Tundu lisu aliidhoofisha TLS kwa mafanikio makubwa sana, kama ambavyo tayari amefanya kazi kubwa na nzuri mno kulitumbukiza chadema kwenye shimo la kaburi la sahau kisiasa 🐒Nawaambia mmefanya kosa kubwa sana kususia uchaguzi. Hili jaribio linaenda kuizika CHADEMA. Mlitakiwa kupambana mkiwa field au site. Huwezi kutatua matatizo kwa kuyakimbia.Ni uamuzi ambao hauko sahihi kwenye masuala ya siasa.
Kwani kuna mtu anakulazimisha?😂...mm kama mm hata sijisumbui kwenda kupiga Kura
Nawaambia mmefanya kosa kubwa sana kususia uchaguzi. Hili jaribio linaenda kuizika CHADEMA. Mlitakiwa kupambana mkiwa field au site. Huwezi kutatua matatizo kwa kuyakimbia.Ni uamuzi ambao hauko sahihi kwenye masuala ya siasa.
Chawa kama chawaKwani kuna mtu anakulazimisha?😂
Unazungumiza waTZ gani? Hawa wanaorubunika kwa kofia ,tshirt ,khanga na afu 10?Wanaosusia uchaguzi siyo chama bali ni watanzania wenyewe, elewa hilo 🤒
Muda utasema, kwangu lissu ameikomboa chadema, wale jamaa wameamua kuteka chama Cha RUNGWE...Chadema itashine tuuuNawaambia mmefanya kosa kubwa sana kususia uchaguzi. Hili jaribio linaenda kuizika CHADEMA. Mlitakiwa kupambana mkiwa field au site. Huwezi kutatua matatizo kwa kuyakimbia.Ni uamuzi ambao hauko sahihi kwenye masuala ya siasa.
Ccm itashinda mapema saana, hata kampeni zao safari hii ni RAHISI Sana...Hao wamehamia huko kujaza matumbo yao binafsi,mm kama mm hata sijisumbui kwenda kupiga Kura
Nani huku mtaani akapambanie kura za Chaumma?Wamechemka sana ,wanashindwa kuelewa hata hiyo 2015 wapinzani hawakutangazwa kirahisi bali kwa kupambana ,wawape elimu ya uraia wapiga kura ili kulinda kura zao ,wapambane kwamba kuapishwa iwe week moja kabla na hata mawakala wa sisiemu nao waapishwe ,uchaguzi una learn mbinu ambazo zinatumiwa kuiba kura ,askari haruhusiwi kuingia ndani na begi au maji au chupa za chai ,washiriki uchaguzi ila wadhibiti mianya yote ya wizi.....SIDIEMU wakisusa wenzao SISIEMU wala.
Uwe na Akili TIMAMU Ya kuelewa ww sijui mtaambiwa nn muelewe.Nawaambia mmefanya kosa kubwa sana kususia uchaguzi. Hili jaribio linaenda kuizika CHADEMA. Mlitakiwa kupambana mkiwa field au site. Huwezi kutatua matatizo kwa kuyakimbia.Ni uamuzi ambao hauko sahihi kwenye masuala ya siasa.
..na wewe mbona mjinga, dunia ione mara ngapi..chaguzi za 2019,2020, 2024 dunia ilikuwa haioni kilichofanyika..?kutoka kwa mana FISIEMU
nendeni uchaguzi na CHAUMMA yenu muwape tu majimbo mliyowaahidi lasivyo kitaumana
na ndio hapo Dunia nzima itaona hakuna uchaguzi TZ basi uchafuzi, msiposhinda kw aasilimia 98 kama za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
Unatuambia wewe kama nani, af mbona kama chadema inakuhangaisha sana, wao wameshasema hawatashiriki uchaguzi, ni maamuzi yao, wewe yanakuwasha nini.Nawaambia mmefanya kosa kubwa sana kususia uchaguzi. Hili jaribio linaenda kuizika CHADEMA. Mlitakiwa kupambana mkiwa field au site. Huwezi kutatua matatizo kwa kuyakimbia.Ni uamuzi ambao hauko sahihi kwenye masuala ya siasa.
Tanzania hakuna uchaguzi, ni utaahira mkubwa kupoteza muda na raslimali kushiriki igizo linaloitwa uchaguzi ilhali tayari Tume imepanga kuitangaza CCM kusinda kwa 99%. Na ni upumbavu pia hata kwa wanachama wa CCM kwenda kupiga kura wakati wagombea wao watatangazwa kuwa wameshinda kwa 99%.Nawaambia mmefanya kosa kubwa sana kususia uchaguzi. Hili jaribio linaenda kuizika CHADEMA. Mlitakiwa kupambana mkiwa field au site. Huwezi kutatua matatizo kwa kuyakimbia.Ni uamuzi ambao hauko sahihi kwenye masuala ya siasa.
Chauma na vyama vingine vipo, sasa wanahangaika na Chadema ya nini wakati hawashirikiWamechemka sana ,wanashindwa kuelewa hata hiyo 2015 wapinzani hawakutangazwa kirahisi bali kwa kupambana ,wawape elimu ya uraia wapiga kura ili kulinda kura zao ,wapambane kwamba kuapishwa iwe week moja kabla na hata mawakala wa sisiemu nao waapishwe ,uchaguzi una learn mbinu ambazo zinatumiwa kuiba kura ,askari haruhusiwi kuingia ndani na begi au maji au chupa za chai ,washiriki uchaguzi ila wadhibiti mianya yote ya wizi.....SIDIEMU wakisusa wenzao SISIEMU wala.
Wasikilize vizuri hawasusii uchaguzi watazuia uchaguzi.Je watazuia kwa namna gani? Hili ndilo swali ulipasa kuulizaNawaambia mmefanya kosa kubwa sana kususia uchaguzi. Hili jaribio linaenda kuizika CHADEMA. Mlitakiwa kupambana mkiwa field au site. Huwezi kutatua matatizo kwa kuyakimbia.Ni uamuzi ambao hauko sahihi kwenye masuala ya siasa.