kwenye masuala ya siasa.
Sawa tufanye kweli ni kosa lakini si walishiriki uchaguzi wa serikali za mitaa waliambulia nini?unadhani ni wajinga wao? Swala si kushiriki uchaguzi swala ni kura ya mwananchi iheshimike, kinyume na hapo ni afadhari kwao kuto kushiriki.Nawaambia mmefanya kosa kubwa sana kususia uchaguzi. Hili jaribio linaenda kuizika CHADEMA. Mlitakiwa kupambana mkiwa field au site. Huwezi kutatua matatizo kwa kuyakimbia.Ni uamuzi ambao hauko sahihi kwenye masuala ya siasa.
Ndio wamejimaliza. Hapo kuna ACT , pale CUF, Pembeni yake CHAUMA, watu wanaendelea kuleta maendeleo kwa watanzania, tuachane na hao machadema wanaopigania ushoga.Vyama viko vingi, Chadema wamesema hawashiriki so ni muda wa vyama vingine kushiriki. Kama wamefanya kosa mimi nadhani ni swala lao na kama wamekosea basi ni mambo yao binafsi. Kuna Chauma Act na vingine vingi tu.
Kamanda kwa Nini msilinde kula kama mnavyojigamba.Mtaa ninaoishi Mimi ameshinda mwenyekiti KUTOKEA CHADEMASawa tufanye kweli ni kosa lakini si walishiriki uchaguzi wa serikali za mitaa waliambulia nini?unadhani ni wajinga wao? Swala si kushiriki uchaguzi swala ni kura ya mwananchi iheshimike, kinyume na hapo ni afadhari kwao kuto kushiriki.