PreGE2025 CHADEMA kama Chama cha Siasa mmefanya kosa kubwa sana kususia Uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Nawaambia mmefanya kosa kubwa sana kususia uchaguzi. Hili jaribio linaenda kuizika CHADEMA. Mlitakiwa kupambana mkiwa field au site. Huwezi kutatua matatizo kwa kuyakimbia.Ni uamuzi ambao hauko sahihi kwenye masuala ya siasa.
wabishi kinoma hawawezi kukuskia ila tunafurahi tupate chama kipya cha upinzani ambacho kitakua kinafanya siasa badala ya harakati
 
Nawaambia mmefanya kosa kubwa sana kususia uchaguzi. Hili jaribio linaenda kuizika CHADEMA. Mlitakiwa kupambana mkiwa field au site. Huwezi kutatua matatizo kwa kuyakimbia.Ni uamuzi ambao hauko sahihi kwenye masuala ya siasa.
Uchaguzi au uchafuzi,acha utani kwenye mambo mazito ya mstakabali wa taifa.
 
Nawaambia mmefanya kosa kubwa sana kususia uchaguzi. Hili jaribio linaenda kuizika CHADEMA. Mlitakiwa kupambana mkiwa field au site. Huwezi kutatua matatizo kwa kuyakimbia.Ni uamuzi ambao hauko sahihi kwenye masuala ya siasa.

Unaweka wagombea inchi mzima, unakuja kupata mmoja tu sumbawanga huko, haha

Ki biashara ni hasara kubwa sana
 
Nawaambia mmefanya kosa kubwa sana kususia uchaguzi. Hili jaribio linaenda kuizika CHADEMA. Mlitakiwa kupambana mkiwa field au site. Huwezi kutatua matatizo kwa kuyakimbia.Ni uamuzi ambao hauko sahihi kwenye masuala ya siasa.
kutoka kwa mana FISIEMU

nendeni uchaguzi na CHAUMMA yenu muwape tu majimbo mliyowaahidi lasivyo kitaumana

na ndio hapo Dunia nzima itaona hakuna uchaguzi TZ basi uchafuzi, msiposhinda kw aasilimia 98 kama za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
 
Ndio wamejimaliza. Hapo kuna ACT , pale CUF, Pembeni yake CHAUMA, watu wanaendelea kuleta maendeleo kwa watanzania, tuachane na hao machadema wanaopigania ushoga.
maendeleo yapi?

Miaka zaidi ya 60 baada ya uhuru hakuna kitu!
 
Ndio wamejimaliza. Hapo kuna ACT , pale CUF, Pembeni yake CHAUMA, watu wanaendelea kuleta maendeleo kwa watanzania, tuachane na hao machadema wanaopigania ushoga.
Unaachana nao vp huku kila kukicha mada au comments zako ni hao hao Chadema? Kwanini sasa msije na hoja zenu nyie Act, Chaumma au Cuf? Kwanza Chadema hawashiriki uchaguzi so hakuna haja ya kuwajadili kwani hawana effect yoyote kwenye uchaguzi ujao ambao uko karibu sana. Kutokana na watu kushindwa kujadili mambo yao na kubaki kudili na Chama ambacho hakishiriki ndiyo ujue nguvu ya Chadema na kuwa ndiyo chama halisi cha upinzani chini ya mwemyekiti Mh Lissu. Ccm walitaka abaki kibaraka wao kwenye uenyekiti kwani walijua wanammudu so swala la Lissu linawapasua kichwa sana
 
Nawaambia mmefanya kosa kubwa sana kususia uchaguzi. Hili jaribio linaenda kuizika CHADEMA. Mlitakiwa kupambana mkiwa field au site. Huwezi kutatua matatizo kwa kuyakimbia.Ni uamuzi ambao hauko sahihi kwenye masuala ya siasa.
RUBBISH
UCHAFUZI.jpg
 
Nimekitaja CHADEMA kwa vile ndiyo chama kikuu Cha upinzani
Kwa hii point naweza kukuelewa. Ila sasa ni muda wa kutafuta chama kingine kikuu cha upinzani na kuwapa ushauri kwani Chadema wamesema hawashiriki. Kuendelea kukionea huruma chama ambacho hakishiriki ni kupoteza muda ambao tungejikita kujadili hao wanaoshiriki kama Chauma, Act, Cuf na Ccm
 
Nawaambia mmefanya kosa kubwa sana kususia uchaguzi. Hili jaribio linaenda kuizika CHADEMA. Mlitakiwa kupambana mkiwa field au site. Huwezi kutatua matatizo kwa kuyakimbia.Ni uamuzi ambao hauko sahihi kwenye masuala ya siasa.
Hatuwezi kuishi kwa kutegemea hisani ya wezi na majambazi wakati tuna nguvu ya Umaa,mda ndiyo utakaoamua
 
Nawaambia mmefanya kosa kubwa sana kususia uchaguzi. Hili jaribio linaenda kuizika CHADEMA. Mlitakiwa kupambana mkiwa field au site. Huwezi kutatua matatizo kwa kuyakimbia.Ni uamuzi ambao hauko sahihi kwenye masuala ya siasa.
Hakuna kosa lolote uchaguzi umesusiwa na wananchi kabla ya chadema ...samia anatapatapa kuhalalisha uhuni wa kujimilikisha urais aliofanya kuanzia ndani ya ccm sawa sawa na maelekezo ya rostam azizi.
 
Ushauri wa kijinga sana huu...
Nyerere anakwambia mtu yeyote anayejua una akili akikwambia jambo la kijinga na wewe ukalipokea anakudharau!
Yaani imagine hapo kwako...mwizi wako anakuibia kila siku alafu na wewe unaendelea kuishi kichwa kichwa bila kuchukua tahadhari kwa kujipa moyo kwamba ipo siku ataacha kukuibia! Shame!
Au unaenda kituo kile kile cha mafuta wnaokuchakachua kwa style zile zile ukitegemea ipo siku wataacha!
Labda kama haupo timamu!
 
Hakuna kosa lolote uchaguzi umesusiwa na wananchi kabla ya chadema ...samia anatapatapa kuhalalisha uhuni wa kujimilikisha urais aliofanya kuanzia ndani ya ccm sawa sawa na maelekezo ya rostam azizi.
Kwenye hili nipo upande wa wananchi timamu waliojitolea kwa dhati kutokushiriki chaguzi za mchongo!
 
Back
Top Bottom