Administer
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 2,639
- 2,384
- Thread starter
-
- #21
Hajui maana ya chama Cha siasa shida inaanzia hapoNdio wamejimaliza. Hapo kuna ACT , pale CUF, Pembeni yake CHAUMA, watu wanaendelea kuleta maendeleo kwa watanzania, tuachane na hao machadema wanaopigania ushoga.
Watanzania gani?Wanaosusia uchaguzi siyo chama bali ni watanzania wenyewe, elewa hilo 🤒
wabishi kinoma hawawezi kukuskia ila tunafurahi tupate chama kipya cha upinzani ambacho kitakua kinafanya siasa badala ya harakatiNawaambia mmefanya kosa kubwa sana kususia uchaguzi. Hili jaribio linaenda kuizika CHADEMA. Mlitakiwa kupambana mkiwa field au site. Huwezi kutatua matatizo kwa kuyakimbia.Ni uamuzi ambao hauko sahihi kwenye masuala ya siasa.
Sijui.Watanzania gani?
Uchaguzi au uchafuzi,acha utani kwenye mambo mazito ya mstakabali wa taifa.Nawaambia mmefanya kosa kubwa sana kususia uchaguzi. Hili jaribio linaenda kuizika CHADEMA. Mlitakiwa kupambana mkiwa field au site. Huwezi kutatua matatizo kwa kuyakimbia.Ni uamuzi ambao hauko sahihi kwenye masuala ya siasa.
Nawaambia mmefanya kosa kubwa sana kususia uchaguzi. Hili jaribio linaenda kuizika CHADEMA. Mlitakiwa kupambana mkiwa field au site. Huwezi kutatua matatizo kwa kuyakimbia.Ni uamuzi ambao hauko sahihi kwenye masuala ya siasa.
Nawaambia mmefanya kosa kubwa sana kususia uchaguzi. Hili jaribio linaenda kuizika CHADEMA. Mlitakiwa kupambana mkiwa field au site. Huwezi kutatua matatizo kwa kuyakimbia.Ni uamuzi ambao hauko sahihi kwenye masuala ya siasa.
kutoka kwa mana FISIEMUNawaambia mmefanya kosa kubwa sana kususia uchaguzi. Hili jaribio linaenda kuizika CHADEMA. Mlitakiwa kupambana mkiwa field au site. Huwezi kutatua matatizo kwa kuyakimbia.Ni uamuzi ambao hauko sahihi kwenye masuala ya siasa.
ngoja tuone hao watanzania wenyewe kama wataenda kupiga kuraWanaosusia uchaguzi siyo chama bali ni watanzania wenyewe, elewa hilo 🤒
Mimi simo kweWatanzania gani?
Kususia UCHAGUZI siyo uamuzi wa kishujaaHuwezi kutatua tatizo kwa kufanya mambo yale yale harafu unategemea matokeo tofauti, utakuwa mwendawazimu.
Mwanaume siku zote hufanya maamuzi magumu.
Get rich or die
maendeleo yapi?Ndio wamejimaliza. Hapo kuna ACT , pale CUF, Pembeni yake CHAUMA, watu wanaendelea kuleta maendeleo kwa watanzania, tuachane na hao machadema wanaopigania ushoga.
Solution ni kususia?Uchaguzi au uchafuzi,acha utani kwenye mambo mazito ya mstakabali wa taifa.
Unaachana nao vp huku kila kukicha mada au comments zako ni hao hao Chadema? Kwanini sasa msije na hoja zenu nyie Act, Chaumma au Cuf? Kwanza Chadema hawashiriki uchaguzi so hakuna haja ya kuwajadili kwani hawana effect yoyote kwenye uchaguzi ujao ambao uko karibu sana. Kutokana na watu kushindwa kujadili mambo yao na kubaki kudili na Chama ambacho hakishiriki ndiyo ujue nguvu ya Chadema na kuwa ndiyo chama halisi cha upinzani chini ya mwemyekiti Mh Lissu. Ccm walitaka abaki kibaraka wao kwenye uenyekiti kwani walijua wanammudu so swala la Lissu linawapasua kichwa sanaNdio wamejimaliza. Hapo kuna ACT , pale CUF, Pembeni yake CHAUMA, watu wanaendelea kuleta maendeleo kwa watanzania, tuachane na hao machadema wanaopigania ushoga.
RUBBISHNawaambia mmefanya kosa kubwa sana kususia uchaguzi. Hili jaribio linaenda kuizika CHADEMA. Mlitakiwa kupambana mkiwa field au site. Huwezi kutatua matatizo kwa kuyakimbia.Ni uamuzi ambao hauko sahihi kwenye masuala ya siasa.
Kwa hii point naweza kukuelewa. Ila sasa ni muda wa kutafuta chama kingine kikuu cha upinzani na kuwapa ushauri kwani Chadema wamesema hawashiriki. Kuendelea kukionea huruma chama ambacho hakishiriki ni kupoteza muda ambao tungejikita kujadili hao wanaoshiriki kama Chauma, Act, Cuf na CcmNimekitaja CHADEMA kwa vile ndiyo chama kikuu Cha upinzani
Hatuwezi kuishi kwa kutegemea hisani ya wezi na majambazi wakati tuna nguvu ya Umaa,mda ndiyo utakaoamuaNawaambia mmefanya kosa kubwa sana kususia uchaguzi. Hili jaribio linaenda kuizika CHADEMA. Mlitakiwa kupambana mkiwa field au site. Huwezi kutatua matatizo kwa kuyakimbia.Ni uamuzi ambao hauko sahihi kwenye masuala ya siasa.
Hakuna kosa lolote uchaguzi umesusiwa na wananchi kabla ya chadema ...samia anatapatapa kuhalalisha uhuni wa kujimilikisha urais aliofanya kuanzia ndani ya ccm sawa sawa na maelekezo ya rostam azizi.Nawaambia mmefanya kosa kubwa sana kususia uchaguzi. Hili jaribio linaenda kuizika CHADEMA. Mlitakiwa kupambana mkiwa field au site. Huwezi kutatua matatizo kwa kuyakimbia.Ni uamuzi ambao hauko sahihi kwenye masuala ya siasa.
Ushauri wa kijinga sana huu...Nawaambia mmefanya kosa kubwa sana kususia uchaguzi. Hili jaribio linaenda kuizika CHADEMA. Mlitakiwa kupambana mkiwa field au site. Huwezi kutatua matatizo kwa kuyakimbia.Ni uamuzi ambao hauko sahihi kwenye masuala ya siasa.
Kwenye hili nipo upande wa wananchi timamu waliojitolea kwa dhati kutokushiriki chaguzi za mchongo!Hakuna kosa lolote uchaguzi umesusiwa na wananchi kabla ya chadema ...samia anatapatapa kuhalalisha uhuni wa kujimilikisha urais aliofanya kuanzia ndani ya ccm sawa sawa na maelekezo ya rostam azizi.