Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
Tundu lisu aliidhoofisha TLS kwa mafanikio makubwa sana, kama ambavyo tayari amefanya kazi kubwa na nzuri mno kulitumbukiza chadema kwenye shimo la kaburi la sahau kisiasa 🐒Nawaambia mmefanya kosa kubwa sana kususia uchaguzi. Hili jaribio linaenda kuizika CHADEMA. Mlitakiwa kupambana mkiwa field au site. Huwezi kutatua matatizo kwa kuyakimbia.Ni uamuzi ambao hauko sahihi kwenye masuala ya siasa.