Pamoja na kuwa nyumbu wa CHADEMA hawaafiki ukweli huu lakini kinachotokea ni CHAUMA na CHADEMA kugawana wanachama wao. Matawi mengi ya CHADEMA yategeuka kuwa matawi ya CHAUMA nchi nzima..Nawaambia mmefanya kosa kubwa sana kususia uchaguzi. Hili jaribio linaenda kuizika CHADEMA. Mlitakiwa kupambana mkiwa field au site. Huwezi kutatua matatizo kwa kuyakimbia.Ni uamuzi ambao hauko sahihi kwenye masuala ya siasa.
Hadi sasa viongozi wa kanda , mikoa na wilaya kwa Mamia wameachia ngazi CHADEMA, hawa viongozi walikuwa na ushawishi walioujenga kwa miaka mingi ndani ya CHADENA ikiwemo kuwa na wafuasi.
Chama hakiiendehwi mtandaoni kinaendeshwa field .